Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Gemu ya Jana kweli tumezingua me nakomaa na finishing maana wanasitasita kupiga ingawa sturdige sometime huwa anazingua ila Jana niliona umuhimu wake, naombea apone mapema.
Kwa mchezo wa Jana naanza kupata mashaka na BR can he lift us up again? Ingawa hata last season game 5 za kwanza zilikuwa kama hivi ila am starting worrying.
Many Liverpool fans we still live in a night of instabul Kama BR akifanya ya Jana nazidi pata hofu zaidi kwenye UCL can we compete kweli?
Lift what?? Again?? Lini mmeshawahi kubeba??