Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MosDef...unajua kila mtu ameumbwa kivyake na kimtazamo wake,huyo Evans hayo ni maoni yake na offcourse he's nothing pale LFC,pengine kuna watu huwezi kuwaambia lolote kwa mchezaji kama GJ,wakati dunia nzima inamuona anavyoboronga...kwahyo kila mtu anaweza kutoa maoni yake...kwa mtazamo wake...kwangu mimi EMRE bado kabisa muda wa kumuhukumu...licha ya umri wake mdogo,pia ligi ni mpya kwake,mazingira mapya,etc..ana mengi ya kujifunza.

Agreed!!!
 
Last edited by a moderator:
Shanks!!
 
Attachments

  • 1410356258290.jpg
    1410356258290.jpg
    90.7 KB · Views: 111
  • 1410356290437.jpg
    1410356290437.jpg
    92.3 KB · Views: 108
  • 1410356321517.jpg
    1410356321517.jpg
    11.7 KB · Views: 101
  • 1410356370622.jpg
    1410356370622.jpg
    102.5 KB · Views: 104
Unakumbuka?????
 
Attachments

  • 1410356886788.jpg
    1410356886788.jpg
    130.3 KB · Views: 115
  • 1410356912154.jpg
    1410356912154.jpg
    119.5 KB · Views: 111
  • 1410356933891.jpg
    1410356933891.jpg
    135.8 KB · Views: 107
  • 1410356978513.jpg
    1410356978513.jpg
    105.8 KB · Views: 108
Kilikuwa kipindi kigumu sana.... halafu tulikuwa tumekosa ubingwa kwa point chache...
 
IAN AYRE anasema LFC waliingiza kiasi cha £50,000 katika mauzo ya Jersey za Balotelli mara tu baada ya kusign kipindi kile!!
 
Ni kweli balotelli kaingiza kiasi kikubwa kwa mauzo makubwa ya jezi.......nimeiona sehemu fulani.
 
Du! Drama as usual!

This is no drama as u think........paraparazzi they are always there on spot on celebrities......mara ngapi mimi na wewe tumekojoa sehemu ambayo sio choo na hatupo kwenye public media.....jua kwamba mario is a cel.....hata sister wako ata muadmire tu.YNWA.
 
Du we jamaa umeenda mbali sana labda nikuulze sentensi yangu umeilewaje?
 
This is no drama as u think........paraparazzi they are always there on spot on celebrities......mara ngapi mimi na wewe tumekojoa sehemu ambayo sio choo na hatupo kwenye public media.....jua kwamba mario is a cel.....hata sister wako ata muadmire tu.YNWA.

''Mbwembwe/vituko kama kawa'' ndicho nilchomanisha, mie hata kama nakojoa porini siwezi kuacha mit.ako wazi kiivyo kama anajua yeye ni celebrity na macelebrity wa mbele huviziwa na mapaparazi basi kajiachia hivo si kwa bahati mbaya bali kakusudia ili paparazi waandike chochote na ndio mana nikasema mbwembwe kama kawa.
 
Back
Top Bottom