Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bado sijaikubali partnership ya lovren na sakho.......sakho anapigwa tobo kirahisi sana.....lovren anashindwa kufanya clearence ana tackle lakini anashindwa kublock.natamani Agger angekuwepo labda angejaribu kucheza na lovren ........labda partnership ingekubali. Najaribu kuwaza tu.
Mignolet simon naye anaitaji mbadala.....anatokatoka tu bila mpango......hapa namkumbuka reina.
 
Wapi Tatizo ???
 
Attachments

  • 1410935804078.jpg
    1410935804078.jpg
    12.1 KB · Views: 79
Wakuru jana nilifurah lakin nilisikitika sana coz niliingia kibanda inama wakuda wakakomaa kuchek mech ya asernal mwanzo mwisho,funs wa liver tulikua watatu tu..nikakomaa nao waka weka ile kuweka tu madogo ndo wana sawazisha daaah nilizomewa haibu na funs wa asernal coz niliwasema balaa...thanx to sg..
 
hahahaaa, mkuu unachapia... imekuaje tena

we umetest mkuki kwa kuukalia sasa umekupenya

kakojoe ulale ukue dogo

hujielewi ww mtoto ........... mibange ya chooni unayovuta ndio inakupeleka peleka, kwanza kuwa na heshima huwezi kuniita dogo wakati nakukazia mama yako.

Grand PA
 
Wakuru jana nilifurah lakin nilisikitika sana coz niliingia kibanda inama wakuda wakakomaa kuchek mech ya asernal mwanzo mwisho,funs wa liver tulikua watatu tu..nikakomaa nao waka weka ile kuweka tu madogo ndo wana sawazisha daaah nilizomewa haibu na funs wa asernal coz niliwasema balaa...thanx to sg..

Pole, kitaa kwetu screen 2 mechi tofauti. Vibanda umiza raha mwenzio afungwe. Ukifungwa utakoma. Jana Arsenal huku kitaa kwetu tumewekwa mtu kati. Hata kwenda kukojjjoa wanakwambia hapo hapo mpaka gemu iishe. Yaani tulikoma. Leo patachimbika, nasafisha koromeo mapema.
 
Three things i have learnt from our recent games.....

[h=4]1. We really do miss Daniel Sturridge[/h] The fact we have lost a Premier League game at home to Villa and then struggled to beat minnows Ludogorets in the Champions League since Daniel Sturridge was injured whilst on England duty suggests Rodgers is struggling to work without him.

He may have Mario Balotelli at his disposal to score the goals in Sturridge's absence, but even then there's no real evidence that the Italian can make the exact same impact as the England striker.
There's also a shift in the way Liverpool line-up when Sturridge is unavailable, and that clearly has a detrimental effect to Liverpool's hopes of another successful campaign.
Balotelli's first Liverpool should give him the confidence to go on get more, though, but only time will tell…

2.Adam Lallana has been rushed into action too quickly

Lallana's performances for Southampton over the last few years have no doubt warranted his call up in to the England set-up, but a knee injury during the summer has halted his chances of replicated such efforts for LFC.

Lallana finally made his debut in the loss to Aston Villa last weekend but after his performance against Ludogorets it's clear to see he is no where near the fitness or pace needed to make the required impact just yet.

Luckily the Liverpool fans realise that and are refusing to get on his back just yet…

[h=4]3.Coutinho looks a shadow of his former self[/h] Last year, Coutinho was one of our top performers as we went so close to winning Premier League title. But so far this season he has been well off the pace.

He doesn't appear to be the confident, free-flowing and exciting midfielder we had the pleasure of enjoying last season. Instead he has been sloppy, reckless and less effective in the middle of the park for our team...

Safari bado ndefu sana....

#YNWA
#LFC
 
Wakuru jana nilifurah lakin nilisikitika sana coz niliingia kibanda inama wakuda wakakomaa kuchek mech ya asernal mwanzo mwisho,funs wa liver tulikua watatu tu..nikakomaa nao waka weka ile kuweka tu madogo ndo wana sawazisha daaah nilizomewa haibu na funs wa asernal coz niliwasema balaa...thanx to sg..

Pole sana mwisho wakapugwa
 
Pole, kitaa kwetu screen 2 mechi tofauti. Vibanda umiza raha mwenzio afungwe. Ukifungwa utakoma. Jana Arsenal huku kitaa kwetu tumewekwa mtu kati. Hata kwenda kukojjjoa wanakwambia hapo hapo mpaka gemu iishe. Yaani tulikoma. Leo patachimbika, nasafisha koromeo mapema.

leo ntakua kimya ad nione muelekeo unakuaje coz chelsea na man city wako vizur.
 
hujielewi ww mtoto ........... mibange ya chooni unayovuta ndio inakupeleka peleka, kwanza kuwa na heshima huwezi kuniita dogo wakati nakukazia mama yako.

Grand PA
here we go... kitoto cha kikopo kumepata fursa sasa kinatema poop

read my signature lil'twat
 
here we go... kitoto cha kikopo kumepata fursa sasa kinatema poop

read my signature lil'twat

acha bange mdogo wangu sio ujanja........... unajiona mjaanja kumbe 2nakuona choko tu.

Grand PA
 
Wana liver wenzangu kuna kitu nakiona na mtakuja kuhakikisha kwa kweli nimeiangalia timu yetu kwa msimu huu japo mapema lakini naweza sema naliona anguko la BR kwa sasa timu inaonekana kama ina mshinda kuipanga na ninaona kama Gerrald anaichukua timu kama kocha msichukie naipenda sana liverpool,nampenda Br lakini huu ndo ukweli sioni kama ataendelea kuwepo japo katufikisha pazuri kwa kweli.
 
Nimefurahi sana kupata ushindi home...sijaangalia gemu.

Mlioangalia gemu leteni uchambuzi jamani...

Mkuu Gwamahala naona hakuna aliyekujibu kuhusiana na ombi lako la kupata tathmini ya mechi yetu ya jana. Usijisikie vibaya labda kwa kufikiri labda wanaliverpool wenzako tumeku-ignore, hasha! Ingawa timu imeshinda lakini watu wamekuwa disappointed…well binafsi sijawa disappointed ila kila muda unavyokwenda naendelea kukubaliana na dhana nilikuwa nayo toka mwanzo kwamba timu yetu is not a finished puzzle yet.

Ngoja nirudi kwenye mechi ya jana.

Wakati wa interview “That was before the game” Lovren alitaja kwamba kitu muhimu kwa Liverpool ni kufanya vizuri kwenye kundi na kuhakikisha wanashinda mechi ya kwanza (Meaning kuwafunga Ludo). Toka makundi kuwekwa hadharani kumekuwa na nadharia kwamba Ludo is the weakest team in group B. Tulio wengi tumejikuta tukijiaminisha hivyo, even though timu yenyewe hatuifahamu vizuri.

Ukiyasikia maneno ya Lovren wakati wa interview, utapata implication kwamba hata wachezaji walijiaminisha kwamba Ludo ni uchochoro. Matokeo yake ni nini…

Liverpool walionekana kucheza kwa papara kila mmoja akiona anaweza kufunga. Utulivu haukuwepo. Ludo walitambua kiwewe cha Liverpool na wakawa wanacheza kwa tahadhari kubwa. Absorbing and break with pace pale ambapo nafasi ilijitokeza

Defence…Mo & Ma wametuonyesha how modern fb’s should play. And that is why utashangaa kusikia/kuona aliyepiga cros ya goli la kwanza ni Moreno na aliyekosa goli la wazi dk za mwanzo na kusababisha penalt dk za mwisho ni Manquillo. Sijaona makosa mengi kwa Lov ila Sakho bado anajigongagonga

Midfield…nafikiri kwa wale waliyokuwa wanamkandia Allen sasa wanaomba apone haraka. Siju ni lipi kati ya haya ni sahihi. Lallana amewahishwa kucheza kabla hajapona vizuri au cout is trying too much to be more than a magician. Hawa madogo walipoteza mipira sana! Ukiangalia kwa haraka haraka unaweza ukafikiri goli la Ludo ni makosa ya mabeki pekee, sidhani. Baada ya rahem kunyang’anya mpira, SG was supposed to close down ili assist isifanyake but he didn’t do that. Sakho was out of position and Lovern was far

Forward…433 imeshindwa ku-work out na ninafikiri BR should re-think sababu Mario was isolated kwenye msitu wa mabeki. The good thing ni kwamba work rate yake imeongezeka and time to time you could see him drooping deep to collect the ball. Alipoinga Borini mambo yalibadilika. Mabeki walikuwa wamekariri kumkaba Mario and Fab nearly scored with his first touch. Striker kuwa wawili kulisaidia because now defenders wanapata kazi ya ziada and as result tukapata goli la kuongoza.
 
Wana liver wenzangu kuna kitu nakiona na mtakuja kuhakikisha kwa kweli nimeiangalia timu yetu kwa msimu huu japo mapema lakini naweza sema naliona anguko la BR kwa sasa timu inaonekana kama ina mshinda kuipanga na ninaona kama Gerrald anaichukua timu kama kocha msichukie naipenda sana liverpool,nampenda Br lakini huu ndo ukweli sioni kama ataendelea kuwepo japo katufikisha pazuri kwa kweli.
kuna risk kwa BR kuendelea kurely so much kwa SG wakati he needs to manage SG as well

Gerro amekua kama irreplaceable which is wrong
 
Mkuu Gwamahala naona hakuna aliyekujibu kuhusiana na ombi lako la kupata tathmini ya mechi yetu ya jana. Usijisikie vibaya labda kwa kufikiri labda wanaliverpool wenzako tumeku-ignore, hasha! Ingawa timu imeshinda lakini watu wamekuwa disappointed…well binafsi sijawa disappointed ila kila muda unavyokwenda naendelea kukubaliana na dhana nilikuwa nayo toka mwanzo kwamba timu yetu is not a finished puzzle yet.

Ngoja nirudi kwenye mechi ya jana.

Wakati wa interview "That was before the game" Lovren alitaja kwamba kitu muhimu kwa Liverpool ni kufanya vizuri kwenye kundi na kuhakikisha wanashinda mechi ya kwanza (Meaning kuwafunga Ludo). Toka makundi kuwekwa hadharani kumekuwa na nadharia kwamba Ludo is the weakest team in group B. Tulio wengi tumejikuta tukijiaminisha hivyo, even though timu yenyewe hatuifahamu vizuri.

Ukiyasikia maneno ya Lovren wakati wa interview, utapata implication kwamba hata wachezaji walijiaminisha kwamba Ludo ni uchochoro. Matokeo yake ni nini…

Liverpool walionekana kucheza kwa papara kila mmoja akiona anaweza kufunga. Utulivu haukuwepo. Ludo walitambua kiwewe cha Liverpool na wakawa wanacheza kwa tahadhari kubwa. Absorbing and break with pace pale ambapo nafasi ilijitokeza

Defence…Mo & Ma wametuonyesha how modern fb's should play. And that is why utashangaa kusikia/kuona aliyepiga cros ya goli la kwanza ni Moreno na aliyekosa goli la wazi dk za mwanzo na kusababisha penalt dk za mwisho ni Manquillo. Sijaona makosa mengi kwa Lov ila Sakho bado anajigongagonga

Midfield…nafikiri kwa wale waliyokuwa wanamkandia Allen sasa wanaomba apone haraka. Siju ni lipi kati ya haya ni sahihi. Lallana amewahishwa kucheza kabla hajapona vizuri au cout is trying too much to be more than a magician. Hawa madogo walipoteza mipira sana! Ukiangalia kwa haraka haraka unaweza ukafikiri goli la Ludo ni makosa ya mabeki pekee, sidhani. Baada ya rahem kunyang'anya mpira, SG was supposed to close down ili assist isifanyake but he didn't do that. Sakho was out of position and Lovern was far

Forward…433 imeshindwa ku-work out na ninafikiri BR should re-think sababu Mario was isolated kwenye msitu wa mabeki. The good thing ni kwamba work rate yake imeongezeka and time to time you could see him drooping deep to collect the ball. Alipoinga Borini mambo yalibadilika. Mabeki walikuwa wamekariri kumkaba Mario and Fab nearly scored with his first touch. Striker kuwa wawili kulisaidia because now defenders wanapata kazi ya ziada and as result tukapata goli la kuongoza.

Lovren failed to intercept the ball which was well within his reach, aliamua kuuacha ausindikizie kwa kipa and the ball was faster and the keeper respodned late

to me, Lovren gave away the goal by letting the ball pass him... He did also positioned himself several times on SG path and SG didnt show any reaction, in addition, his long passes are not as good as Sakho's passes

Our weakest link is still holding midfield, anaexpose team and his two pillars Henderson and Phillipe do very little to cover

BR needs to review his tactics and decide on marksmen as well, we cant always let sterling, countinho, balo, lallana, markovic ans sturridge all try to score all the time... even Manquilo and Moreno now are more focused on getting goals... that disintegrate the team discipline

strikers should be primary goal getters, and midlfieders should finght the highest nummber of assists and not goals, they can score yes, but that should not be their primary targets
 
kuna risk kwa BR kuendelea kurely so much kwa SG wakati he needs to manage SG as well

Gerro amekua kama irreplaceable which is wrong

Kweli kabisa ukijaribu kuangalia unaweza kuona kama BR hana say yoyote kwa SG na si kama ana muogopa no jamaa anajua mengi na anauwezo mkubwa wa kumanage na kusikilizwa na wachezaji zaidi ya kocha hii ina mpa nafasi ya kuaminiwa zaidi utakuja kuniambia
 
There's no pace in the team kwa kweli - and that should be our biggest worry.

Ukiachia mechi ya Spurs, nadhani timu nyingi pinzani zimeitafutia dawa ile midfield diamond ambapo Sterling anakaa pale kwenye tip.

Kwa timu hii ya sasa kuwa na pacy player kwenye tip haiwezi kuleta effective results. Inahitajika pia kuwe na marksman ambaye ni more versatile kama alivyokuwa Suarez ambaye alikuwa ana uwezo kui-pull apart opposition defence just by making those ghosting runs without the ball. Suarez hayupo na Balotelli ni (Balotelli).

I don't know. But mimi naona kuendelea kumtumia pacy player kwenye ile tip will no longer work for us. Pace ya mchezo iwe inaanzia nyuma kidogo ya diamond....yaani badala ya kuwa na statically regular diamond iwepo an irregular but dynamic polygon itayomfanya Sterling awe anaanza runs zake deeper kidogo ili kuwa-unsettle holding midfielders na backline ya opposition.

Kingine, BR ajaribu kum-mould na kum-integrate Markovic kama mshambuliaji msumbufu huku akitengeza partnership na Balotelli (au Sturridge atakaporejea). Markovic hana vitu vya Suarez ndiyo, lakini ana certain special dribbling skills ambazo BR akizitumia vizuri impact ya strikeforce itakuwa moto.

It's still early days yes, but plenty to worry about....
 
Upo bize kupooza machungu.

Wacha kuwangawanga huku unatafuta nini? Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Nafahamu utabadili jina tena khe khe khe khe keeeheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom