.....Kalale pema peponi......amen!
poleni sana wakuu wa liverpool sana sana MTM kwani MTM ulikuwa hupo na timu wakati wa shida na raha na nina huakika utapeleka nguvu zaidi kwenye makombe mengine.europa league huko pia sio rahisi kwahio nawaonya muachane kabisa na fikra za "miracles" na mmalize biashara mapema.kuna di maria huko europa league noma huyu dogo.
wewe nilikushauri ukatoe sadaka kwa ajili ya timu yako lakini mpaka leo umekataa kusikiliza maneno yangu unamsikiliza benitez mambo yake ya miracles.senki yu veri machi kocha mtaalam wenga!!! Huu ni mwaka wa shtani kwetu, sasa hivi ni kuanza kutuma vibabu vichawi viwaloge chelsea na manure tu!! hali si hali mwaka huu... kunguru kanyea manati!!!
Halafu wewe sasa unataka magumi mazee!!!
Kwa maana hiyo na mwakani wanacheza Europa League tena!Hakuna wa kuwachomoa top four. Labda next msimu. We subiria mwisho wa January unipe feedback.
hahaaa, ni soo mazee, kale kakombe ka kinesi ndio tunacheza mwaka huu, cant imagine Gerrard and Torres out of UCL, i feel very sad to their sponsors!!
Kamanda....kalale pema peponi kamanda. Itakuwa uzuni kwa ndugu na masela..............Kalale pema peponi......amen!
senki yu veri machi kocha mtaalam wenga!!! Huu ni mwaka wa shtani kwetu, sasa hivi ni kuanza kutuma vibabu vichawi viwaloge chelsea na manure tu!! hali si hali mwaka huu... kunguru kanyea manati!!!
Neville in dig at Kop flops
GARY NEVILLE has stuck the boot in on Liverpool by blasting: You got what you deserved!The Manchester United skipper is well-known for his run-ins with Reds fans over the years.
And he has wasted no time in twisting the knife after Rafa Benitez's side were knocked out of the Champions League this week.
Neville said: "As a team, you get what you deserve don't you?
"We are where we are because we deserve to be there and it's the same with Liverpool.
"We went out ourselves a few years back. They just haven't performed well enough in the Champions League to get the results."
United suffered their own disappointment last night as they crashed to a 1-0 defeat to Besiktas.
And Neville said: "We didn't convert our chances and didn't do enough in the last third.
"Their goal set us back a little bit. It gave them something to hang on to but usually we would expect to score a goal in 95 minutes at Old Trafford.
"We just didn't manage it. Some of the general play was good.
"Macheda and Welbeck did very well in the first half with their link-up play and we should have created more off that.
"I don't think the game was too big for the youngsters. Overall I thought they handled it really well. But we just needed that goal."
Teh teh nasikia wakuu ndo vile tena niagieni...?
Sasa mkaweke viuno chini mumtafute mwenye kimavi