Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Waswahili wanasema mwanzo mgumu..!

Naona wana Liverpool tumekiwa dis-appointed kwa kiasi fulani kutokana na Liverpool kutokucheza vizuri kwenye gemu yetu na soton. Kuna watu hawataki kusikia sababu hii lakini ni ukweli usiopingika kwamba gemu za awali huwa zina matatizo yake.

Msimu uliyopita Liverpool walifanya vizuri na mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe…kuna wanafiki na wanachongoja wao ni Liverpool wafanye vibaya ili waje na hoja kwamba msimu uliopita ulikuwa ni fluke. Na kwamba bila Lui, Liverpool si chochote si lolote. Hao watu hawanisumbui sana…( Tatizo ni kwa wachezaji) .To prove kwamba haikuwa bahati, wachezaji wanajitahidi kulionyesha hilo uwanjani and at times wanajikuta wana over do by rushing into wrong decisions. Pressure kwa wachezaji wetu ni kubwa ukilinganisha na msimu uliyopita. Kundi lingine linahusiana na tactical side. Following what happened on last season, timu nyingi kwasasa will do a lot of home work on how to deal with Liverpool than Manuer. “We saw what wanyama did”

On the same point (Gemu za awali ni ngumu). Despite winning, all the top four teams (ambazo zimeishacheza mpaka sasa) struggled on their first game. Arsenal wanafahamika kwa mpira wao, and Palace’s care-taker manager knew that. So what he did is to let them play and absorb what ever they have then take an advantage on counter and set pieces…Per was not around…
Kelly played well and sanchez was awful…

Kipindi cha pili Liverpool walichemka. But did you see Manshit walivyofundishwa soka kwenye kipindi cha pili?..It took a brilliance of one person to give them a result! Kama Ayre aliona gemu ya manshit then, he should make the rumors on Cavani/Falco to be a true
 
Happy birthday glen
 
Attachments

  • 1408389084620.jpg
    74 KB · Views: 80
Hivi mashabiki wa Chelsea wanawazimu,vinywani mwao bado wanakumbuku kuteleza kwa SG,kwa Kuimba maaan yake nini???? Nafikiri ni kumuongezea hasira mechi hijayo Liver vs Manc
 
Ndo raha ya mpira; sisi jumamosi tunafikisha pointi 6 kazi kwenu jumatatu vs Man City..
ligi imeanza vizuri; jana ilikuwa safi sana...

Nawasalimu watani hamjambo?:A S-eek:

Kumbuka pia pundits wanaitaja mechi ya Man City na LFC kama NDIYO MECHI YA KWANZA YA EPL msimu huu!Sasa unamfunga Burnley unahesabu kama umecheza ligi?Burnley siyo kigezo bado!

Man City na LFC ndiyo game ya KWANZA ya EPL msimu huu
 
Mkuu, wanyama alifanya nini?
 
Hivi mashabiki wa Chelsea wanawazimu,vinywani mwao bado wanakumbuku kuteleza kwa SG,kwa Kuimba maaan yake nini???? Nafikiri ni kumuongezea hasira mechi hijayo Liver vs Manc

hata mechi ya city waliimba sana Steven Gerrard

He will have to live with it untill he wins EPL
 
i dnt care..we i care is 3 points towards the :first:
hata nyie mlishinda mechi yenu na Southampton, nilikuja hapa hapa jamvini nikawapongezeni au vipi watani?

Kumbuka pia pundits wanaitaja mechi ya Man City na LFC kama NDIYO MECHI YA KWANZA YA EPL msimu huu!Sasa unamfunga Burnley unahesabu kama umecheza ligi?Burnley siyo kigezo bado!

Man City na LFC ndiyo game ya KWANZA ya EPL msimu huu
 
i dnt care..we i care is 3 points towards the :first:
hata nyie mlishinda mechi yenu na Southampton, nilikuja hapa hapa jamvini nikawapongezeni au vipi watani?

Chelsea na Liverpool cyo watani mkuu.
Watani wa Chelsea ni Spurs na Arsenal!!!
 
ok; adui zetu eeh?:wacko:

The greatest football rivarly in England is Manchester United Vs Liverpool Fc.
Na hawa ndo mahasimu wa pili kwa ukubwa duniani.
Namba moja ni Barcelona vs Real Madrid,tatu ni Inter vs AC Milan.
 
aisee!
sasa nyie ni nani zetu ukizingatia matokeo ya msimu ulopita?
qwi qwi qwi qwi..:wacko:

The greatest football rivarly in England is Manchester United Vs Liverpool Fc.
Na hawa ndo mahasimu wa pili kwa ukubwa duniani.
Namba moja ni Barcelona vs Real Madrid,tatu ni Inter vs AC Milan.
 
The greatest football rivarly in England is Manchester United Vs Liverpool Fc.
Na hawa ndo mahasimu wa pili kwa ukubwa duniani.
Namba moja ni Barcelona vs Real Madrid,tatu ni Inter vs AC Milan.

Achana nae huyo jamaa,unapoteza muda wako bure.
 
Achana nae huyo jamaa,unapoteza muda wako bure.
Kabisa mkuu ukibishana na chizi na wewe utaonekana chizi alafu mkaja kubebwa wote mpelekwe hospitali ya uchizi, Kama Janjaweed alivyosema lazima tuzoee kuhusu SG kuimbwa naye ni Mwanaume amenyanyuka ameendelea na anaendelea na football na kuendelea na game sio wa Kwanza kuteleza uwanjani na hatokuwa wa mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…