Au umefunga 3 halafu unapigwa 2 za fastafasta, unaona kabisa dakika zmebaki chache na defenders wameelemewa, sub yupo tuore unaona ngoja nitoe striker au attackng midfielder mmoja niweke beki akaongeze nguvu backline ulinde hako kagoli kamoja, cha ajabu huyo beki uliyemweka ndo anakufunga, full tym kibao kinasoma draw ya 3 kwa 3. Hahahahahahahaha!
teeeeh..! Toure saivi anafunga kweli...
Tisa na Nusu
wanangu game yetu saa ngapi leo?em so exited yani i cant wait/...
tisa na nusu kwa saa za afrika mashariki
Cyo tisa kamili mkuu?????
LINEUP,Mignolet,Manquillo,Johson,Skirtel,Lovren,Gerald,Lucas,Hendo,Coutinho,Sterling,Struridge.
Hapo ni kipondo kwenda mbele
The pride of meryseside
Tupo pamoja sana wana KopS, ila tuzidi tu kuwa na imani na timu yetu tukiomba icheze kwa nidhamu, ufanisi na umakini wa hali ya juu bila kuwa na hofu yoyote.
Matokeo ya mpira wa siku hz ni ya kushangaza sana unategemea haya yanatokea yale!!
Uvumilivu, uamifu na upendo wa dhati unahitajika sana kwetu sisi mashabiki yatupasa tuweke kando hasira, chuki, kununa na kejeli zozote.
Nawatakia mechi njema na matokeo mema wadau, Mungu na Bahati iwe upande wetu katika siku ya leo. LiverpoolFC YNWA.
Hahahahaha! Kwa sasa hatuhtaji huduma ya Toure, kikosi kimepanuka kwa asilimia 80 kama hali ita-remain constant tutakumbwa na janga la ukame wa magoli endapo sturridge atakuwa majeruhi.
Hahahahaha! Kwa sasa hatuhtaji huduma ya Toure, kikosi kimepanuka kwa asilimia 80 kama hali ita-remain constant tutakumbwa na janga la ukame wa magoli endapo sturridge atakuwa majeruhi.
Hapo ni kipondo kwenda mbele
The pride of meryseside