Waswahili wanasema mwanzo mgumu..!
Naona wana Liverpool tumekiwa dis-appointed kwa kiasi fulani kutokana na Liverpool kutokucheza vizuri kwenye gemu yetu na soton. Kuna watu hawataki kusikia sababu hii lakini ni ukweli usiopingika kwamba gemu za awali huwa zina matatizo yake.
Msimu uliyopita Liverpool walifanya vizuri na mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe kuna wanafiki na wanachongoja wao ni Liverpool wafanye vibaya ili waje na hoja kwamba msimu uliopita ulikuwa ni fluke. Na kwamba bila Lui, Liverpool si chochote si lolote. Hao watu hawanisumbui sana ( Tatizo ni kwa wachezaji) .To prove kwamba haikuwa bahati, wachezaji wanajitahidi kulionyesha hilo uwanjani and at times wanajikuta wana over do by rushing into wrong decisions. Pressure kwa wachezaji wetu ni kubwa ukilinganisha na msimu uliyopita. Kundi lingine linahusiana na tactical side. Following what happened on last season, timu nyingi kwasasa will do a lot of home work on how to deal with Liverpool than Manuer. We saw what wanyama did
On the same point (Gemu za awali ni ngumu). Despite winning, all the top four teams (ambazo zimeishacheza mpaka sasa) struggled on their first game. Arsenal wanafahamika kwa mpira wao, and Palaces care-taker manager knew that. So what he did is to let them play and absorb what ever they have then take an advantage on counter and set pieces Per was not around
Kelly played well and sanchez was awful
Kipindi cha pili Liverpool walichemka. But did you see Manshit walivyofundishwa soka kwenye kipindi cha pili?..It took a brilliance of one person to give them a result! Kama Ayre aliona gemu ya manshit then, he should make the rumors on Cavani/Falco to be a true