Stoke's backline gave them very crucial 3 points!Liverpool tulikosa umakini wa defense kama walivyo fanya Stoke leo!
Man City is very beatable team,ni sisi tu hatukuwa makini na wakija Anfield nina uhakika tutawapiga
We can't change anything brother,after all me maombi yangu ni yaleyale tu,msimu huu tuwe wa 7 ili mtu atimuliwe pale! Ila Agger nae kazidi majeruhi sana,afu analalamika hapangwi,utampangaje mchezaji majeruhi?
Costaaa....,ha ha ha ha...,ni shidaaa
Sasa wewe si mna jukwaa lenu mkuu?????
Kwanini usiende huko kuweka hizo post??????
Totenham nampiga mapema sana!!
Tuamke kwa kusali/kuswali kwa kila mmoja dini yake!
Jogoo atawika leo katikati ya London
Tukishinda nitapiga sana heineken maana kesho Jumatatu ni Labour Day hapa kazini hadi Jumanne!
Mungu Ibariki LFC-YNWA
Sisi ndio majogoo wa Jiji. Mtaumia sana leo
Utakimbia hapa jukwaani km jumatatu na jumanne mlivyokimbia
Ona sasa dua na ulevi wapi na wapi?¡!!!!!
Mkuu hata baadhi ya Mitume walitengeneza divai watu watu wanywe!
Acha nipige sifongo nisherehekee ushindi wetu na baada ya hapo sikamatiki tena!!May 15 wewe ni wa 5 huko na moto wa Costa wala usikutishe sababu hata Negredo wa Man City mwaka juzi alianza hivi hivi akatulizwa hadi akaanza kukaa bench kwa Dzeko!!
Luverpool yoyote yenye Kolo Toure benchi, tayari ni janga. Akiingia tu anakuja kutushambulia wenyewe, mechi tatu anazoingia anafynga moja na ana assist moja.
Johnson alitakiwa awe amepotea pale LFC, na angeenda timu average sana.
Hatuna kabisa cocha wa mabeki na BR sio kocha linapokuja swala la beki, kama angekuwa na defensive mind nzuri mwaka huu tungeweza kuchukua ubingwa.