Ukipitia maoni ya wana Liverpool humu ndani utakutana na maoni mengi yanayoonesha kuchukizwa na kufungwa kwetu mechi ya J3. Siku ambayo inahesabika kuwa ni-ya nuksi kwa Liverpool.
Siyo kwamba mimi sichukizwi na kufungwa lakini hiyo ilikuwa ni mechi ya pili tu tangu season ianze na kuna watu wamishaanza mpaka kukata tamaa kwa kiasi Fulani.
Kutokana na kufanya vizuri kusikotarajiwa kwenye msimu uliyopita then, expectations zetu (Wanaliverpool) zimekuwa juu sana na matokeo yoyote apart from ushindi yanatuumiza sana. Tunataka kufanikiwa haraka kitu ambacho ni impossible. Sheikh Mansour aliinunua Manshit mwaka 2008 na tangu hapo tunafahamu kwamba ametumia fedha nyingi mpaka timu kuwa kwenye kiwango cha leo.
Waungwana, tukubali kwamba Liverpool iko kwenye transition. Transition ambayo imekuwa na matokeo chanya kuliko ilivyodhaniwa. Msimu huu mpaka kufikia leo tumesajili wachezaji 9! Kati ya hao, wacheza 5 walishiriki kwenye gemu yetu na Manshit. Haiwezekani from the start pakapatikana maelewano ya kutosha kati ya wachezaji na uchezaji. This transition needs time. Apart from kufungwa I have seen a lot of positives from our game.
Defence; Pamoja na kwamba Moreno anahusika katika magoli mawili lakini ameonyesha kwamba Liverpool hawajakosea kumsajili. Ameweza kuhimili all the pressure of being playing the first game in BPL, away from home, against the defending champs!
Skrtel won all his aerial challenges which is not that normal and not easy as well...Im not sure the same can be said on kompany
Midfield; Tumekuwa tukimdharau sana Joe lakini ndiye mchezaji aliye-shine kwa upande wa Liverpool. Can looked very promising when introduced
Forward; Marko and Rickie brought life on the front line. Nafikiri kuna somo limejidhihirisha
ricki alipoingia while playing vs soton, aliweza kuchangia kupatikana goli la pili na alipoingia vs Manshit alisababisha goli.