Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Middle za LFc ndio zinawacha watu wapate mpira LFC tunatakiwa tutulie na mpira Don't Panic

Allen katuliza team!Ni vyema sasa tuwe makini sana points 3 hata ukishinda 1 zinakuwa 3 tu
 
FT
LIV 2 - 1 SOU
Southampton wamecheza vizuri sana ila bahati haikuwa yao..
Japo Hakuna timu mtoto kwenye BPL ila hii scoreline bado haioneshi makucha mliyonayo japo mmepata hizo 3pts
 
kusema kweli Leo tumecheza ovyo no excuse za ndio kwanza game ya kwanza lazima tukosoe Leo Middle hazijachezesha Striker wala kuwapa pumzi mabeki Leo Skrtel,Lovren na Manquillo wamecheza vizuri kwa Presha zote zile ila Johnson hakuna kitu Leo Coutinho na Raheem na. Sturidge nao walikuwa kimya ila Middle zilikuwa Zero Kasoro Handerson tu Leo Rogers atizame makosa aweke sawa zaidi ya hapo 3 point kwenye begi 2-1 We Go Again LFC YNWA!
 
FT
LIV 2 - 1 SOU
Southampton wamecheza vizuri sana ila bahati haikuwa yao..
Japo Hakuna timu mtoto kwenye BPL ila hii scoreline bado haioneshi makucha mliyonayo japo mmepata hizo 3pts

Tumekuelewa mchambuzi mahiri wa soka.
 
Daaah sikutegemea Southampton kuleta ushindani kama huu kwa kweli

Soton walikuja anfield lea kuwaonesha liverpool kua we are still stable despite the fact that u have taken our key players na ndio maana mechi ilikua ngumu kwetu.
 
masikini wachawi Wana type kwa unyonge ilivyokuwa 1-1 walitaka kuingia then wakafikiria mhhhh watarudi hehehe sasa wengine roho zimewauma nendeni kajadili timu yenu iliofungwa sie tunajadili yetu tumeshinda tuleteeeni picha basi sindio mlikuwa mnajitaharisha au? Mtachungulia sana We Go Again LFC YNWA! 3points Love It LFC YNWA! Raheem Sterling na Kaka Yake SAS!
 
Msimu ulio pita walitufunga kwetu hawa jamaa!Pamoja na kupoteza almost kikosi chao chote cha kwanza bado jamaa wazuri sana hawa
 
Yote ya yote BPL tumecheza mechi moja tuu japo tumepoteza ila sijaona timu inayotishia kwamba haifungiki kwa mechi zote nlizozitazama... Najua hata hii unaifuatilia na unaelewa nachokiongelea


Huwezi kujua hayo katika mechi ya kwanza ya ligi wala ya pili, subiri mechi 5-10 zichezwe ndo unaweza kupata mwangaza kidogo ligi itakuwaje
 
Back
Top Bottom