Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

binafsi simtaki balo kwa kulinganisha na aliyetoka balo hajawai kufikia kiwango cha suarez alichokionyesha msimu uliopita, jamaa sio mpiganaji ni lizito sana

Yaani hapa unajaribu kutuonyesha jinsi gani uwezo wako wa kufikiri ulivyokua mdogo.
Katika maisha ya kawaida kila binadamu ni unique by nature,ndo maana kama wewe unaitwa NGUVU basi tambua kwamba huwezi kufanana na Amanijua hata kama mnafanya kazi moja,mnakula pamoja,mnaishi nyumba moja au mumezaliwa sehemu moja.
Na hata kama kuna mtu mwingine anaitwa NGUVU basi tambua kwamba hawezi kuwa sawa na wewe kwa vitu vingi sana.
Suarez ni mchezaji,amezaliwa Uruguay,ana miaka 28,ni mweupe,anapenda kung'ata,ni mchoyo,ni mfupi,ana watoto wawili,ana ndoto za kuchezea barcelona na mengine mengi,lakn Baloteli ana miaka 24,ni mrefu,ana mtoto mmoja,ni mtukutu,mkorofi,anachezea Italy na mengine mengi.

Nimeandika hivyo ili kuweza kukuonyesha jinsi gani binadamu wanavyotofautiana.
So habari za kulinganisha mtu mmoja na mwingine ni ufinyu wa mawazo,maana kuna mengi ambayo MB anayo Suarez hana na yapo ambayo Suarez anayo lakn huwezi kuyaona kwa Baloteli.
Mwisho ni kwamba mpira ni biashara na wapenzi wa timu tutabaki na liverpool yetu hata kama mchezaji fulani ataondoka kwa kuwa ndo biashara ilivyo.
 
Kwa washauri wa Liverpool baada ya misimu miwili Balo hawa hawa Barca au Madrid watammezea mate!
Balo anajua sana kufunga tatizo ni management tu na BR anajua kuwatengeneza hawa kitabia
 
Da nimependa Style ya BR aliyoanzisha siku hizi........

Kipindi cha nyuma BR akidiclare interest ya kutaka kumsajili mchezaji yoyote.....Basi utaona Spurs nao hao wanataka hapohapoa mfano... Kono.......Chelsea nao hao wanataka hapo hapo mfano willian na Salah.

Vile Vile BR akitangaza nia ya kutaka kusajili mchezaji wa club fulani mapema basi hiyo club itaanza kuleta mapozi na kutangaza mabei makubwa ya ajabu utashangaa......mfano ...Soton kwa Lovren na lalana... Sevilla..alipoitajiwa Moreno.

BR kumbe alikua ana mua-admire Super Mario.....kitambo tu.....wakati yuko kwenye pre- season USA...aliulizwa na waandishi wa habari kama kunapossibillity yeyote ya kumsajili Mario?..akamsifia kwa kusema ....'He is a wonderful player, but an AC Milanplayer, I just gave my opinion of him, but doesn’t mean I will be signing him.' alafu siku nyingine akaongezea hivi “I can categorically tell you Mario Balotelli will not be at Liverpool,” ilikua ni kama siku 18 zilizopita hivi....

MMnn Kumbe ilikua danganya toto tu......

Jinsi BR alivyokua Geneus alikua anawakatisha tamaa timu zingine ambazo hua zinategemea Scouting ya LFC na at the same time alikua anawabana AC Milan wasije wakatangaza dau kubwa pindi atakapopeleka request ya kumsajili Super Mario.

Na ndio maana deal ya mario kuja LFC imekua very quick and cheap than expected.

My Take:

Yaani BR angetangaza nia mapema.....ungeona vitimu vya ajabu navyo vingejitokeza kibao kutaka kumsajili Mario....mfano Spurs, Chelsea nk. na bei yake ingekua mkasi wa ajabu.

BR endelea hivyohivyo na hiyo style!!!!

YNWA
 
Hivi jamani itakuwaje kama MB akizigomea hizo Behaviour clauses??? Na deal ikavunjika???

Hahahahah!!! itakuwa ni BOOOONGE ya BANTER!!!!!!!!!!

Nitaikimbia JF kwa mwezi mzimaaa, na hizi mbwembwe tulizozipiga humu leo!!!!!!!
Mkuu MosDef, sioni sababu ya mtu yeyote kukimbia hapa, kila mtu ana uhuru na haki ya kuwa na mtazamo wake juu ya jambo lolote, sidhani kama kuna atakayekimbia hapa iwe nyie mnaomkubali Ballo au wale tusiomkubali.... Hatoki mtu hapa!!! YNWA.
 
Etoo kakabidhiwa mkataba wa 80,000/week with performance benefits.

Sasa sijui itakuwaje maana naona kama namba zitagombewa si mchezo.

Haaahaaaa, Uuuuuuuuuwwwiii! Sasa mmeamua kuturusha roho kila siku?! Et'oo tena! Hii ikigeuka kuwa kweli.... Bila shaka wanajua wanachokifanya...
 
Haaahaaaa, Uuuuuuuuuwwwiii! Sasa mmeamua kuturusha roho kila siku?! Et'oo tena! Hii ikigeuka kuwa kweli.... Bila shaka wanajua wanachokifanya...

Inaweza isiwe kweli maana ni Goal.com peke yao wanaoripoti na hakuna updates zaidi wala confirmation on either side kwamba kuna mazungumzo.
 
Naomba nisahihishwe kama siko sahihi.....mahesabu yangu ya harakahara ni kama ifuatavyo:-

  • Man United: Shaw, Herrera, Rojo – £76m

  • Liverpool: Moreno, Lambert, Lovren, Manquillo, Can, Balotelli, Marković – £80m

Actually we spent wisely.....YNWA

but,but...where is Lallana and Origi?
 
Time for Balotelli to go for a master class in scouse accent.

I don't think if that will be any of success. He tounge and Italian's accent is too heavy
 
Last edited by a moderator:
Yaani hapa unajaribu kutuonyesha jinsi gani uwezo wako wa kufikiri ulivyokua mdogo.
Katika maisha ya kawaida kila binadamu ni unique by nature,ndo maana kama wewe unaitwa NGUVU basi tambua kwamba huwezi kufanana na Amanijua hata kama mnafanya kazi moja,mnakula pamoja,mnaishi nyumba moja au mumezaliwa sehemu moja.
Na hata kama kuna mtu mwingine anaitwa NGUVU basi tambua kwamba hawezi kuwa sawa na wewe kwa vitu vingi sana.
Suarez ni mchezaji,amezaliwa Uruguay,ana miaka 28,ni mweupe,anapenda kung'ata,ni mchoyo,ni mfupi,ana watoto wawili,ana ndoto za kuchezea barcelona na mengine mengi,lakn Baloteli ana miaka 24,ni mrefu,ana mtoto mmoja,ni mtukutu,mkorofi,anachezea Italy na mengine mengi.

Nimeandika hivyo ili kuweza kukuonyesha jinsi gani binadamu wanavyotofautiana.
So habari za kulinganisha mtu mmoja na mwingine ni ufinyu wa mawazo,maana kuna mengi ambayo MB anayo Suarez hana na yapo ambayo Suarez anayo lakn huwezi kuyaona kwa Baloteli.
Mwisho ni kwamba mpira ni biashara na wapenzi wa timu tutabaki na liverpool yetu hata kama mchezaji fulani ataondoka kwa kuwa ndo biashara ilivyo.

maneno kibao pumba tupu, huwezi kuwa mimi but unaweza kuwa kama mimi, nilichokielezea ni aina ya mshambuliaji ambae liver tunamtaka hizo sifa ulizompa suarez nyingine ni uongo suarez hakuwa mchoyo bora ungesema dani kidogo ningekuelewa MB hana tofauti na DS sasa kocha ndo anakuwa amefanya nini?
 
eto'o naskia amepewa mkataba wa mwaka mmoja jamani hizi habari zina ukweli?
 
HAHAHAHAHAHAHAH!!!

Personal terms zimekuwa succesfully AGREED..

Pearce anasema MCHANA huu MB atafly to UK kwa ajili ya Medical!!

Dk Zaff are you READDDDY!!!!!!

Haters i see You!!!!!
 
eto'o naskia amepewa mkataba wa mwaka mmoja jamani hizi habari zina ukweli?

BBC Sport is one of the most (if not the most) reliable source of the sports transfer news. Hawa huwa hawaripoti gossip.

Hadi sasa sijaona kitu huko wala kupata alert yoyote, so hii news ya Etoo could just be one of those tabloid stuff.
 
the Magificent na Tores mnakumbuka 2010 tulivyokuwa tunakaribia kumsign Charton Cole kutoka westham??..

Leo tumeManage kupull out a BIG NAME, lakin people are still HATING!!

Angalia mauzo ya Jezi sasa *itakuwa balaa*..watu wapo kibiashara zaidi and its like the old times, macho na medias zote worldwide yatakuwa kwa LFC..

afu nimeona sehem hapa kuna watu wanasema MB ataharibu tabia ya RS, hawajui ni kwanini BR kuna kipind mwanzon mwa msim kabisa wa 2013/2014 na mwishoni mwa msimu wa 2012/2013 BR alimdrop RS kwenye kikosi..au labda hawajawahi kuangalia ile Short lived documentary ya *Being Liverpool*
 
Last edited by a moderator:
METRO - Mario Balotelli ‘takes £60,000-a-week wage cut in order to make Liverpool transfer’ - http://t.co/7dkwVbMc2s #mediawatch

hahahah!!! mkuu Dhafir METRO ndo source mboooovu ya mpira wa miguu kuliko hata Gazeti la DIMBA la bongo..

MB alikuwa analipwa hiyo 60k per week, ndo kipind kile anaenda AC MILAN ndo alkubal wage Cut akawa analipwa hiyo 60k..sahiv nmeona atakuwa analipwa 90k after taxes!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom