Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
then Falcao akishaondoka nan ataingia???..Origi???
Au umchukue Falcao kwa mkopo, then loan spell yake ikiisha utegemee kumpata Reus???
Sipingi ujio wa Falcao LFC, ntafurahi sana kama akija..BUT anatakiwa apunguze kwa kiasi kikubwa sana wage demands zake..Cant see FSG paying him 200k per week..
We si uliona janja waliyoitumia FSG kwa Suarez??..aliposign mkataba mpya Last year, ulikuwa na thaman ya 200k per week, lakin we all know suarez mpaka anaondoka alikuwa analipwa 160k, ilikuwa msimu huu ndo aanze kulipwa 200k..my take here, FSG knew damn well kuwa Jamaa ataondoka tu, na kama ilivyokuwa revealed kuwa Barca contacted LFC November last year kuhusu Suarez..
ndo maana, Cavani angekuwa available nadhan LFC wangemPick yeye over Falcao..coz wage demands zake ni 180k hadi 150k per week..
Sioni FSG wakilipa mtu 200k per week..unless waamue kumake a HUGE STATEMENT..
I think LIverpool wanatafuta short term solution while gearing for a bumper striker deal kwa next year
so Falcao ni temporary solution tu, but a great one kwasababu ya pedigree yake
We are signing Balotelli, any comment?