Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 442
mkuu mbona maswali yako yako kimtindo... hata google huwezi kutumia??
Falcao ajacheza champions league, katoka ureno,kaenda Spain na Monaco sasa man u kacheza lini na timu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu mbona maswali yako yako kimtindo... hata google huwezi kutumia??
we kuku kweli wewe... fuatilia post yangu ya falcao na sifa nilizompa... naona umeamua kukalia kigogo kwa nyuma na kukomalia stats za UCL tu; with or without UCL, you cant take away his profileFalcao ajacheza champions league, katoka ureno,kaenda Spain na Monaco sasa man u kacheza lini na timu gani?
we kuku kweli wewe... fuatilia post yangu ya falcao na sifa nilizompa... naona umeamua kukalia kigogo kwa nyuma na kukomalia stats za UCL tu; with or without UCL, you cant take away his profile
he is a top striker, stats zipo online, his goal/match ratio is second to none kwa sasa and his pedigree is beyond your understanding capacity
I dont deal with imbeciles.... get off my d!ck please
mishahara ya wachezaji wote wa League kubwa ULAYA ipo wazi sana!
Ndo maana Forbes huwa wanaweza kucalculate Net Worth za wachezaji..
Cha msingi ni KUPATA clear na reliable information!
Afu kwahyo nikiwa na doubts zangu nisiongee humu??..narudia TENA me siyo SHABIKI kipofu kwamba kila linalopita Nilikalie kimya..
Kama tu Shabiki wa CRYSTAL PALACE anaumia Team yake Ikipoteza au ikiboronga itakuwa kwangu mimi SHABIKI wa LIVERPOOL..
Na kutokuikosoa Team yako, ina maanisha huumii inavyofungwa (you cant call urself a fan kama ndo hivyo)
Wewe Juzi ulifurah kushinda 3-0 pale whitehart lane, lakin Unajua Spurs fans wanafeel vipi team yao kufungwa goal 12-1 dhidi ya LFC katika last 3 meetings tu???..kwahyo wasiumie?? wasilalamike kuwa team inatakiwa ijizatiti maeneo flan???
Tatizo humu ndani, nilichokigundua ni kwamba watu wanataka kusikia only positive things kuhusu LFC, hawatak kusikia Negative issues, na ukileta negative issues zako humu, unaonekana HATER, na kuna watu hawatak kabisa BR aguswe.. NA kuna Wengine hawataki kabisa KUREKEBISHWA hata kama wamekosea, Kuna watu kibao wanafatilia tunayoyaandika humu, so kama mtu unakielewa kitu, kwann usijaribu kukisahihisha kwa manufaa ya wengine??..
Ushabiki ni kujua kila kinachoendelea kwenye Club unayoishabikia, ndo maana LFC pamoja na kuwa ipo UK, lakin inaAcknowledge FanBase ya Mashabiki wake East Africa huku na Africa nzima!!..
Ni kwel nimemchek juz kat labda ndomana nikajua dogo nae ndowale wale....thnx mkubwa ngoja nimsikilizie
A point of correction,agg.kwa spurs ni 12-0.
Exactly...!
5-0...4-0...3-0...!
A point of correction,agg.kwa spurs ni 12-0.
Jamani eeeh... pamoja na typing humu ndani tununue kadi za uanachama basiiii
Jamani eeeh... pamoja na typing humu ndani tununue kadi za uanachama basiiii
Wazo zuri sana...kama una maelekezo jinsi ya kuipata nielekeze nianze mchakato wa kuwa nayo yangu.
Au mdau yeyote anayejua jinsi gani naweza kupata. I have been a fun kwa muda mrefu sana but sijaweza kujua how can I get to be a registered member.
YNWA.
Wazo zuri sana...kama una maelekezo jinsi ya kuipata nielekeze nianze mchakato wa kuwa nayo yangu.
Au mdau yeyote anayejua jinsi gani naweza kupata. I have been a fun kwa muda mrefu sana but sijaweza kujua how can I get to be a registered member.
YNWA.