Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kucheza kwa SG na Lucas pamoja kunatufanya tumiliki kiungo kwa ukamlifu zaidi
 
Lovren na Skrtel

Gerrard na Lucas

Stearling na Sturridge.

Mpaka raha jamani, nasubiria matokeo tu hapa.
 
Hodi humu ndani wana liver nipokeeni mimi mwenzenu japo na kamba mguuni ila soon nitakuwa mwenyeji
 
Handerson kapooza kidogo moto wake ukiweza kuweka timu nayo itaanza kwenda speed ila Lucas na Johnson soon bench Lao.
 
Hodi humu ndani wana liver nipokeeni mimi mwenzenu japo na kamba mguuni ila soon nitakuwa mwenyeji

karibu sana mkuu!
Tunaangalia mpira, tunatathimini, tunahoji na kushauri bila jazba, matusi, kejeli na dharau kwa wachezaji wetu na wapinzani wetu pia ili kuendelea kujenga taswira nzuri ya timu yetu.

YMWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…