Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

...si utaje tu kuwa ni Jumatano na Arsenal!...

Jumatano kombe la mbuzi mazee... mbona unaniangusha Mbu???!!! yaani hata kombe la kinesi nalo unaweka humu?

Duh
 
Jumatano kombe la mbuzi mazee... mbona unaniangusha Mbu???!!! yaani hata kombe la kinesi nalo unaweka humu?

Duh

...si Banitez wenu huyo, yeye atapanga 1st team Vs kina Gavin Hoyte
 
we have pulled a rabit out of big hat
Hope ita leta belif to all liverpool players
Torres was as ussual briliant
 
Was such a good day to me 😛

Yeah mkuu, mee too;

  1. Tumeosha kwa Manure
  2. BBA tumeacha binti anang'aa
  3. Arses wateoa kitu mdomoni

Yaani raha tupu hata kwangu

Nilitabiri two red cards na zimetokea, ila 3-1 imefeli ikabaki 2-0; Sijui belo wapi leo!!
 
Mtani hongera maana najua mlikuwa mnasubiria hii mechi na ile ya marudiano....!! Hii ligi sasa naona inakuwa tamu heheheh!!!
 
MTM umekubali utabiri wangu?

Mkuu nakupa tano... leo zile dk walizoongeza zimewatokea puani!!!! nilikaona ka-Owen kanarusha tumiguu twake mule uwanjani... Ulikaona kale kajamaa, tumpira twenyewe hamna kitu sie kwetu twa'mbombo!!
 
Mkuu nakupa tano... leo zile dk walizoongeza zimewatokea puani!!!! nilikaona ka-Owen kanarusha tumiguu twake mule uwanjani... Ulikaona kale kajamaa, tumpira twenyewe hamna kitu sie kwetu twa'mbombo!!

Leo kiboko lol!! Ila Liverpool kawaida yenu mnafunga timu kubwa a'fu mnakuja kuchemsha kwa watoto wa mchangani lol!! kwa mara nyingine hongera.
 
LUCAS alijitahidi sana leo

Lucas??? Never, were we watching the same game?? He missed three seaters!! gademu Lucas, he was one touch too many, he was always dispossessed whenever there were Manure guys!!!

I am just thankful that Manure were boelow par, kama wangekuwa tunavyowajua tungekoma, both teams were nervous and clampsy especially in the first half

To me, outstanding Liverpool players were Yossi, MAsch, Agger, Torres {fifty-firty} labda na Fabio plus Insua

Anyway, it was a good day, worth waiting for!!!!!!!!!!!
 
Leo kiboko lol!! Ila Liverpool kawaida yenu mnafunga timu kubwa a'fu mnakuja kuchemsha kwa watoto wa mchangani lol!! kwa mara nyingine hongera.

Ohooooo, naona umeanza kufukua maiti, hayo yasubiri kesho mazee!!
 
Mkuu nakupa tano... leo zile dk walizoongeza zimewatokea puani!!!! nilikaona ka-Owen kanarusha tumiguu twake mule uwanjani... Ulikaona kale kajamaa, tumpira twenyewe hamna kitu sie kwetu twa'mbombo!!
Afu walimzomea wakati anaingia?au me sikusikia vizuri, nilidhani watamstai kama keane.....ila generally Aulerio na Lucas leo wamejitahidi...naweza sema labda lukas leo ka up his game..u would expect one from aullerio
 
Leo kiboko lol!! Ila Liverpool kawaida yenu mnafunga timu kubwa a'fu mnakuja kuchemsha kwa watoto wa mchangani lol!! kwa mara nyingine hongera.

...si utani mkuu yaani ahwa wachezaji wakicheza na ManU siku wachezaji wote pinzani wanatafuta kujijengea jina.....wanacheza siku hiyo balaaah..........yaani kama Lucas leo......siku yule Lucas nimjuaye siku zote......Aurellio kawaida yake akikutana na ManU yeye ni Jihad tu akicheza na timu nyingine.....Banitez wala huwa hamuoni.......lol

Manda,
hivi mwaka jana mlipoteza mechi ngapi vile?
 
Fabio kanifurahisha sana leo, na ilikua bado kidogo amtungue Van der sa kwa free kick.
 
Kabla seketa mashabiki wafanya maandamano....

Liverpool-v-Manchester-United-fans-protest_2376774.jpg
 
Back
Top Bottom