Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tatizo viungo we2 hasa Scholes alichemsha sijui kwa nini Flecher hakucheza
Carager naye alistahili red card,aliyewabeba jana ni Benayoun
Itabidi game na Liva tuwe tunawaweka benchi Rio na Vidic
 
LIVERPOOL.............. MANCHESTER UTD
5...............Shots on target............. 3
6...............Shots off target............. 2
5.............Blocked shots ..................3
5 ................. Corners ....................1
20 ..................Fouls ....................13
1...................Offsides ................... 3
363 ..........Total passes ...............484
70%......Passing success ..............75%
31 .................Tackles ................. 25
71% ......Tackles success ............ 88%
43% .........Possession.................. 57%
51% ............Territory .................49%
 
Watani hongereni kwa kupata "lifeline" kupitia Rio Ferdinand. Master Torres ni tishio na baadae akapumzishwa na kumuingiza "understudy" wake David Ngog ambae hakuwaangusha Kop fans na akatundika killer goal.

Ni nguvu na kujituma ndio siri ya ushindi wa jana na sio vinginevyo.
 
Thanks Richard kwa kusahau kwamba Poor Rio was playing 80% Torres, so honors even

What if Torres was 100% fit??? acha za kuleta magumashi mazee, the best team won!!!
 
Thanks Richard kwa kusahau kwamba Poor Rio was playing 80% Torres, so honors even

What if Torres was 100% fit??? acha za kuleta magumashi mazee, the best team won!!!
true mkuu mlipiga mpira siku hile na hongera zenu.kesho nakupa vitoto vile wakuongezee injury ha ha ha.
 
This is lovely... Hahahaaaaaaaaaaaa😛😛😀😀
 
Attachments

Liverfool mnatakiwa muweke viuno chini na kutafakari je mtafudhu raundi ya pili ya champions league?
Msikurupuke kushababia swaumu wakati hamna uhakika na ftari
 
Liverfool mnatakiwa muweke viuno chini na kutafakari je mtafudhu raundi ya pili ya champions league?
Msikurupuke kushababia swaumu wakati hamna uhakika na ftari
Mkubwa welcome back ,ulipotea sana
 
Liverfool mnatakiwa muweke viuno chini na kutafakari je mtafudhu raundi ya pili ya champions league?
Msikurupuke kushababia swaumu wakati hamna uhakika na ftari

Thanks Chomba, wewe kiuno chako ushaweka chini?? Hayo ya CL tuachie wenyewe, tukishindwa basi....

Karibu tena jamvini
 
Man U kuifunga liverpool musahau kwa muda.....................mshakua vibonde wetu.........

.......................You will Never Walk Alone...............................................................
 
Tatizo la Liverfool ni kuwa mnatumia vichwa kubebea masikio.
Mmeifunga Manchester mmeanza kupiga domo huku kanga zikiwa begani mkihisi mna timu nzuri wakati ni uharo mtupu.
Mnachotakiwa ni kufikiria je mtafanya vizuri ktk champions league?
 
Thanks bro, kama hii ndivyo unavyotuthaminisha

MTM
 
Mkubwa welcome back ,ulipotea sana

Heshima mbele mkuu Belo.
Ni kweli nilipotea kwa kitambo lakini nimerudi tena kuja kuwashikisha adabu walopokaji, wapayukaji, wasio na data, na wenye ushabiki mahaba.
 
Heshima mbele mkuu Belo.
Ni kweli nilipotea kwa kitambo lakini nimerudi tena kuja kuwashikisha adabu walopokaji, wapayukaji, wasio na data, na wenye ushabiki mahaba.

Thanks mkuu ujio wako ni kama wa Yesu Messiah!! the only difference ni kwamba wewe unatumia gang approach

Mwenda Tezi na omo, hafikilii mbinguni!!!
 
Congrats arses, its 1-0 to arses... good goal Merida
 
Thanks Looserfool, it's not a big deal hili kombe sisi always tunawakilishwa na yosso

Hey arse, these are your trophies mofo... dont forget where you belong!!! Mr. Bean is relishing a thunderbolt from Insua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…