Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama vipi aende tu japo roho inauma
 
Je manè atasepa? Kiukweli sitapenda kama Manè ataondoka msim huu wa kipupwe [emoji1787]
 
Hana mpango yule keshajiona anajua hajitumi muangalie Forden anavyo chakarika auzwe kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…