Tores
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 551
- 475
the Magificent na Tores mnakumbuka 2010 tulivyokuwa tunakaribia kumsign Charton Cole kutoka westham??..
Leo tumeManage kupull out a BIG NAME, lakin people are still HATING!!
Angalia mauzo ya Jezi sasa *itakuwa balaa*..watu wapo kibiashara zaidi and its like the old times, macho na medias zote worldwide yatakuwa kwa LFC..
afu nimeona sehem hapa kuna watu wanasema MB ataharibu tabia ya RS, hawajui ni kwanini BR kuna kipind mwanzon mwa msim kabisa wa 2013/2014 na mwishoni mwa msimu wa 2012/2013 BR alimdrop RS kwenye kikosi..au labda hawajawahi kuangalia ile Short lived documentary ya *Being Liverpool*
Mkuu MosDef....tatizo kubwa hapa watu wengi hua wanapoteza kumbukumbu au la wanafanya makusudi tu......Hawajui kua Usajili wa Mario ni muhimu sana hasa kiuchumi kwa LFC, kama ulivyosema MosDef kua jezi zitauzika sana na vilevile Super Mario atakua anattract wacheza wazuri kuja LFC ilo halina ubishi.
Huwezi sema kua eti Mario atamuaribu DS....kwanza kwa lipi.....maana kama kumuaribu angemuaribu tangu walipokua wote Man City......
Na kwa taarifa yao tu Ayre ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Liverpool alikutana na wakala wa Balotelli ndugu Mino Raiola leo asubui. Basi wakawa wanazungumza kuhusu tabia ya Mario.Liverpool wakaomba kuwe na kipengele cha nidhamu ili kuidhibiti tabia ya Balotelli.
Na kwa moyo mkunjufu na unyenyekevu Super Mario KAKUBALI KUSAINI KIPENGELE CHA HATUA ZA KINIDHAMU KUHAMIA LIVERPOOL.
Ngoja niwahi kuangalia press conference ya BR sasa hivi.
YNWA