Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 442
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dogo ni kimeo, hatakaa abadilike kokote huyu. Anapenda sana attention za kamera na vyombo vya habari kama madem wanamitindo.
Can nje week 6 baada ya kuumia ankle
Ndani ya siku 14 tuna mechi 5.
na hapo wafuatao hatihati
Sturridge
Skertel
Emre
Allen
Flano
johnson
kipimo hicho
Mambo ya kawaida hayo kwenye soka,maisha lazima yaendelee...
better this than gay gunners![]()
![]()
Bad behaviour ... ..... .. poleni wakuu!
MosDef,zinapofka nyakati kama hzi,ndo pale umuhimu wa wachezaji kama L.Leiva unapodhirika..i would have prefered Lucas ahed of Lallana kwenye starting eleven,Leiva anakaba...anawaweza hawa vema sana...jst imagine kama zile story za Hendo nae kuwa out kwa wiki 6 zingekuwa za kweli....