Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
People pretended to hate the fact that we're signing Balotelli..asa sijui walitaka tumsaini Bony au Etoo??
2 Years ago, mda kama huu wa transfer window tulikuwa tunahangaika kumsaini CLINT DEMPSEY kutoka Fulham, last summer we signed IAGO ASPAS..leo hii we're about to Sign A world class ST lakin bado kuna watu wanaMoan..!!!!!!!
Balotelli loves LFC ndo maana miaka yake yote wakat yupo Man city mitaa yake aliyokuwa anapenda kushindi ni kwenye jiji la.LIVERPOOL, ndo maana mwaka 2012 wakat Borini was about to join Us, Wakat wapo Euro, Balotelli alimwambia kuwa *hakuna exprience na moment nzuri sana kama mchezaji kucheza mbele ya mashabiki wa LFC pale Anfield*..na leo hii yeye mwenyewe anakuja kucheza pale...
Asa mnataka kina Falcao ambao wanawazia kucheza RMA tu, aking'aa msimu mmoja anaondoka (aifanye LFC kama njia), afu watu muanze kulalamika leo hii..BR alishasema wazi anataka wachezaji wenye Passion na LFC ambao wanaona pride kucheza wakiwa na jezi ya LFC (both Lallana, Lovren and Lambert forced their moves to LFC), Manquillo alikataa offer za Arsenal (ndo walikuwa wa kwanza kwenda kutable offer), marseille etc, na BR juzi alikuwa quoted kuwa bila Moreno himself kupush move yake ya kuja huku, tusingekuwa katika nafasi ya kulipa £12m kama tuliyotoa, Kwa Emre Can Bayern Munich had the first option to buy him, but he rejected the chance ya kurud Bayern na kuja LFC, the same to Markovic ambapo we all know that Chelsea had the first option to buy him, and it was revealed that they tabled offer yao baada ya sisi kubid, but Lazar chosed us, na ukisoma interview yake aliyoifanya na Echo jana utaona alichokiongea jana..BR and the whole LFC family wanatakata players wenye passion na LFC..Suarez alikuwa mtukutu lakini alikuwa anajitolea kwa 100% uwanjani akiwa na jezi ya LFC..
Asa watu hawamtaki Balo, kisa mtukutu, asa kishawahi kumng'ata mtu???
Liverpool wangemsaini Etoo, mngemoan, wangemsaini Bony mngemoan, Acheni hizo bhana..bora hata kwa Sanchez tulipishana katika personal terms na makubaliano na Barcelona katika bid, asa huyu Falcao ilishakuwa repoted kuwa we matched kiasi ambacho team yake inakitaka, lakin bado akawa anajifikiria kuja LFC..mtu mwenyewe una miaka 29 ya kwenye passport afu unaringa kuja LFC??..na hata ukija unakuja kuifanya LFC kama njia tu ya kupita kama anavyoifanyia Monaco now..
AYRE has done some good business this summer, badala ya kulalamika lalamika na sababu zisikuwa na msingi, tuongelee jinsi alivyoImprove kwenye Usajili na negotiations.
NA modern Football doesnt give a f*k about traditions, ingekuwa traditions inaApply mpaka leo, tungekuwa tumemuuza suarez tangu alvyomng'ata ivanovic mara ya kwanza, au Ferguson asingemsajili kabisa ERIC CANTONA..
Mkuu I am completely against your arguments because the suarez business was a gamble that paid-off handsomely both on the field and commercially. The dude gave us a profit of £50m plus yet you dont appreciate. Though it was a gamble, but it paid in the end? He went on scoring 31 league goals, still you claim is a poor transfer? He had the most assist in EPL, still you dont appreciate it was a risk that paid? Sometimes the means justifies the end. Even if he would have been available in the first six games of the last seasson, we can't surely say we would have grabbed a superior goal difference at the end. Why are you putting a knife to a dude who scored so many times rather than blaming those who leaked the goals? I would say, the fowards did their job (simply scoring) but the defence didn't. If you want to get someone's head on last seasson's poor goal difference, pls get the head of whoever at the backline!There you go. Suarez thing ill advised too. I never appreciated that transfer and to me his subsequent performances never vindicated him. I would have forgiven him (japo kidogo) had we won the premiership.
If you are truly a Liverpool soul, aren't you ashamed at what happened during the last 20-odd months? Au ndiyo yale yale ya kazi ni kazi bora mkono uende kinywani (iwe kupitia saburi, kuuza K, ukibaka, ujambazi, etc)?
That's one.
Two. Hivi Suarez kweli angecheza zile mechi za mwanzoni alizozikosa kwa kumng'ata Ivanovic huoni yale mashaka ya goal difference yaliyokuwapo towards the end of the league last season yasingekuwapo na pengine ingekuwa morale booster ya kufanya vema kwenye zile mechi 2 za mwisho? Instead of focusing on our performances, we started looking over our shoulders scared of ManCity's superior goal difference...all this thanks to crazy Luis!
There you go. Suarez thing ill advised too. I never appreciated that transfer and to me his subsequent performances never vindicated him. I would have forgiven him (japo kidogo) had we won the premiership.
If you are truly a Liverpool soul, aren't you ashamed at what happened during the last 20-odd months? Au ndiyo yale yale ya kazi ni kazi bora mkono uende kinywani (iwe kupitia saburi, kuuza K, ukibaka, ujambazi, etc)?
That's one.
Two. Hivi Suarez kweli angecheza zile mechi za mwanzoni alizozikosa kwa kumng'ata Ivanovic huoni yale mashaka ya goal difference yaliyokuwapo towards the end of the league last season yasingekuwapo na pengine ingekuwa morale booster ya kufanya vema kwenye zile mechi 2 za mwisho? Instead of focusing on our performances, we started looking over our shoulders scared of ManCity's superior goal difference...all this thanks to crazy Luis!
Technically, and the way LFC plays, Mario is not the missing piece in the jigsaw puzzle that we want. It's that hype about Mario which resulted into his capture - which is politically motivated to impress upon the fans that a "marquee" (sic) player has been signed.
I however do pray that this Mario thing works out in the end. I really do.
But (and it's a very big BUT)............
Technically, and the way LFC plays, Mario is not the missing piece in the jigsaw puzzle that we want. It's that hype about Mario which resulted into his capture - which is politically motivated to impress upon the fans that a "marquee" (sic) player has been signed.
I however do pray that this Mario thing works out in the end. I really do.
But (and it's a very big BUT)............
Ungenambia kuwa Kuwa Falcao, Cavani, Bony na Etoo ndo hawaendan ni mfumo wa LFC ningekuelewa!!
Pale Man city most of the time Balo played behind Aguero and Tevez, au kuna kipind alikuwa akibadilishana nafas na Aguero kama Suarez na Danny walivyokuwa wanafanya..
Balo ni mchezaji ambaye akichezeshwa anacheza mpira, na anaweza kubadili position mda wowote mambo yakibadilika uwanjani..falcon anaiweza number tisa tu, huwez kumpanga namba 10 yule, The same kwa bony (huyu ndo kabisa)..Etoo is SHIT, cavani hapendi kuchezeshwa pembeni he likes kucheza as the main ST..angekubali vip kuinterchange position na Danny..(hapo ndo utaona kwann BR wanted Reus au Sanchez)..they can play anywhere katika ile Front three..Balo can do that, wakat kipind kile anamsetia goal lile Aguero la kuiua QPR na kuchukua kombe la EPL Hakuwa the main ST..
Suarez is no one to blame for the loss we made last year, first of all we did not lose the Premiership not on goal difference. We lost it because we had no depth, players were tired to death especially the last 5 games.
If I single out one game will be the Chelsea game that made us lose the Cup, had we approached that game with a mind of getting a draw which was very enough for us we could probably got a draw, you saw how desperately we were searching for a goal and exposing our defense that led to Ba's easy goal.
Suarez is a no blame man, he is to be credited to reach us number 2 which wasn't even a plan.
Naomba nisahihishwe kama siko sahihi.....mahesabu yangu ya harakahara ni kama ifuatavyo:-
- Man United: Shaw, Herrera, Rojo £76m
- Liverpool: Moreno, Lambert, Lovren, Manquillo, Can, Balotelli, Marković £80m
Actually we spent wisely.....YNWA
Kweli mahesabu ya haraka umesahau Lalana na Origi (25+10)
Da kweli so mpaka sasa tuna £115m.
Sasa nikuulize mkuu, Balotelli atacheza wapi? Na Markovic je? Sterling? Coutinho?
Tulihitaji back-up striker mzuri sio striker calibre ya Balotelli.
Masahihisho: BALOTELLI he's not a back up ST. He's a STARTER.
Kwan last season wakat tuna SAS, coutinho na RS walicheza wapi???
Ile game ya Southampton hukuona Danny alivyokuwa Isolated baada ya kuwa peke yake kule mbele???
If anyone deserves the blame- its the back-four line up of last season. Every defender except Agger. They made us lose the title.
Da kweli so mpaka sasa tuna £115m.
Kama tukifanikiwa kuwauza lucas, Assaidi, borini and maybe Agger..net spend itakuwaje???
Bado Manure watakuw wamespend big zaid yetu..hawajatoa mchezaj yoyote bado.
Ndio ni starter ndo maana naona hatumuhitaji. Tunahitaji back-up.
Last season hatukuwa na Markovic na Lallana.
Hebu tayarisha kikosi chako nikione.
Hmm..Agger abaki.
Kumbe Assaidi bado yupo? Lool. Nilijua ashaenda zake.