Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nilishasema sana kuhusu Mario Baloteli.
This is ine of the best signing by BR.

I would not say he is the best signing, but the best bargain.

He scored 30 goals in a season but price dropped from £19m to £16m.

We can't know if he is the best signing until the end of the season.
 
Attachments

  • IMG_20140821_195008.jpg
    IMG_20140821_195008.jpg
    42 KB · Views: 104
Labda atakuwa mature now....akiharibu Liverpool hatakuwa na pa kwenda...labda amejifunza...na anaipenda Epl...so labda atatulia now
 
article-2730685-20B017C200000578-695_964x423.jpg

Hongereni kwa kumsajili ''Why Me'' baada ya 'Sure boy' kuwatema
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mkuu amini nakuambia Suarez hakuondoka Lfc Sababu ya zile Scandal, BR aliwahi kunukuliwa akisema walihaha kumbakisha jamaa lkn ikashndkana na Suarez Mwenyewe alikiri kwamba familia yake haikuwa na furaha kuishi Liverpool.

That was long time ago msimu ule mwingine alipotaka kwenda Arsenal. After that things calmed down a bit and even the neutrals started liking him again mpaka alipoharibu kwenye Kombe la Dunia.

Lakini iko wazi kwa kila mtu kuwa Suarez alikuja na controversy zake na baadhi ya makosa yake yalikuwa yana-distract timu, and possibly the whole club.

Kwa hiyo, ilipokuja suala la kumuuza hili nalo lilichangia kwa kiasi kikubwa kwa klabu kufanya maamuzi ya kumpiga bei hata kama Suarez alitaka kuondoka mwenyewe.
 
Hongereni kwa kumsajili ''Why Me'' baada ya 'Sure boy' kuwatema. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeee

Time for Balotelli to go for a master class in scouse accent.

Last edited by a moderator:
BBC Swahili hapa wameintroduce move ya ballo to Lfc naona tayari ishakuwa done deal!!
 
That was long time ago msimu ule mwingine alipotaka kwenda Arsenal. After that things calmed down a bit and even the neutrals started liking him again mpaka alipoharibu kwenye Kombe la Dunia.

Lakini iko wazi kwa kila mtu kuwa Suarez alikuja na controversy zake na baadhi ya makosa yake yalikuwa yana-distract timu, and possibly the whole club.

Kwa hiyo, ilipokuja suala la kumuuza hili nalo lilichangia kwa kiasi kikubwa kwa klabu kufanya maamuzi ya kumpiga bei hata kama Suarez alitaka kuondoka mwenyewe.

Nimekusoma uzuri mkuu! YNWA.
 
Sasa nikuulize mkuu, Balotelli atacheza wapi? Na Markovic je? Sterling? Coutinho?

Tulihitaji back-up striker mzuri sio striker calibre ya Balotelli.

binafsi sijafurahia ujio wa balo anfield naona kama amekuja kuziba nafasi ya mchezaji bora na mwenye kasi zaidi yake
 
Msiomtaka Balo hebu niambieni,hamumtaki kwa 7bu hawezi kufunga au kwa tabia zake tu?

binafsi simtaki balo kwa kulinganisha na aliyetoka balo hajawai kufikia kiwango cha suarez alichokionyesha msimu uliopita, jamaa sio mpiganaji ni lizito sana
 
As LFC fans mi naona ujinga na utoto kuanza kusema hatumtaki MB wakati ndo ashatua Anfield.
Hivi mtu unaposema haumtaki Baloteli cjui unakua una maanisha nini hasa??????
Kama fans wa liverpoolfc nafikiri ni vema kujadili ni namna gani liverpool inaweza kugain much out of him na mfumo upi utamfaa huyu jamaa?????
 
Well said mkuu......maana kuna mijitu humu kazi kulaumu sijui yalikua yanamtaka bony sijui falcao sijui cavani? Sisi wetu ballo bana......sasa hv tunaangalia maformation tu yatakayo mfit ili tunyanyue makwapa msimu huu.
 
binafsi simtaki balo kwa kulinganisha na aliyetoka balo hajawai kufikia kiwango cha suarez alichokionyesha msimu uliopita, jamaa sio mpiganaji ni lizito sana

huwezi kumpata Suarez part two! Hakuna direct replacement ya suarez ndugu yangu!
 
balo atashangaza wengi msimu huu, na kwa anavyowajua mashabiki wa liver naamini hatofanya utoto utakaomtenganisha na mashabiki wa liver
 
binafsi sijafurahia ujio wa balo anfield naona kama amekuja kuziba nafasi ya mchezaji bora na mwenye kasi zaidi yake

Among the talented players, Super yumo jaribu kuangalia you tube ndo ujue kuwa jamaa ni mzuri. After all hawezi pendwa na watu wote na wewe ungana na wasiompenda
 
Back
Top Bottom