Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
hicho ki-sentensi chako ni cha kichokozi😀😛
Pole sana mkuu na jamaa zako wote wa bwawa la maini!
BWT: Kwa nini hata hamkutaka kutumia nguvu nyingi zile dakika za mwisho kulinda lile goli lenu, mkaingiwa na tamaa ya kutafuta lingine.......na kuishia kuwa ''The hunter hunted''!