Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo katika pitapita zangu naona habari ya song kuja liverpool.......???????
 
Leo kuanzia saa 12 na nusu jioni ndo kutakuwa na UCL group stage draw...SS3 wataonesha live! I guess tutapangwa group hili,1.R.Madrid,2.B.Dotmund,3.Liverpool,4.Roma. Kutokuwepo kwetu UCL kwa muda mrefu ndo kutatuponza.
 
Wana kops wenzangu napenda kuchukua fulsa hii kuwajulisha kua ile draw ya kupanga makundi Champ ligi itafanyaka saa 12: 45 jioni kwa masaa ya africa mashariki.

Kila mtu apeleke jicho lake SS3 watakua live....na vile vile skysport 1 nao watakua live.

All the best LFC.


 
Leo kuanzia saa 12 na nusu jioni ndo kutakuwa na UCL group stage draw...SS3 wataonesha live! I guess tutapangwa group hili,1.R.Madrid,2.B.Dotmund,3.Liverpool,4.Roma. Kutokuwepo kwetu UCL kwa muda mrefu ndo kutatuponza.

RMA na AS ROMA ni posibility, BUT kuhusu BVB i doubt that..Barca and Juve pia are not too FAR..

But nawish for Benifica or Porto, then Juve or any other small side..

Lakin kwa hali ilivyo kuwekwa kwenye GROUP OF DEATH is very much likely..

BUT all in all..just bring Em ON..WE'RE LIVERPOOL BY THE WAY.
 
Habari nyingine ambayo imeingia sasa hivi ingawa haituhusu kivile sisi kops... nikua rooney ameteuliwa rasmi kua captain wa england.
 


hiki ndio kinachoendelea sasa hivi.....kuna uwezekano mkubwa song akatua anfield

na vilevile kuna watakao ondoka kabla dirisha halijafungwa na possibility kubwa ni hao.....zimesalia siku nne na dakika zake
 
Liverpool will play Middlesbrough at Anfield in the 3rd round of the League Cup.

YNWA
 
Daniel Agger akiondoka nitasikitika sana...but Alex Song akija masikitiko yangu yatapungua.
 
Liverpool will play Middlesbrough at Anfield in the 3rd round of the League Cup.

YNWA

BR aweke kikosi safi cha akiba tupite hapo coz hivi vikombe vidogovidogo ni muhimu ktk kujenga ari na confidence kwa wachezaji.
 
Noana hawa man utd wanataka kuleta upuuzi.......kwa Allen......wanacheza sana....hawalambi kitu hapa

 
Habari njema.......José Enrique and Adam Lallana both are 100% fit and are consideration for Tottenham match.
 
Mie Group hata hazinitishi yoyote aje tu na yoyote tutakwenda ni muda mwingi mashindano ya wenyewe katika wanaojulikana wenyewe wa Hilo kombe hatukuwepo kwahiyo muhimu kwa sasa Kuwepo LFC YNWA! We Go Again! Anfield night football inarudi raha sana ule mlio wa Jumanne na Juma'5' kwa Mabingwa wa mara 5 Champions League unarudi. LFC YNWA!
 

....hahahaha! "presha juu juu!"
'hutapata ulitakalo, utapata utalojaaliwa nalo!'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…