MosDef na Full Moon angalieni vyema mechi na Southampton na mje mlete hapa mrejesho!!
Bila Mignolet;Manquillo;GJ;Lovren;Skrtel na SG tusingepata hata sare leo.SG kacheza vyema kwa maelekezo yote na kahamisha sana mipira kwenda mbele!!
Henderson;Lucas na Coutihno leo hawakuwa Ok kabisa lkn beki imecheza vyema mno leo!!
Na Man City tukiimarisha kumiliki mpira mido za mbele nina uhakika tutapata matokeo mazuri
Our first game was Against Stoke City last season!
Is Lallana not a CAM???
ok, he changed the game yetserday to 4-3-3
just one simple case
jitumeni msome analysts wanasema nini kuhusu ability ya liverpool to change games in the middle of things
anyway, ndio hivyo tena kutofautiana ndio kujifunza
Cavani ni mzigo....Nimefarijika sana leo baada ya kuona LFC ipo mbioni kutumia paundi M.60 kumchukua Edison Cavan na Alex Song kwa ada ya 50 kwa 10 respectively.....
Glen Johnson ni mzigo... he is unmotivated and he didnt cover for the S'ton goal...MosDef na Full Moon angalieni vyema mechi na Southampton na mje mlete hapa mrejesho!!
Bila Mignolet;Manquillo;GJ;Lovren;Skrtel na SG tusingepata hata sare leo.SG kacheza vyema kwa maelekezo yote na kahamisha sana mipira kwenda mbele!!
Henderson;Lucas na Coutihno leo hawakuwa Ok kabisa lkn beki imecheza vyema mno leo!!
Na Man City tukiimarisha kumiliki mpira mido za mbele nina uhakika tutapata matokeo mazuri
Kwa uchezaji wake alipokuwa SOTON alikuwa anatokea pembeni, ndo mchezaji ambaye alikuwa na free role. BR anapenda kujaribu sana kuona kama wachezaji wake wataweza kucheza zaidi ya position moja uwanjani, he has achieved on SG na RS ila kwa wengine imekuwa ngumu. ushindi dhidi ya SOTON ni mzuri kujenga morali kwa wachezaji kwenye mechi mbili ngumu za away to city na spurs
Beki ilichezaje vizuri,wakati kipa wetu kwa machi za ufunguzi ndiye bora kwa kuokoa mipira ya hatari au kuokoa gori,Mzee Wa Rubisi beki jana ilicheza vizuri sana isipokuwa GJ tu,tatizo lililotukost jana sio beki,ni mfumo tuliotumia,ile mechi alitakiwa Phillipe akae benchi kabisa,acheze Joe,pia Lucas hakucheza vema,kama angechezeshwa DM nadhani angekuwa safi zaidi,ile free role lucas haiwezi kbs make he's not good in going forward...unles angempanga Emre ahead of Lucas.Game ijayo Alberto will be there for GJ position,nadhan Emre pia ataanza.
Pili,we unaona beki ilicheza vizuri kwa sababu kiungo kilikufa kabisa,ndo maana TOtal Clearances Martin Skrtel alitoa 20 wakati Lovren 11 kwa maana hiyo ndo maana nikasema kiungo akikuwa sawa,we fikiri SG kapiga pass 70 alifuatia ni mabaki kwa pass zao ya nyumaMzee Wa Rubisi beki jana ilicheza vizuri sana isipokuwa GJ tu,tatizo lililotukost jana sio beki,ni mfumo tuliotumia,ile mechi alitakiwa Phillipe akae benchi kabisa,acheze Joe,pia Lucas hakucheza vema,kama angechezeshwa DM nadhani angekuwa safi zaidi,ile free role lucas haiwezi kbs make he's not good in going forward...unles angempanga Emre ahead of Lucas.Game ijayo Alberto will be there for GJ position,nadhan Emre pia ataanza.
| Position |
|---|
| Games played |
| Minutes Played |
| Starts |
|
|
|
|
| Passes |
|---|
| Passing Accuracy |
| Passing Accuracy opp. Half (%) |
| Duels Won |
| Duels lost |
| Duels won (%) |
| Aerial duels won |
| Aerial duels lost |
| Aerial Duels Won (%) |
| Recoveries |
Hodi humu ndani wana liver nipokeeni mimi mwenzenu japo na kamba mguuni ila soon nitakuwa mwenyeji
Karibu mkuu prober ze good...hiyo kamba ya mguuni imeishakatika, humu ndani wote ni familia moja...YNWA!
True Mkuu hata Mie Bora Reus japo tabu kumpata bora nitoe 23-30 kwa Reus kuliko Falcao Yule Falcao Loan 10m na Mshahara Laki mbili per week ya UK money jamaa ndio mfungaji ila sio mchukuwa game na kuifanya timu ishinde jamaa Yule mpaka achezeshwe za Van Nistoroy bora Cavani anaweza kuchezesha ila Reus kila kitu anacho anajuwa kuibeba timu kuliko Falcao na Cavani ila bora Cavani tunaona anavyomchezesha Ibrohimovich na Uruguay bila yeye kufunga zaidi ya hapo Bora Remy angekuwepo ni Striker na winger jamaa na Middle ya kukaba muhimu Kama Alex Song ili Lucas aondoke.Imeshakati sasa nazunguka bila shida mtaniona. pia naona BR afanye juu chini tumpate Reus atafiti kimfumo zaidi ya Falcao au Cavanni mnaonaje hilo wadau au ni ngumu
True Mkuu hata Mie Bora Reus japo tabu kumpata bora nitoe 23-30 kwa Reus kuliko Falcao Yule Falcao Loan 10m na Mshahara Laki mbili per week ya UK money jamaa ndio mfungaji ila sio mchukuwa game na kuifanya timu ishinde jamaa Yule mpaka achezeshwe za Van Nistoroy bora Cavani anaweza kuchezesha ila Reus kila kitu anacho anajuwa kuibeba timu kuliko Falcao na Cavani ila bora Cavani tunaona anavyomchezesha Ibrohimovich na Uruguay bila yeye kufunga zaidi ya hapo Bora Remy angekuwepo ni Striker na winger jamaa na Middle ya kukaba muhimu Kama Alex Song ili Lucas aondoke.
Ila tukimpata Falcao siyo mbaya ni bonge la striker....