Gwamahala
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 3,925
- 2,325
Watu wanaweza kusema labda nayaandika haya kwasababu ni mdau wa Majogoo lakini siyo jambo lakufichika kwamba MB wa Inter enzi za Maureen siyo huyu anayesajiliwa kutoka AC. At that time he was 18-19 and now he is 24.
Kama ambavyo wakala wake ametanabaisha, there is no chance for him to make excuses of his age and nafasi hii aliyoipata siyo yakufanyia mzaha because it might be his only chance to prove wrong all the haters!!
YNWA
Mkuu yaani huyu jamaa atakamua sana and I hope atashine vilevile.
Kingine kikubwa ni kuwa tutafaidika naye sana kibiashara.
