Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya maneno nilimwambia egylpz jumapili iliopita nadhani maneno yangu yamekamilika.mkuu wewe ukifungwa leo ligi ndio inabalance vizuri manake liverpool huyo anaweza kwenda kujikwaa tena weekend hijayo ahaaminiki hata kidogo..
haya maneno nilimwambia egylpz jumapili iliopita nadhani maneno yangu yamekamilika.
alafu abromovich anawakopesha mil 20 yakumfukuza benitez manake hawana hela ya kuvunja contract yake ha ha ha.Na jumatano Lyon anawala.
Na jumatano Lyon anawala.
Naona kama Rafa ameshagonga ukuta kibarua kimeshaota majani tusubiri tangazo tu!
haya maneno nilimwambia egylpz jumapili iliopita nadhani maneno yangu yamekamilika.
Naona MTM ka modem kake za Zantel/Vodacom kana matatizo leo
Naona MTM ka modem kake za Zantel/Vodacom kana matatizo leo
mbaya zaidi hio mechi inayofata na birmingham city watoto wanasumbua sana nao.Hahaha mkuu nilimwambia MTM kuwa Liverpool mechi inayofuata wanafungwa lol...isitoshe nilisema Kops kwenye ligi wana mechi mbili tu (dhidi ya Manchester) baada ya hapo ligi imeisha.
sijawahi kuona jukwaa limetekwa na wapinzani bila wenyewe hata kutokea kujibu mashambulizi kama hili la liverpool siku mbili hizi ha ha ha.
Hahaha mkuu nilimwambia MTM kuwa Liverpool mechi inayofuata wanafungwa lol...isitoshe nilisema Kops kwenye ligi wana mechi mbili tu (dhidi ya Manchester) baada ya hapo ligi imeisha.
Heheh mkuu internet ya Voda imeingiliwa na bug....
Ha!ha!ha!ha!aaa.......MTM.....yupo ''AI SII YU'' tangia jana jioni.....amepata depression kali.......!
Naona MTM ka modem kake za Zantel/Vodacom kana matatizo leo
bora umejitokeza mkuu hili tuweze kukupa pole. mchawi wako benitez na sub zake alizofanya za ajabu.mpelekeni mkampime akili yule jamaa kama mzima au vipi manake saa nyingi decision zake za ajabu sana.torres,benayoun na kuyt wote wameshangaa kutolewa lol.Wakuu wote mlioniwasha madongo humu, nashkuru sana.... Huu wote ndio urafiki, mmenikumbuka katika shida, hahahaaaaaaa
Yaani watani hamna hata huruma, nimeingia mitini maana kila nikichungulia nakuta mawe ya kufa mtu!!!
Jamani ehh, sie tumefulia... we will be just taking one game at a time!!! Kuna watu wanasema kuchamba kwingi, kutoka na m@v!, naona Benitez sasa ameanza kutoka na m@v!
NAshkuru kwa kuendeleza libeneke wakati mwenye jamvi niko wodini napumulia mashine baada ya mshtuko mkuu!!!😛