Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Duh! Ballo ni mmoja kama wale wanafunzi wenye akili sana lakini hawataki kuingia darasani, wanapojibu paper wanaonekana kujibu kutoa kichwani zaidi kuliko kwamba walisikia darasani, na akichoka anaweza kuacha paper hajamaliza na muda haujaisha na angeamua angejibu na kuyapata maswali.

Ni mvivu sana jamaa, anawahi kuchoka. Kama akiamua kufanya mazoezi na kutokuwa mvivu, Ballo ni habari nyingine (atleast 64.3% Suarez version).

kk,umenikumbusha mbali sana kwa mfano wco yan kpnd npo shule hzo elements ndizo nikuwa nazo hadi w2 walikuwa wananishangaa.

May b ballo,'ll be the next zombie.jamaa akiacha ukichaa wke ni mzur
 
Sisi Liverpool FC we are more than happy, to sign Super Ballo.....because he is talented young guy who hate Man utd.

And the below are facts about Super Mario.....

  • Mario Balotelli had more shots in the league from outside the area last season (95) than Daniel Sturridge and Wayne Rooney combined (83).

  • The only Premier League players to score more goals than Balotelli during that time are Sturridge (30) & Suarez (37).

  • Since making his league debut for Milan in 2013, no player has scored more Serie A goals than Mario Balotelli (26).

  • % Goals scored vs top-7:
Balotelli - 28.57
Suarez - 19.35
Reus - 31.25
Sanchez - 21.05
Sturridge - 26.09
Remy - 21.43

Sasa hivi nasubiria usajili wa Song kutoka Barca....

YNWA!

We are talking about Liverpool here, my friend.

We don't just suck in stuff. We sieve out the stinkers. That's what glamorous and established traditions like Liverpool FC always do. Am afraid this move for Ballo is ill advised and defeats our established due diligence norms.

YNWA.
 
Nitafurahi sana,napenda wachezaji ambao ni unique and differnt kama balo!ambao w2 wng wana mashaka nao bt wana uwezo mzuri!
 
Msiomtaka Balo hebu niambieni,hamumtaki kwa 7bu hawezi kufunga au kwa tabia zake tu?

Unajua fans wa Lfc wengi wanaamini kilichomuondoa Suarez ni ma-scandal yake ya kung'ata na ubaguzi wa rangi, So kinachowatatza iweje ushndwe kuvumilia scandal za Suarez ambaye ndo the best lkn uweze kuvumilia vituko vya Ballo vya kupgwa redkad na kukosa magoli ya wazi kwa kukalazmisha kufunga goli la kibishoo?
 
Selling Suarez to keep the image of the club, then buying Balotelli for the same reason?

Suarez alikuwa risky kama Balotelli. For Balotelli, it may work, it might not.

Lakini kwa £16m siyo mbaya kama LFC watamwuza Borini kwa bei hiyo hiyo.

Unlike Borini, Balotelli is box office. I would like to see him back in the Premiership.

Mkuu amini nakuambia Suarez hakuondoka Lfc Sababu ya zile Scandal, BR aliwahi kunukuliwa akisema walihaha kumbakisha jamaa lkn ikashndkana na Suarez Mwenyewe alikiri kwamba familia yake haikuwa na furaha kuishi Liverpool.
 
We are talking about Liverpool here, my friend.

We don't just suck in stuff. We sieve out the stinkers. That's what glamorous and established traditions like Liverpool FC always do. Am afraid this move for Ballo is ill advised and defeats our established due diligence norms.

YNWA.

Mkuu kama ni hivyo hata move ya Suarez it was ill advised coz we signed him while he was still serving a ban for sucking someone in eredivisie. Let's agree this is a gamble and not an oversight. We also gambled when signing suarez! YNWA....let's hope we can get the most out of him on the field!
 
Unajua fans wa Lfc wengi wanaamini kilichomuondoa Suarez ni ma-scandal yake ya kung'ata na ubaguzi wa rangi, So kinachowatatza iweje ushndwe kuvumilia scandal za Suarez ambaye ndo the best lkn uweze kuvumiliakukaako vya Ballo vya kupgwa redkad na kukosa magoli ya wazi kwa kukalazmisha kufunga goli la kibishoo?
Hivi kukosa goli na kuuma watu Lipi kosa kubwa,Hivi Balotel Tangu ajulikane kafungiwa miezi mingapi kwa makosa yake???? Na Suarez kaufungiwa mingapi???
 
Brand protection.

No brand comes bigger than Liverpool FC.

Brand kitu gani? Watu tunataka ndoo hapa watu mnatuletea hbr za brand? Mbona Pepe na ujinga wake wote hajaiharibu brand ya RMA? Mbona suarez anang'ata na Barca wamemnunua? Wao ndo hawana brand? Au unadhani LFC ilimuuza Suarez ili kuiprotect Brand?
 
Unajua fans wa Lfc wengi wanaamini kilichomuondoa Suarez ni ma-scandal yake ya kung'ata na ubaguzi wa rangi, So kinachowatatza iweje ushndwe kuvumilia scandal za Suarez ambaye ndo the best lkn uweze kuvumilia vituko vya Ballo vya kupgwa redkad na kukosa magoli ya wazi kwa kukalazmisha kufunga goli la kibishoo?

Suarez wanted to leave,nobody wanted to sell him!
 
We are talking about Liverpool here, my friend.

We don't just suck in stuff. We sieve out the stinkers. That's what glamorous and established traditions like Liverpool FC always do. Am afraid this move for Ballo is ill advised and defeats our established due diligence norms.

YNWA.

Yep we do understand we are Liverpool....and actually I doubt whether there is any body who knows better than BR plus his technical team.They have analyzed the ability of Super Marioa and they came to the conclusion that the guy may fill the void.

I have to say, i give credit to Liverpool for this signing, it's a risk worth taking with Mario, brilliant player if he decides he wants to be.....we all know it if we're honest.

I think Rodgers can do wonders with Mario in getting him to mature and listening , he needs nurturing.

Liverpool is a humble club with no big time charlies and he'll get the support he needs, and if he plays his cards right Mario could be worshipped on Merseyside.

Can't wait to see what he delivers. Remember, People said signing Daniel Sturridge was a risk, that he was arrogant and a hard personality to manage.....look at him now.
In my opinion, players just need to find the club that gets behind them and a manager who can manage them.

In BR i trust, bcoz he can manage players.

YNWA
 
Hivi kukosa goli na kuuma watu Lipi kosa kubwa,Hivi Balotel Tangu ajulikane kafungiwa miezi mingapi kwa makosa yake???? Na Suarez kaufungiwa mingapi???

Mkuu utakuwa hukuinot fresh point yangu ngoja niiweke poa, fans wengi wanashangaa iweje utoe tatzo na urudishe tatzo jingine? Makosa ni makosa tu huwez kusema eti huyu ananafuu kuliko yule wakati yote yanagharimu timu. Kukosa goli la wazi kwako kinaweza kuwa kitendo cha kawaida lakini kiukwel inakera hasa kama goli hilo ndo lilkuwa liwape point 3.
 
Yep we do understand we are Liverpool....and actually I doubt whether there is any body who knows better than BR plus his technical team.They have analyzed the ability of Super Marioa and they came to the conclusion that the guy may fill the void.Hovyo I have to say, i give credit to Liverpool for this signing, it's a risk worth taking with Mario, brilliant player if he decides he wants to be.....we all know it if we're honest.

I think Rodgers can do wonders with Mario in getting him to mature and listening , he needs nurturing.

Liverpool is a humble club with no big time charlies and he'll get the support he needs, and if he plays his cards right Mario could be worshipped on Merseyside.

Can't wait to see what he delivers. Remember, People said signing Daniel Sturridge was a risk, that he was arrogant and a hard personality to manage.....look at him now.
In my opinion, players just need to find the club that gets behind them and a manager who can manage them.

In BR i trust, bcoz he can manage players.

YNWA
Biggerup Tores ,Kuna watu wanajua saizi ya kocha ,
 
Mkuu kama ni hivyo hata move ya Suarez it was ill advised coz we signed him while he was still serving a ban for sucking someone in eredivisie. Let's agree this is a gamble and not an oversight. We also gambled when signing suarez! YNWA....let's hope we can get the most out of him on the field!

There you go. Suarez thing ill advised too. I never appreciated that transfer and to me his subsequent performances never vindicated him. I would have forgiven him (japo kidogo) had we won the premiership.

If you are truly a Liverpool soul, aren't you ashamed at what happened during the last 20-odd months? Au ndiyo yale yale ya kazi ni kazi bora mkono uende kinywani (iwe kupitia saburi, kuuza K, ukibaka, ujambazi, etc)?

That's one.

Two. Hivi Suarez kweli angecheza zile mechi za mwanzoni alizozikosa kwa kumng'ata Ivanovic huoni yale mashaka ya goal difference yaliyokuwapo towards the end of the league last season yasingekuwapo na pengine ingekuwa morale booster ya kufanya vema kwenye zile mechi 2 za mwisho? Instead of focusing on our performances, we started looking over our shoulders scared of ManCity's superior goal difference...all this thanks to crazy Luis!
 
People pretended to hate the fact that we're signing Balotelli..asa sijui walitaka tumsaini Bony au Etoo??

2 Years ago, mda kama huu wa transfer window tulikuwa tunahangaika kumsaini CLINT DEMPSEY kutoka Fulham, last summer we signed IAGO ASPAS..leo hii we're about to Sign A world class ST lakin bado kuna watu wanaMoan..!!!!!!!

Balotelli loves LFC ndo maana miaka yake yote wakat yupo Man city mitaa yake aliyokuwa anapenda kushindi ni kwenye jiji la.LIVERPOOL, ndo maana mwaka 2012 wakat Borini was about to join Us, Wakat wapo Euro, Balotelli alimwambia kuwa *hakuna exprience na moment nzuri sana kama mchezaji kucheza mbele ya mashabiki wa LFC pale Anfield*..na leo hii yeye mwenyewe anakuja kucheza pale...

Asa mnataka kina Falcao ambao wanawazia kucheza RMA tu, aking'aa msimu mmoja anaondoka (aifanye LFC kama njia), afu watu muanze kulalamika leo hii..BR alishasema wazi anataka wachezaji wenye Passion na LFC ambao wanaona pride kucheza wakiwa na jezi ya LFC (both Lallana, Lovren and Lambert forced their moves to LFC), Manquillo alikataa offer za Arsenal (ndo walikuwa wa kwanza kwenda kutable offer), marseille etc, na BR juzi alikuwa quoted kuwa bila Moreno himself kupush move yake ya kuja huku, tusingekuwa katika nafasi ya kulipa £12m kama tuliyotoa, Kwa Emre Can Bayern Munich had the first option to buy him, but he rejected the chance ya kurud Bayern na kuja LFC, the same to Markovic ambapo we all know that Chelsea had the first option to buy him, and it was revealed that they tabled offer yao baada ya sisi kubid, but Lazar chosed us, na ukisoma interview yake aliyoifanya na Echo jana utaona alichokiongea jana..BR and the whole LFC family wanatakata players wenye passion na LFC..Suarez alikuwa mtukutu lakini alikuwa anajitolea kwa 100% uwanjani akiwa na jezi ya LFC..

Asa watu hawamtaki Balo, kisa mtukutu, asa kishawahi kumng'ata mtu???

Liverpool wangemsaini Etoo, mngemoan, wangemsaini Bony mngemoan, Acheni hizo bhana..bora hata kwa Sanchez tulipishana katika personal terms na makubaliano na Barcelona katika bid, asa huyu Falcao ilishakuwa repoted kuwa we matched kiasi ambacho team yake inakitaka, lakin bado akawa anajifikiria kuja LFC..mtu mwenyewe una miaka 29 ya kwenye passport afu unaringa kuja LFC??..na hata ukija unakuja kuifanya LFC kama njia tu ya kupita kama anavyoifanyia Monaco now..

AYRE has done some good business this summer, badala ya kulalamika lalamika na sababu zisikuwa na msingi, tuongelee jinsi alivyoImprove kwenye Usajili na negotiations.

NA modern Football doesnt give a f*k about traditions, ingekuwa traditions inaApply mpaka leo, tungekuwa tumemuuza suarez tangu alvyomng'ata ivanovic mara ya kwanza, au Ferguson asingemsajili kabisa ERIC CANTONA..
 
Yep we do understand we are Liverpool....and actually I doubt whether there is any body who knows better than BR plus his technical team.They have analyzed the ability of Super Marioa and they came to the conclusion that the guy may fill the void.

I have to say, i give credit to Liverpool for this signing, it's a risk worth taking with Mario, brilliant player if he decides he wants to be.....we all know it if we're honest.

I think Rodgers can do wonders with Mario in getting him to mature and listening , he needs nurturing.

Liverpool is a humble club with no big time charlies and he'll get the support he needs, and if he plays his cards right Mario could be worshipped on Merseyside.

Can't wait to see what he delivers. Remember, People said signing Daniel Sturridge was a risk, that he was arrogant and a hard personality to manage.....look at him now.
In my opinion, players just need to find the club that gets behind them and a manager who can manage them.

In BR i trust, bcoz he can manage players.

YNWA

Am not going to hold my breath for that because I know almost certainly how it will pan out.
 
Back
Top Bottom