Gemu ya Jana kweli tumezingua me nakomaa na finishing maana wanasitasita kupiga ingawa sturdige sometime huwa anazingua ila Jana niliona umuhimu wake, naombea apone mapema.
Kwa mchezo wa Jana naanza kupata mashaka na BR can he lift us up again? Ingawa hata last season game 5 za kwanza zilikuwa kama hivi ila am starting worrying.
Many Liverpool fans we still live in a night of instabul Kama BR akifanya ya Jana nazidi pata hofu zaidi kwenye UCL can we compete kweli?
haya mkuu....naona matokeo ya leo yameenda kama nilivyofikiri....hamna chenu mwaka huu
How is Liverpool performance so far
Lift what?? Again?? Lini mmeshawahi kubeba??
Lift what?? Again?? Lini mmeshawahi kubeba??
Arsenal hawajawahi kubeba champions league...tangu wazaliwe.
Kafie mbali wwe..!!Liverpool mabwege tu
Kwahyo EPL hamuitaki?
Poor, Poorer, Poorest
Game imeshaisha tumefungwa so kwanini tuelendelee kuijadili sisi tunaangalia next Game Man...
Hahaha mkuu I mean ku-challenge the battle Kama last season
Arsenal hawajawahi kubeba champions league...tangu wazaliwe.
inategemea na maitaj yako
Sawa mkuu Bulldog naomba nitambue nishabiki wa timu gani ili nikufate kwenye jukwaa lakoKuchallenge kwenu ndo kubeba??