...si utaje tu kuwa ni Jumatano na Arsenal!...
Was such a good day to me 😛Jumatano kombe la mbuzi mazee... mbona unaniangusha Mbu???!!! yaani hata kombe la kinesi nalo unaweka humu?
Duh
hongera sana mkuu.More bad news!!! MAscherano has rejected new contract!!! Huhuuuuuuu
hongera sana mkuu.
Was such a good day to me 😛
MTM umekubali utabiri wangu?
Mkuu nakupa tano... leo zile dk walizoongeza zimewatokea puani!!!! nilikaona ka-Owen kanarusha tumiguu twake mule uwanjani... Ulikaona kale kajamaa, tumpira twenyewe hamna kitu sie kwetu twa'mbombo!!
LUCAS alijitahidi sana leo
Leo kiboko lol!! Ila Liverpool kawaida yenu mnafunga timu kubwa a'fu mnakuja kuchemsha kwa watoto wa mchangani lol!! kwa mara nyingine hongera.
Afu walimzomea wakati anaingia?au me sikusikia vizuri, nilidhani watamstai kama keane.....ila generally Aulerio na Lucas leo wamejitahidi...naweza sema labda lukas leo ka up his game..u would expect one from aullerioMkuu nakupa tano... leo zile dk walizoongeza zimewatokea puani!!!! nilikaona ka-Owen kanarusha tumiguu twake mule uwanjani... Ulikaona kale kajamaa, tumpira twenyewe hamna kitu sie kwetu twa'mbombo!!
Leo kiboko lol!! Ila Liverpool kawaida yenu mnafunga timu kubwa a'fu mnakuja kuchemsha kwa watoto wa mchangani lol!! kwa mara nyingine hongera.
Ohooooo, naona umeanza kufukua maiti, hayo yasubiri kesho mazee!!