Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

hawakukuchekea hata kidogo!

itabid tu ukubaliane na Ukweli kuwa LFC ni mbovu sana, Kocha anategemea Mfumo mmoja tu kucheza mpira vizuri..

Msimu huu timu hadi ije ianze kufanya vizuri itategemea na akina Henry na Ayre sio Rodgers tena.
 
Niliwaambia mmebugi kuuza Suarez mkanunua hao wachezaji wa miambili miambili mkanitukana yaani hapo mlichofanya mliuza gari moja mkanunua baiskeli 8.Haya nambieni kwa hali hii UCL msimu ujao mtaiangalizia OT
 
When you walk through a storm, hold your head up high
And don’t be afraid of the dark
At the end of the storm, there’s a golden sky
And the sweet, silver song of a lark
Walk on through the wind
Walk on through the rain
Though your dreams be tossed and blown
Walk on, walk on
With hope in your heart
And you’ll never walk alone
You’ll never walk alone
Walk on, walk on
With hope in your heart
And you’ll never walk alone

You’ll never walk alone
 
Hivi Balotel45 havuti bange kweli?! ...........

Grand PA
 
so SAKHO hakwenda uwanjani leo baada ya kuona hajachaguliwa kwenye first 11!!!!? japokuwa alikuwepo kwenye reserves!!!???

then baadae Club management inam-Force aombe msamaha kwa fans!!!?? #Madness

Je Sakho hajui kuhusu our 1st and 2nd CB's choices??? na kama anajua hilo kwanini alisusa leo??

Je alikuwa blamed na ubovu wa defense yetu???

We all know Sakho jaman, Sjawah kumuona akiongea ongea mara kwa mara, ni mpole! je kitu gan kilimfanya asuse???

Kuna kitu hatukijui nyuma ya Pazia???
 
Ukiangalia msimamo wa ligi mpk Jana, Man Utd wako nafasi ya 8 na Liverpool iko nafasi ya 12.

Yani Man Utd atarudi ktk nafasi Yake ya kushiriki CL na nyie Ndio mmeanza kukaa ktk nafasi zenu km kawaida yenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…