The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
Kama kawaida,Sturidge may be out up to six weeks,kaumia mazoezini na timu ya taifa! Tunalo wakuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida,Sturidge may be out up to six weeks,kaumia mazoezini na timu ya taifa! Tunalo wakuu!
Habari mbaya,Ngoja tusubiri matokeo ya scan
Afadhali man utd tuwapige gap
teh teh teh...ndo ile adui mwombee njaa nini,me mwenyewe nna hamu hapa kesho nisikie lile goti la Radamel lililojaa maji limetibuka tena..msimu mzima OUT ha haha ha ha ha ha ha! Ntachinja jogoo.
Kama kawaida,Sturidge may be out up to six weeks,kaumia mazoezini na timu ya taifa! Tunalo wakuu!
Sasa ndio muda wa Super Mario wa kuwaonesha kuwa amekua na ameanza kazi rasmi.
Daa atakuwa nje for three weeks, hichi ndo alichopost instagram. Afadhali kidogo ni week 3
Mechi muhimu sana hiyo kushinda ili kujenga confidence!Nina uhakika 100% hawa Bulgarians hawatatusumbua
![]()
huyu kaumia: poleni wakuu:A S-eek:
Lallana karudi!Markovic;Coutihno and Can are there too!Tuna depth mwaka huu so worry not mtani!
hana shida... he is the man, and as usual... small players want drama with him; we saw how dier tackled him; na huyu wa wolves was doing the same, in a friendly![]()
nini shida ya huyu kijana lakini?:angry: