Watu bado hawajamjua sturridge vizuri, jamaa wakat yupo Man city then akaenda.Chelsea kote huko alikuwa consdered kama A backUp ST, yaan alikuwa ni kati ya wale wachezaji wa kawaida kwenye team *squad player*..nadhan hiyo ishu ilimchukua sana kisaikolojia, maanake alikuwa anataka kuaminika pia, alikuwa anataka kuwa number 1 kama kina Drogba (Danny anajiamini sana) ndo maana kila alipokuwa anapata nafasi ya kucheza alikuwa anataka kuprove kitu, hii ikamfanya awe selfish saana (kutaka kwenda sawa na Drogba kulimponza sana)..
Ndo maana hata BR alipomchukua LFC fans walipiga kelele sana na Chelsea mlimwachiA kwa HELA ndogo sana..ila nadhan BR alimbadilisha sana mshikaji, coz kikubwa alichokuwa anakihitaji Danny ni KUAMINIWA tu, ule uselfish wake wa chelsea ulipungua sana..
I Mean, wakat yupo chelsea alikuwa anaweza.kutoka na mpira pemben na kuingia nao mpaka katikati na hata kukiwa na ufinyu wa kupiga atataka kupiga tu hata kama kuna mtu kishafungua kwenye box tayari..ilikuwa inawacost chelsea mara kwa mara..
Lakin uchoyo alionao Danny sahiv ni kama wa ST yoyote yule anayejiamini, ni kama vile DIEGO COSTA akiwa ndan ya box na kishaona upenyo wa kupiga afu umpigie makelele ya kuomba pass, au yupo nje kidogo ya box na kishamuona keeper alivyokaa na upenyo wa kushoot upo, Afu utegemee akupe pass!!! Hakupi hata kwa dawa, hapo atafanya hivyo Torres tu kwa kuwa hajiamini KABISA sahiv..lakin kwenye circumstances kama hizo usitegemee upate pass kutoka kwa Aguero, Robben, Messi, Ronaldo, lewandowsk, Muller, kina Ibra, Adebayor, Sanchez na hata Suarez mwenyewe hakupi pass hapo...hapo watakupa akina Aspas na kina Torres..
Ila Danny ameimprove kidogo, tofauti na alivyokuwa Chelsea..na unaweza ukaona mwenyewe hawez kusimama mbele peke yake bila partner!!