Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Utakimbia hapa jukwaani km jumatatu na jumanne mlivyokimbia

Ona sasa dua na ulevi wapi na wapi?¡!!!!!

Majogoo au mitetea???? Km ni jogoo ni jogoo mzee ata kuwika hawezi.

Unaweza kushangaa naongea na Chelsea....so size yetu wewe kacheze na watoto wenzio.
 
Unaweza kushangaa naongea na Chelsea....so size yetu wewe kacheze na watoto wenzio.

Saizi yako huyu hapa chini shabiki mwenzio wa LFC.

Mimi sitii neno mtakua mnajibishana wenyewe.

Ntuzu karibu...baadaye tunaingia hapo London kuchakaza mtu. Unaruhusiwa kuja ili iwe rahisi kutoa huduma ya kwanza kwa jirani yako!
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu karibu...baadaye tunaingia hapo London kuchakaza mtu. Unaruhusiwa kuja ili iwe rahisi kutoa huduma ya kwanza kwa jirani yako!

Hahahaaaaa

Mkulu mtakimbia hili jukwaa lenu.
 
Last edited by a moderator:

Siku hizi huyu BR ananichefua tu,but u have to keep faith in him,kwangu mimi ananizingua tu...nasubiri ani-prove wrong at the end of the season anyway.
 
MYHEM IN LIVERPOOL CITY.

EVERTON 3 - 6 CHELSEA FC.

habari za mchana majogoo? karibuni sana LONDON.:wacko::flame::flame::flame::flame:

Siku hizi huyu BR ananichefua tu,but u have to keep faith in him,kwangu mimi ananizingua tu...nasubiri ani-prove wrong at the end of the season anyway.
 
Last edited by a moderator:
BR bora angemuacha aende zake barca kipindi kile make toka awali kabisa alionesha si chaguo lake.

Agger mwenyewe alishasema,hajawahi kutaka kucheza club nyingine tofauti na LFC across Europe,japokuwa alikuwa akipata ofa kibao tu
 
Natamani Mods waongeze LIKE ZAIDI YA MOJA NIKUPE 1000 sasaivi.

Bingwa wa kupiga kelele mfuasi wa domokaya, upo?! Unachonga kama umemeza battery... Bado muda kidogo utaufyata...
 
Jamani hii team nzuri sana nawaambieni akina Pazi tuwe na subira tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…