Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado tuna nafasi jamani,goli moja si kitu,shusheni yanayojiri na wala si kukata tamaa.
Moreno tusimlaumu kwani bado ana mengi ya kujifunza kutoka katika timu.Ikizingatiwa tulikuwa tunamtaka kwa hali na mali.
Huyo ni chaguo letu.
"Nlikuwepo":bolt:
More updates nazingoia,naogopa kukabwa usiku huu kwenda kwenye vibanda umiza.
Taarifa zije kwa umakini jamani maana presha ni kubwa kwa upande wangu.
Liverpool,Liverpool,Liverpool,Liverpool......
"Nlikuwepo":bolt:
Bado tuna nafasi jamani,goli moja si kitu,shusheni yanayojiri na wala si kukata tamaa.
Moreno tusimlaumu kwani bado ana mengi ya kujifunza kutoka katika timu.Ikizingatiwa tulikuwa tunamtaka kwa hali na mali.
Huyo ni chaguo letu.
"Nlikuwepo":bolt:
Aliyetoa pendekezo kuwa SG awe anakaa nje hapo ulipo nahisi unailaumu sana kauli yako!
SG ndiyo pillar yetu bado na ana miaka mingine 2 zaidi ya kutuongoza
Ucjal mkuu updates utapata za kutosha vp muhongo kafanya yake nini?
HT
MCI 1-0 LIV
'Pls Manchester City wafanyeni hawa raia humu wanuke midomo maana kelele zao zishazidi'
Team iliyocheza vyema inakwenda halftime ikiwa behind
anaogopa roba za mbao