Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Au umefunga 3 halafu unapigwa 2 za fastafasta, unaona kabisa dakika zmebaki chache na defenders wameelemewa, sub yupo tuore unaona ngoja nitoe striker au attackng midfielder mmoja niweke beki akaongeze nguvu backline ulinde hako kagoli kamoja, cha ajabu huyo beki uliyemweka ndo anakufunga, full tym kibao kinasoma draw ya 3 kwa 3. Hahahahahahahaha!

teeeeh..! Toure saivi anafunga kweli...
 
wanangu game yetu saa ngapi leo?em so exited yani i cant wait/...
 
teeeeh..! Toure saivi anafunga kweli...

Hahahahaha! Kwa sasa hatuhtaji huduma ya Toure, kikosi kimepanuka kwa asilimia 80 kama hali ita-remain constant tutakumbwa na janga la ukame wa magoli endapo sturridge atakuwa majeruhi.
 
Tupo pamoja sana wana KopS, ila tuzidi tu kuwa na imani na timu yetu tukiomba icheze kwa nidhamu, ufanisi na umakini wa hali ya juu bila kuwa na hofu yoyote.
Matokeo ya mpira wa siku hz ni ya kushangaza sana unategemea haya yanatokea yale!!
Uvumilivu, uamifu na upendo wa dhati unahitajika sana kwetu sisi mashabiki yatupasa tuweke kando hasira, chuki, kununa na kejeli zozote.
Nawatakia mechi njema na matokeo mema wadau, Mungu na Bahati iwe upande wetu katika siku ya leo. LiverpoolFC YNWA.
 
Last edited by a moderator:
LINEUP,Mignolet,Manquillo,Johson,Skirtel,Lovren,Gerald,Lucas,Hendo,Coutinho,Sterling,Struridge.
 
Tupo pamoja sana wana KopS, ila tuzidi tu kuwa na imani na timu yetu tukiomba icheze kwa nidhamu, ufanisi na umakini wa hali ya juu bila kuwa na hofu yoyote.
Matokeo ya mpira wa siku hz ni ya kushangaza sana unategemea haya yanatokea yale!!
Uvumilivu, uamifu na upendo wa dhati unahitajika sana kwetu sisi mashabiki yatupasa tuweke kando hasira, chuki, kununa na kejeli zozote.
Nawatakia mechi njema na matokeo mema wadau, Mungu na Bahati iwe upande wetu katika siku ya leo. LiverpoolFC YNWA.

Umenitangulia kusema mkuu safisanaa nikweli kabisa vtim nivyaajabu cku hiz isiende kutgemea kushinda tu
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha! Kwa sasa hatuhtaji huduma ya Toure, kikosi kimepanuka kwa asilimia 80 kama hali ita-remain constant tutakumbwa na janga la ukame wa magoli endapo sturridge atakuwa majeruhi.

line up!
 
Attachments

  • Line up.jpg
    Line up.jpg
    130.5 KB · Views: 52
  • Line up1.gif
    Line up1.gif
    27 KB · Views: 108
Hahahahaha! Kwa sasa hatuhtaji huduma ya Toure, kikosi kimepanuka kwa asilimia 80 kama hali ita-remain constant tutakumbwa na janga la ukame wa magoli endapo sturridge atakuwa majeruhi.

hahaha...hahaha...!! Kuna Gerard, nae anachukua mikoba ya kujifunga toka kwa Toure..!
 
Uwanja upo full kujaa hatar yaelekea imani nikubwa mno msimu huu yakufanikuiwa
Tim ndo zinaingia uwanjani
 
Back
Top Bottom