Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MosDef na Full Moon angalieni vyema mechi na Southampton na mje mlete hapa mrejesho!!

Bila Mignolet;Manquillo;GJ;Lovren;Skrtel na SG tusingepata hata sare leo.SG kacheza vyema kwa maelekezo yote na kahamisha sana mipira kwenda mbele!!

Henderson;Lucas na Coutihno leo hawakuwa Ok kabisa lkn beki imecheza vyema mno leo!!

Na Man City tukiimarisha kumiliki mpira mido za mbele nina uhakika tutapata matokeo mazuri

GJ?????
 
Last edited by a moderator:
Our first game was Against Stoke City last season!

Is Lallana not a CAM???

Kwa uchezaji wake alipokuwa SOTON alikuwa anatokea pembeni, ndo mchezaji ambaye alikuwa na free role. BR anapenda kujaribu sana kuona kama wachezaji wake wataweza kucheza zaidi ya position moja uwanjani, he has achieved on SG na RS ila kwa wengine imekuwa ngumu. ushindi dhidi ya SOTON ni mzuri kujenga morali kwa wachezaji kwenye mechi mbili ngumu za away to city na spurs
 
ok, he changed the game yetserday to 4-3-3

just one simple case

jitumeni msome analysts wanasema nini kuhusu ability ya liverpool to change games in the middle of things

anyway, ndio hivyo tena kutofautiana ndio kujifunza

Tunajifunza kwa kutofautiana mawazo, hata hao Analysts wenyewe huwa hawana mawazo sawa, wanatofautiana na ndio hao hao ambao hawakuipa Liver kabisa nafasi msimu uliopita. Kwa case ya game ya jana game ilitukataa muda mwingi , ilibadilika na kuwa upande wetu alivyoingia tu Joe, ila mara tu tuliposhinda bao la pili hali ikarudi tena kuwa ngumu upande wetu. Kwa matokeo ilitusaidia, ila kimpira haikusaidia chochote. Hata yeye mwenyewe kasema "The win was the most important thing".
 
Nimefarijika sana leo baada ya kuona LFC ipo mbioni kutumia paundi M.60 kumchukua Edison Cavan na Alex Song kwa ada ya 50 kwa 10 respectively.....
 
MosDef na Full Moon angalieni vyema mechi na Southampton na mje mlete hapa mrejesho!!

Bila Mignolet;Manquillo;GJ;Lovren;Skrtel na SG tusingepata hata sare leo.SG kacheza vyema kwa maelekezo yote na kahamisha sana mipira kwenda mbele!!

Henderson;Lucas na Coutihno leo hawakuwa Ok kabisa lkn beki imecheza vyema mno leo!!

Na Man City tukiimarisha kumiliki mpira mido za mbele nina uhakika tutapata matokeo mazuri
Glen Johnson ni mzigo... he is unmotivated and he didnt cover for the S'ton goal...

Henderson alijitahidi kuweka physical presence and to me the men were Mignolet, Raheem, Manquilo, Lovren, SG na Allen

Lambert alijitahidi pia kutumia mwili
 
Mechi ya jana ilikuwa ngumu sana tena sana sivyo tulivyokuwa tunajipa matumaini.
Pili, Nilivyouona mchezo huwo,beki yetu bado tena sana kuna wakati kama inazubaa tatito hili ni kama mwaka jana.
Tatu, kiungo kwa jana kilipwaya
Nne, Upande wa ushambuliaji bado kuna matatizo madogo
Lakini tatizo hili siyo la Liver tu bali timu zote zilizoshinda hakuna ilionyesha kuwa kunakitu wanataufuta.
Mwanzo ni mzuri,utamsaidia kocha kujiamini ukizingatia katumia Pound 100m inaweza kuwa presha pia
 
Kwa uchezaji wake alipokuwa SOTON alikuwa anatokea pembeni, ndo mchezaji ambaye alikuwa na free role. BR anapenda kujaribu sana kuona kama wachezaji wake wataweza kucheza zaidi ya position moja uwanjani, he has achieved on SG na RS ila kwa wengine imekuwa ngumu. ushindi dhidi ya SOTON ni mzuri kujenga morali kwa wachezaji kwenye mechi mbili ngumu za away to city na spurs

AL ni natural CAM..last season ndo alicheza sana Wide!!!
 
Mzee Wa Rubisi beki jana ilicheza vizuri sana isipokuwa GJ tu,tatizo lililotukost jana sio beki,ni mfumo tuliotumia,ile mechi alitakiwa Phillipe akae benchi kabisa,acheze Joe,pia Lucas hakucheza vema,kama angechezeshwa DM nadhani angekuwa safi zaidi,ile free role lucas haiwezi kbs make he's not good in going forward...unles angempanga Emre ahead of Lucas.Game ijayo Alberto will be there for GJ position,nadhan Emre pia ataanza.
 
Beki ilichezaje vizuri,wakati kipa wetu kwa machi za ufunguzi ndiye bora kwa kuokoa mipira ya hatari au kuokoa gori,
Kama beki ingecheza vizuri kazi aliyofanya kipa ingekuwa ndogo
 
Mzee Wa Rubisi beki jana ilicheza vizuri sana isipokuwa GJ tu,tatizo lililotukost jana sio beki,ni mfumo tuliotumia,ile mechi alitakiwa Phillipe akae benchi kabisa,acheze Joe,pia Lucas hakucheza vema,kama angechezeshwa DM nadhani angekuwa safi zaidi,ile free role lucas haiwezi kbs make he's not good in going forward...unles angempanga Emre ahead of Lucas.Game ijayo Alberto will be there for GJ position,nadhan Emre pia ataanza.
Pili,we unaona beki ilicheza vizuri kwa sababu kiungo kilikufa kabisa,ndo maana TOtal Clearances Martin Skrtel alitoa 20 wakati Lovren 11 kwa maana hiyo ndo maana nikasema kiungo akikuwa sawa,we fikiri SG kapiga pass 70 alifuatia ni mabaki kwa pass zao ya nyuma
 
Sasa tuwaze mechi ya Jtatu Liver vs Man c hapa nimlinganisho wa watu wawili.
[h=2]Player Comparison[/h]
Position
Games played
Minutes Played
Starts
sub-on.png
Substitution On
sub-on-r.png
sub-off.png
Substitution Off
sub-off-r.png

[TH="class: player1, colspan: 2"]Steven Gerrard[/TH]
[TH="class: hidden"]Comparison[/TH]
[TH="class: player2, colspan: 2"]Yaya Touré
[/TH]

[TD="class: player1 image"]
image.php
[/TD]
[TD="class: player1"]MF[/TD]

[TD="class: player2"]MF[/TD]
[TD="class: player2 image"]
image.php
[/TD]

[TD="class: player1"]1[/TD]

[TD="class: player2"]1[/TD]

[TD="class: player1"]90[/TD]

[TD="class: player2"]90[/TD]

[TD="class: player1"]1[/TD]

[TD="class: player2"]1[/TD]

[TD="class: player1"]0[/TD]

[TD="class: player2"]0[/TD]

[TD="class: player1"]0[/TD]

[TD="class: player2"]0[/TD]
[h=3]General[/h]
Passes
Passing Accuracy
Passing Accuracy opp. Half (%)
Duels Won
Duels lost
Duels won (%)
Aerial duels won
Aerial duels lost
Aerial Duels Won (%)
Recoveries

[TH="class: player1"]Steven Gerrard[/TH]
[TH="class: hidden"]Comparison[/TH]
[TH="class: player2"]Yaya Touré[/TH]

[TD="class: player1"]70[/TD]

[TD="class: player2"]86[/TD]

[TD="class: player1"]88.6%[/TD]

[TD="class: player2"]91.9%[/TD]

[TD="class: player1"]76.7%[/TD]

[TD="class: player2"]89.1%[/TD]

[TD="class: player1"]2[/TD]

[TD="class: player2"]2[/TD]

[TD="class: player1"]3[/TD]

[TD="class: player2"]7[/TD]

[TD="class: player1"]40%[/TD]

[TD="class: player2"]22.2%[/TD]

[TD="class: player1"]1[/TD]

[TD="class: player2"]1[/TD]

[TD="class: player1"]1[/TD]

[TD="class: player2"]2[/TD]

[TD="class: player1"]50%[/TD]

[TD="class: player2"]33.3%[/TD]

[TD="class: player1"]9[/TD]

[TD="class: player2"]9[/TD]
Je mchezo wa jana hii mechi itakuwaje.?
 
Liverpool Strikers GOALS after 50 games..

Robbie fowler 32 Goals.
Michael Owen 28 Goals
Fernando Torres 34 Goals
Luis Suarez 21 Goals.

Daniel Sturridge 36 Goals.

#JustSaying .
 
Karibu mkuu prober ze good...hiyo kamba ya mguuni imeishakatika, humu ndani wote ni familia moja...YNWA!

Imeshakati sasa nazunguka bila shida mtaniona. pia naona BR afanye juu chini tumpate Reus atafiti kimfumo zaidi ya Falcao au Cavanni mnaonaje hilo wadau au ni ngumu
 
Imeshakati sasa nazunguka bila shida mtaniona. pia naona BR afanye juu chini tumpate Reus atafiti kimfumo zaidi ya Falcao au Cavanni mnaonaje hilo wadau au ni ngumu
True Mkuu hata Mie Bora Reus japo tabu kumpata bora nitoe 23-30 kwa Reus kuliko Falcao Yule Falcao Loan 10m na Mshahara Laki mbili per week ya UK money jamaa ndio mfungaji ila sio mchukuwa game na kuifanya timu ishinde jamaa Yule mpaka achezeshwe za Van Nistoroy bora Cavani anaweza kuchezesha ila Reus kila kitu anacho anajuwa kuibeba timu kuliko Falcao na Cavani ila bora Cavani tunaona anavyomchezesha Ibrohimovich na Uruguay bila yeye kufunga zaidi ya hapo Bora Remy angekuwepo ni Striker na winger jamaa na Middle ya kukaba muhimu Kama Alex Song ili Lucas aondoke.
 
Hapo umenena mkuu unajua mpaka sasa sielewi kwanini MD na BR hawaangaiki na Reus maana tetesi za mwisho zilimuhusisha na atletico ila wakakanusha sasa kama dogo kakaa kuondoondoka si tumfungie kazi.Pia naona kama jamaa waliona upenyo kwa striker mwenye uwezo zaidi ya Remy wakamtafutia sababu aisee
 
Back
Top Bottom