Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

#LFC fixtures
Sep 16- Ludogorets (h)
Oct 1- Basel (a)
Oct 22- Real Madrid (h)
Nov 4- Real Madrid (a)
Nov 26- Ludogorets (a). Nimependa haijakaa vibaya fixture za game Kabisa kwenye uhai Anfield Kama Enzi za Luis Garcia!
Dec 9- Basel (h)

Yaani hapo inatakiwa hizo gemu mbili za mwanzo tukamue points zote 6...then gemu mbili za Madrid tupate points 4 au 2 which means mpaka hapo tutakuwa na points 8 au 10 kabla hatujarudiana na hao madogo.

Tukichukua a maximum of 4 from hizi timu mbili baada ya marudiano...tutakuwa tumejikusanyia jumla ya points 12 au 14 mpaka mwisho.

Ratiba imekaa vizuri...!
YNWA.
 
LFC Portraits for the New Signings for 2014/2015 (Balotelli, Moreno, Manquillo, Emre, Lallana, Lambert, Lovren, Markovic)
 

Attachments

  • 1409319476571.jpg
    1409319476571.jpg
    52.6 KB · Views: 81
  • 1409319507326.jpg
    1409319507326.jpg
    47.3 KB · Views: 74
  • 1409319525163.jpg
    1409319525163.jpg
    41.2 KB · Views: 75
  • 1409319545807.jpg
    1409319545807.jpg
    44.4 KB · Views: 68
  • 1409319567075.jpg
    1409319567075.jpg
    41.5 KB · Views: 64
  • 1409319585436.jpg
    1409319585436.jpg
    56.1 KB · Views: 62
  • 1409319614709.jpg
    1409319614709.jpg
    45.1 KB · Views: 66
  • 1409319635271.jpg
    1409319635271.jpg
    46.5 KB · Views: 66
Melwood today!!!
 

Attachments

  • 1409319717735.jpg
    1409319717735.jpg
    53 KB · Views: 66
  • 1409319750187.jpg
    1409319750187.jpg
    45.4 KB · Views: 63
  • 1409319784700.jpg
    1409319784700.jpg
    54.1 KB · Views: 66
  • 1409319821335.jpg
    1409319821335.jpg
    43 KB · Views: 61
  • 1409319867642.jpg
    1409319867642.jpg
    38.4 KB · Views: 62
  • 1409319898349.jpg
    1409319898349.jpg
    36.8 KB · Views: 63
  • 1409319925114.jpg
    1409319925114.jpg
    42.5 KB · Views: 60
  • 1409319959839.jpg
    1409319959839.jpg
    49.7 KB · Views: 62
Melwood!!!!!!!!
 

Attachments

  • 1409320042722.jpg
    1409320042722.jpg
    55.4 KB · Views: 60
  • 1409320100753.jpg
    1409320100753.jpg
    43 KB · Views: 56
  • 1409320123576.jpg
    1409320123576.jpg
    49.7 KB · Views: 52
  • 1409320155571.jpg
    1409320155571.jpg
    32.6 KB · Views: 53
  • 1409320173857.jpg
    1409320173857.jpg
    36.5 KB · Views: 53
  • 1409320202450.jpg
    1409320202450.jpg
    49.9 KB · Views: 54
  • 1409320246524.jpg
    1409320246524.jpg
    49 KB · Views: 54
VolleyBall..
 

Attachments

  • 1409320323835.jpg
    1409320323835.jpg
    51.2 KB · Views: 60
  • 1409320346695.jpg
    1409320346695.jpg
    67.5 KB · Views: 50
  • 1409320370992.jpg
    1409320370992.jpg
    67.9 KB · Views: 53
  • 1409320394279.jpg
    1409320394279.jpg
    61.6 KB · Views: 54

Attachments

  • 1409320649520.jpg
    1409320649520.jpg
    29.5 KB · Views: 59
  • 1409320669825.jpg
    1409320669825.jpg
    38.8 KB · Views: 54
  • 1409320690370.jpg
    1409320690370.jpg
    36.2 KB · Views: 55
  • 1409320708330.jpg
    1409320708330.jpg
    41.1 KB · Views: 55
Waletwe hao Real Madrid, Sisi ndio LFC na UCL ni league Yetu------YNWA
 
Ukipitia maoni ya wana Liverpool humu ndani utakutana na maoni mengi yanayoonesha kuchukizwa na kufungwa kwetu mechi ya J3. Siku ambayo inahesabika kuwa ni-ya nuksi kwa Liverpool.

Siyo kwamba mimi sichukizwi na kufungwa lakini hiyo ilikuwa ni mechi ya pili tu tangu season ianze na kuna watu wamishaanza mpaka kukata tamaa kwa kiasi Fulani.

Kutokana na kufanya vizuri kusikotarajiwa kwenye msimu uliyopita then, expectations zetu (Wanaliverpool) zimekuwa juu sana na matokeo yoyote apart from ushindi yanatuumiza sana. Tunataka kufanikiwa haraka kitu ambacho ni impossible. Sheikh Mansour aliinunua Manshit mwaka 2008 na tangu hapo tunafahamu kwamba ametumia fedha nyingi mpaka timu kuwa kwenye kiwango cha leo.

Waungwana, tukubali kwamba Liverpool iko kwenye transition. Transition ambayo imekuwa na matokeo chanya kuliko ilivyodhaniwa. Msimu huu mpaka kufikia leo tumesajili wachezaji 9! Kati ya hao, wacheza 5 walishiriki kwenye gemu yetu na Manshit. Haiwezekani from the start pakapatikana maelewano ya kutosha kati ya wachezaji na uchezaji. This transition needs time. Apart from kufungwa I have seen a lot of positives from our game.

Defence; Pamoja na kwamba Moreno anahusika katika magoli mawili lakini ameonyesha kwamba Liverpool hawajakosea kumsajili. Ameweza kuhimili all the pressure of being playing the first game in BPL, away from home, against the defending champs!
Skrtel won all his aerial challenges which is not that normal and not easy as well...I’m not sure the same can be said on kompany

Midfield; Tumekuwa tukimdharau sana Joe lakini ndiye mchezaji aliye-shine kwa upande wa Liverpool. Can looked very promising when introduced

Forward; Marko and Rickie brought life on the front line. Nafikiri kuna somo limejidhihirisha…ricki alipoingia while playing vs soton, aliweza kuchangia kupatikana goli la pili na alipoingia vs Manshit alisababisha goli.
 
......haka ka thread kama kameongezewa Oxygen vile!
Maneno yanawatoka tuuu!...
 
Back
Top Bottom