Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hizo ndio unaona rekodi za maana,naona we ni mfuasi wa Mr Bean
Hivi Man City wliwafunga kwa fitina au nguvu
Huwezi kabisa kuilinganisha Liverpool na Arsenal kabisa Arsenal bado sana

Ndugu yangu unatafuta matusi humu jamvini... wakuu wanasema ngoma ya kitoto haikeshi!!! the one who laughs last laughs most

Tuwasikilize
 
Hizo ndio unaona rekodi za maana,naona we ni mfuasi wa Mr Bean
Hivi Man City wliwafunga kwa fitina au nguvu
Huwezi kabisa kuilinganisha Liverpool na Arsenal kabisa Arsenal bado sana
Nakubaliana na wewe ni ukweli usiopingika kwamba Liverpool wana historia ya kushinda trophies nyingi zaidi ya Arsenal lakini yote inabaki ni historia, hata nyinyi Manutd mumeshinda Premiership mwaka jana, haijalishi, watu tunataka kuona mwaka huu itakuwaje?
Tukiweka unazi mbali kwa kulinganisha mimi nakwambia kikosi bora mwaka huu ni Chelsea ikifuatiwa na 2.Arsenal, 3.Liverpool 4. Man City na mwisho ndio ManUtd. Ukichukulia akina Essien kwenda ACN msimu huu nasema Arsenal tutaibuka mabingwa! hakuna shaka.
 
Mshkaji unapenda kwa nguvu mazee!!!😛😛
 
Ukisikia kukurupuka ndo huku sasa...
je hao kina essien huko CAN watakwenda kukaa mwaka mzima?
 
Gang Chomba;635063]Ukisikia kukurupuka ndo huku sasa...
je hao kina essien huko CAN watakwenda kukaa mwaka mzima?[/
Karibu mwezi wote wa Januari mwezi ambao ni muhimu sana na kama unafatilia hii ligi vizuri miaka yote Desemba na Januari ndio huwa ligi inatoa sura, ukipewa indiketa January mara nyingi ndio imetoka, kukosekana kwa Drogba na Essien litakuwa pengo kubwa pia hao wa ku-cover Kalou na Obi Mikel nao watakosekana.
 
Nakubaliana na wewe ni ukweli usiopingika kwamba Liverpool wana historia ya kushinda trophies nyingi zaidi ya Arsenal lakini yote inabaki ni historia, hata nyinyi Manutd mumeshinda Premiership mwaka jana, haijalishi, watu tunataka kuona mwaka huu itakuwaje?
Tukiweka unazi mbali kwa kulinganisha mimi nakwambia kikosi bora mwaka huu ni Chelsea ikifuatiwa na 2.Arsenal, 3.Liverpool 4. Man City na mwisho ndio ManUtd. Ukichukulia akina Essien kwenda ACN msimu huu nasema Arsenal tutaibuka mabingwa! hakuna shaka.

Umeanza kufuatilia mpira lini wewe?
 
Karibu mwezi wote wa Januari mwezi ambao ni muhimu sana na kama unafatilia hii ligi vizuri miaka yote Desemba na Januari ndio huwa ligi inatoa sura, ukipewa indiketa January mara nyingi ndio imetoka, kukosekana kwa Drogba na Essien litakuwa pengo kubwa pia hao wa ku-cover Kalou na Obi Mikel nao watakosekana.

Tulia chini kisha ukiangalie kikosi cha chelskvic then punguza hao watu watakaorudi mwituni kwa kipindi cha mwezi mmoja kisha utapata jibu kuwa kuwa watumishi watakaoweza kulisukuma jahazi mpk nchi ya ahadi still watakuwepo.
Kisha ukae ukijua kuwa January haina mechi 10 za ligi.
umenipata?
 
Na hiyo tabia ya kusubiri mpk wapinzani wapungue ndo mchukue ubingwa ni ya kidhaifu...
Dobi wa kweli utamjua cku akipewa nguo nyeupe
 
Nakubaliana na wewe ni ukweli usiopingika kwamba Liverpool wana historia ya kushinda trophies nyingi zaidi ya Arsenal lakini yote inabaki ni historia, hata nyinyi Manutd mumeshinda Premiership mwaka jana, haijalishi, watu tunataka kuona mwaka huu itakuwaje?
Tukiweka unazi mbali kwa kulinganisha mimi nakwambia kikosi bora mwaka huu ni Chelsea ikifuatiwa na 2.Arsenal, 3.Liverpool 4. Man City na mwisho ndio ManUtd. Ukichukulia akina Essien kwenda ACN msimu huu nasema Arsenal tutaibuka mabingwa! hakuna shaka.
Hivi vigezo unatoa wapi wakati msimu hata nusu haujafikia
Msimamo wa ligi unaonesha kama ifuatavyo
1.Chelsea 2.ManU 3.Arsenal 4.Spurs 5.Liverpool
Kwenye champs league Chelsea na Man wana point 9
 
Belo mkuu wangu

Usijali sana mie menyewe nasubiri mpaka wiki ya tatu ya january ndio tuweze kupata ramani... si unakumbuka mwaka jana tulipiga kelele weee, hao arsenal walianza na ushindi tukajua yes, wakaja cops weeee mwisho puh. Manure haoooo
 
Hivi vigezo unatoa wapi wakati msimu hata nusu haujafikia
Msimamo wa ligi unaonesha kama ifuatavyo
1.Chelsea 2.ManU 3.Arsenal 4.Spurs 5.Liverpool
Kwenye champs league Chelsea na Man wana point 9

Vigezo vyangu nimechukua kwa perfomance baada ya mechi 10. Msimamo hautupi ukweli wa picha kamili, kwamba ManU ingawa wanashika nafasi ya 2 lakini wana kikosi dhaifu msimu huu, inaelekea kuondoka kwa Ronaldo na Tevez ukichanganya na kushuka kiwango kwa Ferdinand na Vidic timu yenu imepungua kwa asilimia 60 (in perfomance) tofauti na msimu uliopita. Liverpool nayo for some strange reasons wameshuka kiwango, kwa upande mwengine Arsenal na Chelsea wameonyesha kiwango. ManU mlikuwa lucky dhidi ya Arsenal na Man city ( Refs), lucky again dhidi ya Sunderland, poor against Liverpool na Burnley, poor again against Birmingham ingawa muliwafunga.
 
Tulia chini kisha ukiangalie kikosi cha chelskvic then punguza hao watu watakaorudi mwituni kwa kipindi cha mwezi mmoja kisha utapata jibu kuwa kuwa watumishi watakaoweza kulisukuma jahazi mpk nchi ya ahadi still watakuwepo.
Kisha ukae ukijua kuwa January haina mechi 10 za ligi.
umenipata?

Ngoja nikuambie kwamba kwa kawaida December ndio ratiba inakuwa nzito kwa (the top 4) katika hii ligi, vilevile kutokana na wingi wa mechi ndio majeruhi wanakuwa wengi, ukichukulia heavy schedule + key players missing + fatigue and injuries utaelewa kwamba Chelsea watakuwa katika serious trouble kati ya timu hizi 4, Wenger alisema haya mashindano ya Africa mwaka huu ndio yamechangia kwa kiasi kikubwa katika maamuzi yake ya kuwauza Toure na Adebayor Alishaumwa na nyoka huko nyuma kwa staili hiihii.
Hivi unafikiri kwa nini Ferguson ama hata Benitez wanakuwa waoga kusaini waafrika katika msimu ambao haya mashindano hufanyika?
 
huyo wenger anajishaua tu...
je miaka yoote aliyokosa vikombe mashindano ya africa yalikuwa yanafanyika?
 
Vigezo vyangu nimechukua kwa perfomance baada ya mechi 10. Msimamo hautupi ukweli wa picha kamili, kwamba ManU ingawa wanashika nafasi ya 2 lakini wana kikosi dhaifu msimu huu, inaelekea kuondoka kwa Ronaldo na Tevez ukichanganya na kushuka kiwango kwa Ferdinand na Vidic timu yenu imepungua kwa asilimia 60 (in perfomance) tofauti na msimu uliopita. Liverpool nayo for some strange reasons wameshuka kiwango, kwa upande mwengine Arsenal na Chelsea wameonyesha kiwango. ManU mlikuwa lucky dhidi ya Arsenal na Man city ( Refs), lucky again dhidi ya Sunderland, poor against Liverpool na Burnley, poor again against Birmingham ingawa muliwafunga.
Kama ni suala la pefomance basi kila msimu Arsenal ni mabingwa but kama ni kushinda nyie mtaendelea kuwa wasindikizaji ,tatizo la Man U msimu huu liko kwenye defence,kwa Liverpool hata mwaka jana tulikuwa vibonde
 
Belo hutaki tu kukubali pamoja na kwamba mwaka jana mulikuwa vibonde kwa Liverpool lakini hebu sema honestly hivi unafikiri timu yenu msimu huu iko imara kama msimu uliopita? Kwa nini Ferguson anahaha kutafuta wachezaji kusajili January?
C.Ronaldo kwa ManU alikuwa ni sawa na Torres au Gerrard kwa Liverpool pengo la Ronaldo linaonekana wazi, na perfomance yenu iko chini so far! na sifikiri kama mutaunga hata mukifanya usajili january.
 
Back
Top Bottom