Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamani wadau wa LFC mimi kwangu Man of the match ni JOE ALLEN.
Amecheza muda mfupi sana lakn alichokifanya ni kikubwa mno.
Anafuatiwa na Simon Mignolet.

Mkuu Allen alibadili gemu tukashine na kwa kweli mignolet anazidi kuimarika tatzo lipo kama akirudishwiwa mpra na beki anapanic sana sijui kwanini tu!
 
JUST IN:

Last season LFC managed to block 2.7 crosses, BUT leo MANQUILLO blocked 3 crosses.

What a Debut for MANQUILLO!!!!!
 
Mkuu Allen alibadili gemu tukashine na kwa kweli mignolet anazidi kuimarika tatzo lipo kama akirudishwiwa mpra na beki anapanic sana sijui kwanini tu!

As time goes on ataimprove zaidi ila Lucas aende zake Napoli halafu BR afanye fasta kumtoa SONG baca aje Anfield.
 
Wallpaper..
 

Attachments

  • 1408299700265.jpg
    73.7 KB · Views: 73
Hujui kabisa unachosema... Br changes tactics anavyotaka na kwa smoothness ya ajabu

I think hujii unachoongea

Pamoja na kumwambia jamaa hajui anachoongea, huo ndio ukweli wenyewe. Mi naungana nae mkono either BR hajui kubadili mchezo au wachezaji wake ndio hawajui kubadili mchezo. Kwa case study ya msimu uliopita game zetu nyingi tulimaliza kipindi cha kwanza, kipindi cha pili tulikuwa tunacheza hovyo sana, Sidhani kama kuna game tuli maintain kucheza vizuri dk zote 90, au tumetoka kuzidiwa hadi kubadili mchezo kwa kucheza vizuri (Sio kupata matokeo mazuri), manake kuna game tulizidiwa na tukapata matokeo mazuri.
 
Mkuu Allen alibadili gemu tukashine na kwa kweli mignolet anazidi kuimarika tatzo lipo kama akirudishwiwa mpra na beki anapanic sana sijui kwanini tu!

Mi mwenyewe sikutegemea kama Joe leo ndio angeibeba timu tokea sub. Lucas na Coutinho wahawakutakiwa kabisa kuwepo kipindi cha pili game iliwagomea kabisa. MOM kwangu ilikuwa back five yote + Henderson.
 
Nilivyokuwa nasema kabla msimu hujaanza kuwa Gerrard na Johnson inabidi wawe bench, mmeona point yangu leo? Gerrard legend sawa lakini yupo so slow! Na Johnson- Mungu wangu weee..sijaona beki mbaya kama yeye sasa. Bora angecheza Enrique.

Mid wiki ijayo- Can, Allen- Henderson. Gerrard na Lucas bench.
 
Cha msingi point tatu kibindoni...tusubiri J3 next week saa4 ucku pale Etihad kwa Man City!
 

Mimi nilisema hapa nikaonekana mbaya ila ukweli uta-stand SG's glory days are over, hatuna CAM zaidi ya countinho, leo game ili mkataa kabisa na maafa yake mliyaona. All in all ni game ya kwanza tumecheza vizuri kulinganisha na game ya kwanza na sunderland last season, BR should have plan B whenever we are under pressure, the whole team looked fragile after SOTON equaliser. A decent striker is what we need, 4-3-3 is the formation that suits Liverpool
 

Uliangalia game ya leo kweli???..

I thougt we ni shabik unayeijua LFC vizuri..

How can you blame SG kwenye game ya leo..uslow wake ulikuwa wapi??..

As LFC fans we all know combination ya SG na LEIVA haijawahi kuwork hata kidogo chini ya BR..

Alivyotoka Lucas akaingia Allen, mpira uliuona vipi??

Na how can u drop SG akiwa fit kwenye game tafu kama ya Man city??..last season alipokuwa na card, tulienda Etihad katikati walicheza Allen, lucas na Hendo, we lost that match, na sahiv City wana Reges afu unataka uwapelekee Combnation ya Allen, can na Hendo???? Seriously???..you need SG, CAN and HENDO kubattle na kina Yaya, fernandinho na Reges...??

Na bora ungesema BR arudi tu kwenye 4-3-3, Huu mfumo wake wa sahiv utafanya kazi Lallana akiwa fit.
 

Niliangalia mechi yote ndiyo, nimeanza kuangalia na kuwa na hii opinion kuwa Gerrard inabidi awe bench tangia mwaka jana zidi ya Spurs tulivyoshinda tatu bila yake. Lets be little bit honest here, Henderson does Gerrrard's dirty work and his work too. Henderson covers Gerrard defensive frailties. Gerrard anacheza 40 metres crosses and gets the plaudits but when you read majority of opinions from Liverpool related websites, they hold the same view, Gerrard needs to get benched. Allen alivyoinga uliona more quick and more paced midfield. Henderson got a breather when Allen was playing. If you add Can, basi hiyo midfield itakuwa yote pressing, covering na hamna mtu ambaye amechoka.

Labda kwa mechi ijayo ntamchezesha Gerrard instead of Allen lakini baada ya hapo sioni sababu kusema kweli ya kwanini Gerrard aendelee kubaki. Angalia mechi na ona Gerrard anafanya kazi gani specifically? He is super slow in connecting interchargeable passes, yupo slow in pressing, yupo slow kwenye defensive md position yake. Sio kwamba namponda, lakini muda kwa kila mtu unafika, hata Lampard kwa chelsea muda wake ulifika akaanza kukaa bench mara nyingi nyingi.

Secondly, BR leo kacheza kamari yeye mwenyewe..sijui kwanini kamuanzisha Lucas na Gerrard- hapa kila mtu aliona kuwa kakosea. Soma kila review, wamemponda haya maamuzi.

Mimi kikosi changu cha liverpool napenda kiwe hivi:
Manquilo/Flano Sakho( Sktrel mzembe sana) Lovren Moreno
Henderson Can Lallana/Allen
Sterling Sturridge Countinho.

Markovic apiganie namba na Sterling. Hiki kikosi kitakuwa more kinashambulia na kukimbiza kote kote.
 

Our first game was Against Stoke City last season!

Is Lallana not a CAM???
 
Full Moon...with all due respect kwa ulichokiandika,Martine is a super RCB..he deserves a little respect for how he played yesterday,sio MZEMBE! Halafu,how can you play a decent LCB(Sakho) to the Right side? Martine anapgania namba na Seba tu,huyo Mamadou akomae na Lovren na Daniel..hao ndo wanatumia miguu ya kushoto.
 
Last edited by a moderator:

Gerrard Stats Vs Southampton:

Total passes 70
Passing Accuracy 89%
Passes per minute 70
Total crosses 3
Chances created 1
Tackles won 100%

Kuna Stats za SG za msimu uliopita nilishawahi kuzitoa humu, so sina haja ya kuzirudia..

Kocha amekupa role ya kucheza katika "deep cover" kwa ajili ya kuwalinda mabeki, asa quick intechangable passes za nini??(fernandinho and now Reges, Raul wa ATM, Motta wa PSG, Etc), si nao wangekuwa wanapiga hizo interchangable passes??..SG anacheza mbele ya DL na MS, kazi yake ni kutoa cover kwa centre backs na kuhamisha mipiri ili kuutanua uwanja na kujenga vyumba vya kucheza kwa nafasi, leo ilikuwa ngumh kwa sababu lucas naye alikuwa anarud nyuma sana (he's not good going foward)..na kumwacha Hendo peke yake kupokea mipira ya SG..Baada ya kuingia ALLEN, akatoa nafasi ya SG kufunguka zaid, coz Allen anajua jins ya kuUnlock mids za opponents kwa pass fupi fupi, hii pia ilitoa nafasi zaid kwa Hendo kurudi katikati na kuisqueze midfield ya Southampton, na hapo tuliona SG akiwa anaenda mpaka mbele..mfumo wa 4-2-3-1 tuliucheza Last season kwenye baadhi ya match na haukowork out, ni kama kwenye game against Norwich City away, where SG na Lucas walicheza pamoja (haikufanikiwa kabisa)..

A deep mid, unataka awe anakimbia kimbia ili iwaje??..Wakati kazi yake ni kuvunja Connection ya Attacking threats za opponents dhind ya backline yake..na kama umeangalia mpira leo, Southampton walikuwa wanatumia sana kupita pembeni kuliko katikati, (hata goal lao limetokea pembeni)..

SG hachezi namba 10 no more au hachez kwenye free role no more, YUPO kwenye DM sahiv..

Me huwa sifati mawazo ya wazungu hata siku moja, coz naungalia na naujua mpira pia (hao hao wazungu unaowafatilia kwenye hizo forums ndo walioponda sana usajili wa Danny na Coutinho( tena walkuwa wanasem coutinho ni UNKNOWN)..hao hao ndo walikuwa wanamtukana Henderson kila siku kwenye mitandao yao..na hao hao ndo walikuwa wanaponda sana usjili wa Lallana..na hao hao ndo walikuwa wanaponda kuwa £20m kwa LOVREN ni nyingi..

Na kama umeangalia mpira leo, GJ na LUCAS ndo walikuwa wanaua moves zote za LFC, Walikuwa wakipata mipira wanapoteza, na hata ukiangalia Stats zao HAWAJAFANYA HATA TACKLE MOJA..so badala ya kumlaumu Lucas aliyekuwa mzigo leo, unakimbilia kumlaumu SG, kapoteza mpira gani leo??..

mbona hawasemi kuwa kuwa BR anampendelea sana RS kwenye Kikosi??..mbona yupo Biased kuhusu RS, how can u play A natural number 10 coutinho wide na kumuacha RS acheze katika free role ambayo ilimfanya akae nyuma ya ST, Na wote tumeona jinsi Coutinho alivyokuwa Poor leo, lakini kuna mzungu gani kamtukana phill leo, kwasababu wanajua ni kwa nn!!!

Countiho anaproduce more akiwa katikati, nyuma ya ST, na Danny alikuwa isolated leo kwasababu hizo hizo, RS ni mzuri akikaa kwenye wings, PC ni mzuri akiwa nyuma ya ST coz ni creative mid, anajua kumchezesha ST..4-3-2-1, haiwez kufanya kazi kama kwenye bench una Lucas na Allen tu..unahitaj mtu kama Lallana na Can ndani..na unapocheza 4-2-3-1 lazima umdrop either PC au RS kama AL akiwa fit..

Hahahahah!!!..

na hapo ume-mdrop MS..

unajua kwamba natural side ya Lovren ni LCB?? na ndo huicheza kwa ufasaha sana kuliko RCB??..asa kwann umapatine na LCB mwenzake Sakho??..(wakati RCB yupo fit??)..

Martin Skritel kacheza vibaya leo!!!!???
 
MosDef na Full Moon angalieni vyema mechi na Southampton na mje mlete hapa mrejesho!!

Bila Mignolet;Manquillo;GJ;Lovren;Skrtel na SG tusingepata hata sare leo.SG kacheza vyema kwa maelekezo yote na kahamisha sana mipira kwenda mbele!!

Henderson;Lucas na Coutihno leo hawakuwa Ok kabisa lkn beki imecheza vyema mno leo!!

Na Man City tukiimarisha kumiliki mpira mido za mbele nina uhakika tutapata matokeo mazuri
 
Last edited by a moderator:
Mechi nyingi anazocheza Coutinho nyuma ya Straika huwa ana perform vizuri sana, na game nyingi anazocheza pembeni huwa anaharibu sana, sasa sijui kwa nini BR huwa hauoni hili na jana hakutaka hata kumjaribu kubadili namba hadi anamtoka. Na kingine Henderson huwa mzuri zaidi akiwa kati, pamoja na jana kupelekwa pembeni amecheza vizuri sana.
 
Sijajua kwa nini Enrique hakucheza ila team bado ilishindwa kumiliki mpira kwa vipindi virefu... Lucas yuko slow sana sasa ..

Naona LFC wakifanya vizuri Ulaya ila EPL ni ngumu sana... bado sana tunahitaji Striker mzuri...

Ila bado team ni nzuri...
 
watani salama?
naona hawa vijana Southampton pamoja na kuchukua majembe yao lakini walileta ushindani wa kutosha.
hongereni;

leo ni sisi...
Agosti 8, forever blue
 
ok, he changed the game yetserday to 4-3-3

just one simple case

jitumeni msome analysts wanasema nini kuhusu ability ya liverpool to change games in the middle of things

anyway, ndio hivyo tena kutofautiana ndio kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…