Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyuma kumeenea.
Moreno, Manquillo, Skrtel na Lovren
Ila huyu Mignolet mmmmnnhhhh, heri tungempata Ochoa
Huyu Mignolet simpendi kabisa
Bye bye Glen Johnson!Tunashukuru kwa service yako Liverpool!!
Striker tu ndiyo kabaki; kuna fununu yyt mkuu?
Wadau huu uzi wetu naona unasogea kwa kasi ya kimbunga! Wakati mimi nakuja kujitambulisha humu miaka mitatu iliyopita,tulikuwa na posts kama 3000 plus hivi,naona saivi tupo kwenye 10000 plus! Tuendelee kujadidiliana kuhusu LFC....but natamani sana uzi huu ungekuwa under control ya LFC fan,tungeupendezesha sana hapo juu...huyu Mbu mtu wa Asenali anazingua sana,hivi hatuwezi kuwasiliana na Mods wahamishe umiliki? MosDef Janjaweed The Boss Malafyale Tores Mzee Wa Rubisi na Kopites wote humu,tufanyeje kupata umiliki kamili wa hii thread kutoka kwa Mbu ? Ili tuweze kuiupdate?
GJ ana mwaka mzima katika mkataba wake..
nadhani ni kuongea na mods tu..
For sure Mignolet simpendi.. ila game ya juzi ameimprove sana vocal na anapanga mabeki...
Tumpe muda na Lovren ni Calleger type of player...
Natamani kumuona GJ anakaa benchi,na anaingia dakika ya 88 tukiwa tunaongoza nne bila hivi...
Wadau huu uzi wetu naona unasogea kwa kasi ya kimbunga! Wakati mimi nakuja kujitambulisha humu miaka mitatu iliyopita,tulikuwa na posts kama 3000 plus hivi,naona saivi tupo kwenye 10000 plus! Tuendelee kujadidiliana kuhusu LFC....but natamani sana uzi huu ungekuwa under control ya LFC fan,tungeupendezesha sana hapo juu...huyu Mbu mtu wa Asenali anazingua sana,hivi hatuwezi kuwasiliana na Mods wahamishe umiliki? MosDef Janjaweed The Boss Malafyale Tores Mzee Wa Rubisi na Kopites wote humu,tufanyeje kupata umiliki kamili wa hii thread kutoka kwa Mbu ? Ili tuweze kuiupdate?
For sure Mignolet simpendi.. ila game ya juzi ameimprove sana vocal na anapanga mabeki...
Tumpe muda na Lovren ni Calleger type of player...
Wadau huu uzi wetu naona unasogea kwa kasi ya kimbunga! Wakati mimi nakuja kujitambulisha humu miaka mitatu iliyopita,tulikuwa na posts kama 3000 plus hivi,naona saivi tupo kwenye 10000 plus! Tuendelee kujadidiliana kuhusu LFC....but natamani sana uzi huu ungekuwa under control ya LFC fan,tungeupendezesha sana hapo juu...huyu Mbu mtu wa Asenali anazingua sana,hivi hatuwezi kuwasiliana na Mods wahamishe umiliki? MosDef Janjaweed The Boss Malafyale Tores Mzee Wa Rubisi na Kopites wote humu,tufanyeje kupata umiliki kamili wa hii thread kutoka kwa Mbu ? Ili tuweze kuiupdate?
Mie nishatuma sana pm kwa ma-moderator lakini hakuna walichofanya, solution kama kuna kitu cha kuongeza ni kumbembeleza Mbu atukopie.