Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ningekuwa na uwezo ningecheza na Man U week ijayo!Hawako fit hata kidogo
 
Stoke's backline gave them very crucial 3 points!Liverpool tulikosa umakini wa defense kama walivyo fanya Stoke leo!
Man City is very beatable team,ni sisi tu hatukuwa makini na wakija Anfield nina uhakika tutawapiga
 
They were stable in every section especially defence line and midfield area.
 
We can't change anything brother,after all me maombi yangu ni yaleyale tu,msimu huu tuwe wa 7 ili mtu atimuliwe pale! Ila Agger nae kazidi majeruhi sana,afu analalamika hapangwi,utampangaje mchezaji majeruhi?

Daaah mkuu umetumia maneno mazito sana, punguza jazba kuuzwa kwa agger isiwe hivi. Hata kama nikufungwa na city siyo ishu tukumbuke hata last season first 5 game (win 2, draw 2, lost 1) kama kumbukumbu yangu iko vizur. Let us wait tuone nini BR anataka kufanya
 
Attachments

  • 1409433908322.jpg
    1409433908322.jpg
    90 KB · Views: 93
  • 1409433939521.jpg
    1409433939521.jpg
    111.3 KB · Views: 87
  • 1409433962490.jpg
    1409433962490.jpg
    33.7 KB · Views: 89
  • 1409433992204.jpg
    1409433992204.jpg
    104.4 KB · Views: 87
  • 1409434031821.jpg
    1409434031821.jpg
    53.1 KB · Views: 76
  • 1409434078607.jpg
    1409434078607.jpg
    114.2 KB · Views: 74
Tuamke kwa kusali/kuswali kwa kila mmoja dini yake!
Jogoo atawika leo katikati ya London

Tukishinda nitapiga sana heineken maana kesho Jumatatu ni Labour Day hapa kazini hadi Jumanne!
Mungu Ibariki LFC-YNWA
 
Totenham nampiga mapema sana!!

Utakimbia hapa jukwaani km jumatatu na jumanne mlivyokimbia

Tuamke kwa kusali/kuswali kwa kila mmoja dini yake!
Jogoo atawika leo katikati ya London

Tukishinda nitapiga sana heineken maana kesho Jumatatu ni Labour Day hapa kazini hadi Jumanne!
Mungu Ibariki LFC-YNWA

Ona sasa dua na ulevi wapi na wapi?¡!!!!!

Sisi ndio majogoo wa Jiji. Mtaumia sana leo

Majogoo au mitetea???? Km ni jogoo ni jogoo mzee ata kuwika hawezi.
 
Utakimbia hapa jukwaani km jumatatu na jumanne mlivyokimbia

Ona sasa dua na ulevi wapi na wapi?¡!!!!!

Mkuu hata baadhi ya Mitume walitengeneza divai watu watu wanywe!

Acha nipige sifongo nisherehekee ushindi wetu na baada ya hapo sikamatiki tena!!May 15 wewe ni wa 5 huko na moto wa Costa wala usikutishe sababu hata Negredo wa Man City mwaka juzi alianza hivi hivi akatulizwa hadi akaanza kukaa bench kwa Dzeko!!
 
Uko sasa kwa mitume ni uongo.

Nafikiri mimi unanifahamu vzr. Mimi saizi siongei sn bali ni vitendo tu ndo vinafanya kz. Sasa niko hapa mpk hiyo May tuone kati yangu na wewe nani yuko hiyo nafasi ya tano?
 
Luverpool yoyote yenye Kolo Toure benchi, tayari ni janga. Akiingia tu anakuja kutushambulia wenyewe, mechi tatu anazoingia anafynga moja na ana assist moja.

Johnson alitakiwa awe amepotea pale LFC, na angeenda timu average sana.

Hatuna kabisa cocha wa mabeki na BR sio kocha linapokuja swala la beki, kama angekuwa na defensive mind nzuri mwaka huu tungeweza kuchukua ubingwa.
 
Natamani Mods waongeze LIKE ZAIDI YA MOJA NIKUPE 1000 sasaivi.
 
Back
Top Bottom