Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi Ayre anamlipa bei gani?

Atakuwa analipwa 50k pale LFC..nadhan hata sunderland watakuwa wanashindwana nae kwenye wages...

Si ndo kama kaka ako Assaid naye aliwaambia stoke city kama wanataka kumnunua moja kwa moja wampe 50k per week..wakat LFC alikuwa analipwa 25k..sahiv kakubal tena loan deal kwenda Stoke city!!
 

Mkataba wa Assaid alikuwa analipwa 50k per week. Liverpool mpaka 2016
 
Mkataba wa Assaid alikuwa analipwa 50k per week. Liverpool mpaka 2016

Nope Assaid alikuwa analipwa 23-25k per week, Baada ya stoke city kubid kwa £7m mwanzon mwa transfer window, akazinguana na Stoke City kwa ajili alikuwa anataka 50k per week, na hata hii deal yake ya mkopo imekubali kwa kuwa mark hughes kakubal kulipa hyo 25k per week, coz wages wanalipa wenyewe stoke city this season!!..so jiulize kama angekuwa analipwa 50k kama unavyosema, Stoke wasingehestate kumlipa hyo 50k alyokuwa anademand mwanzon, coz now ni stoke city wanaolipa wage yote..

We bought him from heerenveen fc ya uholanz kwa £2m tu, so how can you pay him 50k per week and he was unknown!!!..RS, DS, PC, SUSO wote bado hawajarenew mikataba yao na mpk sasa wote hawajafika 70k per week ( ukiisha usajili LFC ndo wanaanza mazungumzo ya mikataba mipya na Hao kina RS, DS, PC, SUSO na wengneo katika kurekebisha mikataba yao)..

Wanaovuka 100k ni watatu tu pale LFC, Balotelli, SG na GJ..Agger mpka anaondoka alikuwa analipwa 90k, Lucas analipwa 70k, Lallana kanunuliwa £25m lakin hajafika 100k,

Mpaka sahiv tunavyoongea RS analipwa only £35-40m per week, (bado hawajaanza upya mazungumzo ya mkataba)..na juzi BR aliweka clear alivyoulizwa kuhusu interest za RMA kwa sterling, akasema hawez kurush kumpa mshahara mkubwa RS kutokana na kwamba Anajua British players huwa wanapotea mapema wakipokea mishahara mikubwa katika umri mdogo, si hawezi kurush hiyo kitu..

Kaka unamjua IAN AYRE??..ampe Assaid 50k???

and just for the record, LFC ndo team inayolipa mishahara ya Kawaida sana kwa players wake kuliko any other BIG FOUR pale EPL..na ndo policy ya LFC *PASSION OVER MONEY*

katafute mshahara wa MORENO, afu uje kunambia HAPA..
 
SCHEDULE
Liverpool Players Salaries List 2014-15 (Contracts)
by Sameer Arshad | Posted on Saturday, August 9th, 2014 | 1



Liverpool Finance 2013-14Money
OwnershipFenway Sports Group, Register in USA
Turnover£206m-(up from £169m-in 2012)
Gate & Matchday income£45m
TV Rights Money£64m
Commercial activities£98m
Wage Bill 2013-14£132m-(up from £119m in 2012)
————————————————————————————————————————————

Okay now above are the figures from last season 2013-14, and Liverpool are the 5th highest wage paying side in Premier Le. They spent over £119 on players wages last season, so lets take a look at Liverpool players Salaries and contract expiry dates and full team squad.

Liverpool Players Salary List 2014-2015

Brendon Rodgers Annual Salary – £4 Millions
PLAYERAGEWeekly SalaryCONTRTACT REMAINING
Simon Mignolet26£60,0004 Years (2018)
Brad Jones322 Years (2016)
Mamadou Sakho24£75,000--3 Years (2017)
Daniel Agger29£65,0002 Years (2016)
Martin Skrtel29£90,0002 Years (2016)
Dejan Lovren25£70,0005 Years (2019)
Kolo Touré33£60,000--1 Year (2015)
Tiago Ilori21-4 Years (2018)
Sebastián Coates23£50,000-2 Years (2016)
José Enrique28£65,000-2 Years (2016)
Glen Johnson29£90,0001 Year (2015)
Javier Manquillo20£25,0001 Year (2015)
Martin Kelly24£40,0003 Years (2017)
Jon Flanagan21£40,0001 Year (2015)
Lucas27£65,000-3 Years (2017)
Emre Can20£60,000-
Jordan Henderson24£55,000-2 Years (2016)
Joe Allen-24£45,000-3 Years (2017)
Steven Gerrard34£140,000-1 Year (2015)
Adam Lallana-26£75,0005 Years (2019)
Coutinho22£60,000-4 Years (2018)
Suso20-1 Year (2015)
Oussama Assaidi25£50,0002 Years (2016)
Raheem Sterling19£40,0004 Years (2018)
Lazar Markovic20£35,000-
Daniel Sturridge24£80,000--4 Years (2018)
Fabio Borini-23£60,000-3 Years (2017)
Rickie Lambert32£45,0002 Years (2016)
————————————————————————————————————————————-

Above is the complete list of Liverpool Team Squad for the 2014-2015 season.
Finance and Salaries are derived from trusted sources like, Guardian Uk, FootballFrance, Sunday Times.
Contract Expiry dates are 100% accurate, but the same can not be said about Salaries.


English Premier League 2014-15 Transfer Deadline Day: Falcao Joins Man Utd at £346,000 Per Week, Hernandez To Real Madrid, Wellbeck to Arsenal - In the final day of the English Premier League 201-15 transfer window Manchester United have made another big signing.


English Premier League 2014-15 Transfer Deadline Day: Falcao Joins Man Utd at £346,000 Per Week, Hernandez To Real Madrid, Wellbeck to Arsenal
 

Tusiwe tunapenda kukocopy vitu kama vilivyo kwenye mitandao, kisa tu, Vimeandikwa na Wazungu, Coz ukienda kusoma skysports sahiv watakwambia tumemnunua Moreno kwa £16m..na ukisoma report ya mishahara ya wachezaj ya Gazet la independent, utaona pale wameandika Danny analipwa £100000k per week (which is not true), so kwa kuwa ni report ya wazungu utaichukua tu!!!

MFANO.

kwenye list yako inaonesha Daniel Agger alikuwa analipwa 65k per week, hapo umeonyesha Sturridge na Martin Skirtel wamempita mbali mshahara..sasa cha kushangaza kwenye hiyo report yako ni kwamba mpaka Agger anaondoka was on 4.16M GBP, so atapitwa vipi mshahara na Kina Sturridge na Martin ambao wapo on 3.38M GBP na 3.12M GBP respectively????

Na hapo kwa GJ, ni tatizo pia, GJ is on 5.2M GBP, so iweje mshahara wake uwe chini ya 100k??..na wakata GJ ni ONE of the highest Earners pale LFC???

Chakushangaza hapo ni kwamba Agger ana 4.16M GBP lakin eti kapitwa mbali sana na Mtu aliye kwenye 5.2M GBP glen johnson, kwa mujibu wa report yako hapo inaonyesha Agger was on 65k na GJ is on 90k!!! which is totally wrong!!!..na its funny coz mtu mwenye 5.2M GBP analipwa chini ya 100k!!!

Na kitu cha msingi cha kuzingatia hapo ni kwamba kuna mikataba inakuwa na BONUS ambazo zipo nje ya mshahara..na hii huwa inatokeaga sana katika *transfer deadlineDay* au siku za mwisho za usajili, (we had that problem with Sakho)..

Hiyo Report uliyoitoa imecopiwa kutoka *www.tsmplug.com* NAIJUA VIZURI sana.

Me ninachojua tangu 2012, Skrter alivyosain mkataba mpya na kupandishiwa mshahara mpak 70k per week, sijawah kuona na sjui kama Kasign tena mkataba mpya ambao unamwingizia 90k per week kwa sasa..coz bado mpaka sasa mkataba wake una thaman ya 3.12M GBP..

Mchezaji mwenye mkataba wenye thaman kubwa LFC ni SG ambaye ana 7.28M GBP..(bado sijajua kuhusu balo, Ninachojua ni kwamba he took a 50% pay cut ya mshahara aliokuwa analipwa Milan ili Kujoin LFC, for he was on 6M EUR. bado teports zake hazijawa clear, lakin ukicalculate hapo utagungua bado yupo juu ya 100k)..

Afu jaman BONUSES ni tofauti sana na WAGES..na hizi Bonuses zinatokana na perfomence ya mchezaj uwanjani..(kuscore goals, kucreate chances, defending, Leading other players, Etc)..

Tusiwe wavivu wakufanya Math zetu wenyewe kabla ya kucopy kila knachoandikwa kwenye magazet ya NJE, coz na wenyewe ni BINADAMU kama sisi pia..hakuna mtu ambaye atakuwa sawa kila wakati, so ujipe muda wa kujihakikishia kwanza kwa kila kitu unachokisoma...

WAGES.
1.Manchester City
2.Manchester united
3.Chelsea
4.Arsenal
5.Liverpool
 
MosDef ,pole sana
Skysports akijaandikwa na wazungu !!!!!!?
Samahani kama utanielewa vibaya,katika list ya mental disorders utakuwa unasumbuliwa na Negative Perfectionism

( sijawah kuona na sjui kama Kasign tena mkataba mpya ambao unamwingizia 90k per week kwa sasa..coz bado mpaka sasa mkataba wake una thaman ya 3.12M GBP..) who are u, mpaka uone mkataba wa mchezaji :A S wink:
 
MosDef na Mzee Wa Rubisi...cha msingi ni kuwa klabu yetu bado ina wages za chini which is good coz kwa sasa tutamake profit kulingana na mapato ya UCL.

Tusibishane kuhusu 'actuals' za wages za players wetu coz hatutapatia katu na tutaishia kuzodoana bure!

Afu wewe Mzee Wa Rubisi uje nikupe ndimasi ...ha ha ha ha haaaa (jokes)!
 
Last edited by a moderator:

hahahahahah!!!

kwan juzi juzi LFC walivyotoa official statement kuwa SG amefanya Contract Extension si wengine tulijuaje???

Kwahyo we tangu mwaka 2012, Tangu MS alivyokubali contract extension, Umesikia tena lini Kuwa Skirtel amefanyiwa Contract extension nyingine???

Kila mchezaji anaposajiliwa na anaposign mkataba mpya mwingine LAZIMA club itangaze..na ndo maana kukawa na official website ya Club..

Asa sjui kama kuna wenzangu wengne washawahi kusikia kuwa Skritel alisign mkataba mwingine mpya ambao unalimpa 90k per week!!!

Jaribu kuArgue kwa HOJA, kama una data zako zingine Zipresent hapa, kama mimi nilvyozpresent bila kukwambia kuwa una MENTAL DISORDER..

Afu maana ya ushabiki syo kutofautiana, bali ni kurekebishana na kupeana new ideas pale kila mtu anapokuwa na doubts zake, So kama nimeleta hoja yangu, ilekebishe kwa hoja nzuri pia, siyo kunitolea maneno ya DHARAU kaka, Kupishana always KUPO tu..

Afu hapo kwenye wazungu, nilikuwa nataka kukwambia kuwa, Siyo kila MARA tuwe tunachukua directly kile kinachoandikwa na some wack bloggers au Shitty journals wa NJE bila kufanya research katika maeneo mbali mbali ili KUJIRIDHISHA!!!

siku ile tumepull deal ya Moreno kwa £12m, Skysports wakareport kuwa tumemchukua kwa £16m..so kwann nikubaliane moja kwa moja na hyo ishu..

Afu sijawah kukudharau hata siku moja, coz hunijui wala sikujui, nakutambua tu kama shabik wa LFC hapa JF, So HESHIMA ni kitu cha msingi sana..

Na siyo kwamba Napenda kuziingilia Posts zako NO, najua Unanichukia Tangu Ile ishu ya REUS kuja LFC uliyoipresent hapa, na Nkatoa doubts zangu pia!!!! lakini its all good mzaz, Ila Sometimes TUKUBALIANE KOTAFAUTIANA tu...ili kupeana CHALENJI..

After all, HATUJUANI..so USINIDHARAU kaka..thats all Am Asking!!! PEACE.
 

mishahara ya wachezaji wote wa League kubwa ULAYA ipo wazi sana!

Ndo maana Forbes huwa wanaweza kucalculate Net Worth za wachezaji..

Cha msingi ni KUPATA clear na reliable information!

Afu kwahyo nikiwa na doubts zangu nisiongee humu??..narudia TENA me siyo SHABIKI kipofu kwamba kila linalopita Nilikalie kimya..


Kama tu Shabiki wa CRYSTAL PALACE anaumia Team yake Ikipoteza au ikiboronga itakuwa kwangu mimi SHABIKI wa LIVERPOOL..

Na kutokuikosoa Team yako, ina maanisha huumii inavyofungwa (you cant call urself a fan kama ndo hivyo)

Wewe Juzi ulifurah kushinda 3-0 pale whitehart lane, lakin Unajua Spurs fans wanafeel vipi team yao kufungwa goal 12-1 dhidi ya LFC katika last 3 meetings tu???..kwahyo wasiumie?? wasilalamike kuwa team inatakiwa ijizatiti maeneo flan???

Tatizo humu ndani, nilichokigundua ni kwamba watu wanataka kusikia only positive things kuhusu LFC, hawatak kusikia Negative issues, na ukileta negative issues zako humu, unaonekana HATER, na kuna watu hawatak kabisa BR aguswe.. NA kuna Wengine hawataki kabisa KUREKEBISHWA hata kama wamekosea, Kuna watu kibao wanafatilia tunayoyaandika humu, so kama mtu unakielewa kitu, kwann usijaribu kukisahihisha kwa manufaa ya wengine??..

Ushabiki ni kujua kila kinachoendelea kwenye Club unayoishabikia, ndo maana LFC pamoja na kuwa ipo UK, lakin inaAcknowledge FanBase ya Mashabiki wake East Africa huku na Africa nzima!!..
 
Last edited by a moderator:
Ili nipa wasiwasi coz jamaa sikuona impacts toka kwake kwenda mbele....basi poa kama ndoivo... Ynwa
 
Ni kwel nimemchek juz kat labda ndomana nikajua dogo nae ndowale wale....thnx mkubwa ngoja nimsikilizie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…