Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


well said tisha. kuna watoto humu ndani wameanza kushabikia Liverpool juzi tu, so inawezekana hawajui LFC siyo timu ya kuegeshaegesha kama akina Chelski
 
Jamani eeh...kwa mara nyingine,siku nyingine tena.,yule dogo matata sana pale LFC ambaye pia ni mchezaji kipenzi wa The Magnificent,katupia tena kambani,Joao Carlos Texeira,leo akifunga goli la ushindi! Coutinho and co. Watch out,this brilliant boy next season gonna make u warm the bench...stay tuned!
 
Ayaaaaa, mboni ni dada yetu ila sitofurahia kabisa Bwashee kuvunjwa miguu na watoto, Bwashee nae aache tamaa, si astaaf???

Mwache bwashee asanye za uzeeni labda anaweza akapata surplus money dada yetu akafunguliwa television station yake.
 
Balloteri kashasajiliwa? Liverpool msimu huu mnatwanga pesa kama Sokomoko baada ya kupata mshahara wake.
 
Mwache bwashee asanye za uzeeni labda anaweza akapata surplus money dada yetu akafunguliwa television station yake.

Hivi dada yetu ni memba humu JF?

On the serious note... am very happy kwa usajili wa bad boy Super Mario Balloteli!
 
Hivi dada yetu ni memba humu JF?

On the serious note... am very happy kwa usajili wa bad boy Super Mario Balloteli!

Sista atakuwa memba ila ngumu kufaham coz tunatumia feki ids. Usajil uko poa kabisa na itakuwa shwari zaidi zile tabia zake akijirekebisha.
 
Ulitufunga home and away ukawa wa 3
Ukamfunga Man City home and away ukawa wa 3
Ukapata points 4 kwa Man U ukawa wa 3
Ukapata points 4 kwa Arsenal lkn ukawa wa 3
Stat hazijawahi kuongopa!Hata mwaka huu utakuwa wa 3

Majogoo yatawika tena****



Mtatuheshimu tu mwaka huu! Nyie ongeeni tu
 
Rick Lambaret,
Adam Lallana,
Mario,
Dan Sturridge,
Rahim,
na Eto'o?

kazi mnayo aisee...
cc.Mosdef
 
Rick Lambaret,
Adam Lallana,
Mario,
Dan Sturridge,
Rahim,
na Eto'o?

kazi mnayo aisee...
cc.Mosdef



Wameuza Suarez sasaiv wanahangaika kununu Strikers!

Kesho ndio kipimo chao! Ntakua ktk huu uzi wao kulisongesha!
 
Rick Lambaret,
Adam Lallana,
Mario,
Dan Sturridge,
Rahim,
na Eto'o?

kazi mnayo aisee...
cc.Mosdef

Muungwana Mario atacheza kesho? Mimi namkubali sana, hata waingereza wanamkubali make walimpokea kwa shangwe wakati anaingia Meliwood
 
Naona kesho mbali tuwapige hawa man city ,naandaa kabisa mvinyo wangu taratibu liverpool wakinipa raha
 
Muungwana Mario atacheza kesho? Mimi namkubali sana, hata waingereza wanamkubali make walimpokea kwa shangwe wakati anaingia Meliwood

hataweza kucheza maana kufikia ijumaa saa sita kuna baadh ya terms walikuwa hawajakamilisha bt atakuwepo kwnye game ya Tot.
 

well said!
 
nafurahi kuona hata wapambe wa timu nyingine wanapita humu... it shows that we are a force to be reckoned
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…