hahahaaa, mkuu unachapia... imekuaje tena
we umetest mkuki kwa kuukalia sasa umekupenya
kakojoe ulale ukue dogo
Wakuru jana nilifurah lakin nilisikitika sana coz niliingia kibanda inama wakuda wakakomaa kuchek mech ya asernal mwanzo mwisho,funs wa liver tulikua watatu tu..nikakomaa nao waka weka ile kuweka tu madogo ndo wana sawazisha daaah nilizomewa haibu na funs wa asernal coz niliwasema balaa...thanx to sg..
Wakuru jana nilifurah lakin nilisikitika sana coz niliingia kibanda inama wakuda wakakomaa kuchek mech ya asernal mwanzo mwisho,funs wa liver tulikua watatu tu..nikakomaa nao waka weka ile kuweka tu madogo ndo wana sawazisha daaah nilizomewa haibu na funs wa asernal coz niliwasema balaa...thanx to sg..
Pole, kitaa kwetu screen 2 mechi tofauti. Vibanda umiza raha mwenzio afungwe. Ukifungwa utakoma. Jana Arsenal huku kitaa kwetu tumewekwa mtu kati. Hata kwenda kukojjjoa wanakwambia hapo hapo mpaka gemu iishe. Yaani tulikoma. Leo patachimbika, nasafisha koromeo mapema.
here we go... kitoto cha kikopo kumepata fursa sasa kinatema poophujielewi ww mtoto ........... mibange ya chooni unayovuta ndio inakupeleka peleka, kwanza kuwa na heshima huwezi kuniita dogo wakati nakukazia mama yako.
Grand PA
Kijana kaanza mazoezi
here we go... kitoto cha kikopo kumepata fursa sasa kinatema poop
read my signature lil'twat
Nimefurahi sana kupata ushindi home...sijaangalia gemu.
Mlioangalia gemu leteni uchambuzi jamani...
kuna risk kwa BR kuendelea kurely so much kwa SG wakati he needs to manage SG as wellWana liver wenzangu kuna kitu nakiona na mtakuja kuhakikisha kwa kweli nimeiangalia timu yetu kwa msimu huu japo mapema lakini naweza sema naliona anguko la BR kwa sasa timu inaonekana kama ina mshinda kuipanga na ninaona kama Gerrald anaichukua timu kama kocha msichukie naipenda sana liverpool,nampenda Br lakini huu ndo ukweli sioni kama ataendelea kuwepo japo katufikisha pazuri kwa kweli.
Mkuu Gwamahala naona hakuna aliyekujibu kuhusiana na ombi lako la kupata tathmini ya mechi yetu ya jana. Usijisikie vibaya labda kwa kufikiri labda wanaliverpool wenzako tumeku-ignore, hasha! Ingawa timu imeshinda lakini watu wamekuwa disappointed…well binafsi sijawa disappointed ila kila muda unavyokwenda naendelea kukubaliana na dhana nilikuwa nayo toka mwanzo kwamba timu yetu is not a finished puzzle yet.
Ngoja nirudi kwenye mechi ya jana.
Wakati wa interview "That was before the game" Lovren alitaja kwamba kitu muhimu kwa Liverpool ni kufanya vizuri kwenye kundi na kuhakikisha wanashinda mechi ya kwanza (Meaning kuwafunga Ludo). Toka makundi kuwekwa hadharani kumekuwa na nadharia kwamba Ludo is the weakest team in group B. Tulio wengi tumejikuta tukijiaminisha hivyo, even though timu yenyewe hatuifahamu vizuri.
Ukiyasikia maneno ya Lovren wakati wa interview, utapata implication kwamba hata wachezaji walijiaminisha kwamba Ludo ni uchochoro. Matokeo yake ni nini…
Liverpool walionekana kucheza kwa papara kila mmoja akiona anaweza kufunga. Utulivu haukuwepo. Ludo walitambua kiwewe cha Liverpool na wakawa wanacheza kwa tahadhari kubwa. Absorbing and break with pace pale ambapo nafasi ilijitokeza
Defence…Mo & Ma wametuonyesha how modern fb's should play. And that is why utashangaa kusikia/kuona aliyepiga cros ya goli la kwanza ni Moreno na aliyekosa goli la wazi dk za mwanzo na kusababisha penalt dk za mwisho ni Manquillo. Sijaona makosa mengi kwa Lov ila Sakho bado anajigongagonga
Midfield…nafikiri kwa wale waliyokuwa wanamkandia Allen sasa wanaomba apone haraka. Siju ni lipi kati ya haya ni sahihi. Lallana amewahishwa kucheza kabla hajapona vizuri au cout is trying too much to be more than a magician. Hawa madogo walipoteza mipira sana! Ukiangalia kwa haraka haraka unaweza ukafikiri goli la Ludo ni makosa ya mabeki pekee, sidhani. Baada ya rahem kunyang'anya mpira, SG was supposed to close down ili assist isifanyake but he didn't do that. Sakho was out of position and Lovern was far
Forward…433 imeshindwa ku-work out na ninafikiri BR should re-think sababu Mario was isolated kwenye msitu wa mabeki. The good thing ni kwamba work rate yake imeongezeka and time to time you could see him drooping deep to collect the ball. Alipoinga Borini mambo yalibadilika. Mabeki walikuwa wamekariri kumkaba Mario and Fab nearly scored with his first touch. Striker kuwa wawili kulisaidia because now defenders wanapata kazi ya ziada and as result tukapata goli la kuongoza.
kuna risk kwa BR kuendelea kurely so much kwa SG wakati he needs to manage SG as well
Gerro amekua kama irreplaceable which is wrong
Upo bize kupooza machungu.