Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Heeeeheeeee.....BBC sport wametweet kua Sam Etoo had has medical at Liverpool. and he will sign 1 yr contract.

Lakini it is just a Gossip newz.
 
Mna kz ya kuota mchana peupe! Kz hiyo tunaiweza sisi Chelsea na so timu ingine! Nyie nendeni ktk hayo machinjio ya Etihad mkachinjwe!

ntuzu bhana! tumekufanya nini hadi unatabiri mabaya juu yetu! we inabidi ushike nafasi ya david moyes msimu uliopita
 
Hapana mkuu nakataa kuhusu kasi na MB!
Kafunga mabao 30 ktk mechi 56 za EPL hii ni sawa na bao 2 kwa kila games 3!Stat haziongopi na hii rekodi ni ya kujivunia!

Tatizo la MB ni nidham nje na ndani ya uwanja na wala sio kasi

msimu upi?
 
Heeeeheeeee.....BBC sport wametweet kua Sam Etoo had has medical at Liverpool. and he will sign 1 yr contract.

Lakini it is just a Gossip newz.
Hii deal inasemekana kama deal Balotel isingefanikiwa bus Eto angechukua nafasi hiyo.kwa sasa MB kila kitu kinakwenda vema tusubiri scanning aliyoenda Manchester kupiga.Tayari uzi huko sokono
 

Attachments

  • IMG_20140823_124832.jpg
    10 KB · Views: 129
Ulitufunga home and away ukawa wa 3
Ukamfunga Man City home and away ukawa wa 3
Ukapata points 4 kwa Man U ukawa wa 3
Ukapata points 4 kwa Arsenal lkn ukawa wa 3
Stat hazijawahi kuongopa!Hata mwaka huu utakuwa wa 3

Majogoo yatawika tena****

A big like mkuu Malafyale kwa kumpa huyo jamaa za uso! Maana ni mbishi kama amechanjiwa... YNWA.
 
Yaani huu usajili unanipa presha kama nini, hivi vipimo mbona vinatumia muda sana?
 
Inategemea rulikua tunahitaji gari ya nini... Huwezi kupeleka fereari babati

Kwani mmehama championship? Uwanja? Si palepale?

Babati mmeanza kwenda lini??

Niambie changez zinazowasababisha mgome kuipeleka babati
 
Kwani mmehama championship? Uwanja? Si palepale?

Babati mmeanza kwenda lini??

Niambie changez zinazowasababisha mgome kuipeleka babati

you didnt qualify ferrari ni ya nini wala where it was going... i am have a business network and panamera would take me where ferrari used to... while noah would take wapishi to babati

kuongea na a desperate woman when i am having a drink is like talking to aradio

just go and find a d!ck to satisfy your a$$ desire... I aint buying no batty buay
 
Ukimuona ballo ndani forget about bwashee! Na ukimuona bwashee ndani ujue dili la ballo chali!

Ayaaaaa, mboni ni dada yetu ila sitofurahia kabisa Bwashee kuvunjwa miguu na watoto, Bwashee nae aache tamaa, si astaaf???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…