Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kwel msimu wa presha umeanza
Hata sioni Leo anachofanya zaidi ya goliDogo Sterling anatereza kama kapakwa sabuni, Kwa nini Arsenal walidharau kumsajili?
Jana kulikua na wakaanga sumu sana kule kwetu..!!
Kwa style mnayocheza na jinsi Southampton wanavyowapeleka sitashangaa habari zenu zikawa kama za OT au mbaya zaidi