People pretended to hate the fact that we're signing Balotelli..asa sijui walitaka tumsaini Bony au Etoo??
2 Years ago, mda kama huu wa transfer window tulikuwa tunahangaika kumsaini CLINT DEMPSEY kutoka Fulham, last summer we signed IAGO ASPAS..leo hii we're about to Sign A world class ST lakin bado kuna watu wanaMoan..!!!!!!!
Balotelli loves LFC ndo maana miaka yake yote wakat yupo Man city mitaa yake aliyokuwa anapenda kushindi ni kwenye jiji la.LIVERPOOL, ndo maana mwaka 2012 wakat Borini was about to join Us, Wakat wapo Euro, Balotelli alimwambia kuwa *hakuna exprience na moment nzuri sana kama mchezaji kucheza mbele ya mashabiki wa LFC pale Anfield*..na leo hii yeye mwenyewe anakuja kucheza pale...
Asa mnataka kina Falcao ambao wanawazia kucheza RMA tu, aking'aa msimu mmoja anaondoka (aifanye LFC kama njia), afu watu muanze kulalamika leo hii..BR alishasema wazi anataka wachezaji wenye Passion na LFC ambao wanaona pride kucheza wakiwa na jezi ya LFC (both Lallana, Lovren and Lambert forced their moves to LFC), Manquillo alikataa offer za Arsenal (ndo walikuwa wa kwanza kwenda kutable offer), marseille etc, na BR juzi alikuwa quoted kuwa bila Moreno himself kupush move yake ya kuja huku, tusingekuwa katika nafasi ya kulipa £12m kama tuliyotoa, Kwa Emre Can Bayern Munich had the first option to buy him, but he rejected the chance ya kurud Bayern na kuja LFC, the same to Markovic ambapo we all know that Chelsea had the first option to buy him, and it was revealed that they tabled offer yao baada ya sisi kubid, but Lazar chosed us, na ukisoma interview yake aliyoifanya na Echo jana utaona alichokiongea jana..BR and the whole LFC family wanatakata players wenye passion na LFC..Suarez alikuwa mtukutu lakini alikuwa anajitolea kwa 100% uwanjani akiwa na jezi ya LFC..
Asa watu hawamtaki Balo, kisa mtukutu, asa kishawahi kumng'ata mtu???
Liverpool wangemsaini Etoo, mngemoan, wangemsaini Bony mngemoan, Acheni hizo bhana..bora hata kwa Sanchez tulipishana katika personal terms na makubaliano na Barcelona katika bid, asa huyu Falcao ilishakuwa repoted kuwa we matched kiasi ambacho team yake inakitaka, lakin bado akawa anajifikiria kuja LFC..mtu mwenyewe una miaka 29 ya kwenye passport afu unaringa kuja LFC??..na hata ukija unakuja kuifanya LFC kama njia tu ya kupita kama anavyoifanyia Monaco now..
AYRE has done some good business this summer, badala ya kulalamika lalamika na sababu zisikuwa na msingi, tuongelee jinsi alivyoImprove kwenye Usajili na negotiations.
NA modern Football doesnt give a f*k about traditions, ingekuwa traditions inaApply mpaka leo, tungekuwa tumemuuza suarez tangu alvyomng'ata ivanovic mara ya kwanza, au Ferguson asingemsajili kabisa ERIC CANTONA..