Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pole MTM ndio ukubwa, ila mkigangamala Europa Cup ya kwenu, ila Champions League bila mpambano wa Liverpool na Chelsea sio kabisa dah!!!
 
Poleni wadau wa Liverpool, Msimu huu mpira umewakataa. Mjipange kwa ajili ya msimu ujao
 
Poleni sana wapinzani wa jadi, matatizo yenu hayawezi kwisha kama The Kop akiendelea kuwa Kocha wenu. He is bluffing.
 
poleni sana wakuu wa liverpool sana sana MTM kwani MTM ulikuwa hupo na timu wakati wa shida na raha na nina huakika utapeleka nguvu zaidi kwenye makombe mengine.europa league huko pia sio rahisi kwahio nawaonya muachane kabisa na fikra za "miracles" na mmalize biashara mapema.kuna di maria huko europa league noma huyu dogo.
 
senki yu veri machi kocha mtaalam wenga!!! Huu ni mwaka wa shtani kwetu, sasa hivi ni kuanza kutuma vibabu vichawi viwaloge chelsea na manure tu!! hali si hali mwaka huu... kunguru kanyea manati!!!
 
wewe nilikushauri ukatoe sadaka kwa ajili ya timu yako lakini mpaka leo umekataa kusikiliza maneno yangu unamsikiliza benitez mambo yake ya miracles.
 
Halafu wewe sasa unataka magumi mazee!!!

Ha!ha!ha!ha!ha!ha!aaaa.....! DOCEBIT VOS OMNIA .....ni faraja tu mwenzio akifiwa ndugu........! Kumbuka kunguru akikunyea haina maana ana shabaha....ni kubahatisha tu.......!

Nakubaliana na wadau wengine kwamba this yr Champions league itadoda sanaaaaa......! tungependa kuona Man U VS Bwawa la maini au Bwawa la Maini vs Chelsea.......! ndo utamu wa soka unaweza kuuona!
 
hahaaa, ni soo mazee, kale kakombe ka kinesi ndio tunacheza mwaka huu, cant imagine Gerrard and Torres out of UCL, i feel very sad to their sponsors!!

Kweli ni kombe la Kinesi. Huwa kila nikijitutumua kuangalia mechi ya UEFA cup naishia usinginzini. Ila kwa jinsi walivyocheza jana (na ka-timu kanakoshikilia nafasi ya 6 kwenye ligi ya Hungary) labda wanastahili wawe huko huko.
 
Mwaka huu kweli sio wetu Liverpool, lakn hasira tutamalizia Europa League, FA na Barclays Premier League. YNWA!
 
senki yu veri machi kocha mtaalam wenga!!! Huu ni mwaka wa shtani kwetu, sasa hivi ni kuanza kutuma vibabu vichawi viwaloge chelsea na manure tu!! hali si hali mwaka huu... kunguru kanyea manati!!!

daaaah KUNGURU KANYEA MANATI!!!!! nimecheka sana mkuu..shangilia ze blues party time inaruhusiwa tu
 
Neville in dig at Kop flops

GARY NEVILLE has stuck the boot in on Liverpool by blasting: You got what you deserved!The Manchester United skipper is well-known for his run-ins with Reds fans over the years.

And he has wasted no time in twisting the knife after Rafa Benitez's side were knocked out of the Champions League this week.
Neville said: "As a team, you get what you deserve don't you?
"We are where we are because we deserve to be there and it's the same with Liverpool.
"We went out ourselves a few years back. They just haven't performed well enough in the Champions League to get the results."
United suffered their own disappointment last night as they crashed to a 1-0 defeat to Besiktas.
And Neville said: "We didn't convert our chances and didn't do enough in the last third.
"Their goal set us back a little bit. It gave them something to hang on to but usually we would expect to score a goal in 95 minutes at Old Trafford.
"We just didn't manage it. Some of the general play was good.
"Macheda and Welbeck did very well in the first half with their link-up play and we should have created more off that.
"I don't think the game was too big for the youngsters. Overall I thought they handled it really well. But we just needed that goal."
 
Teh teh nasikia wakuu ndo vile tena niagieni...?
Sasa mkaweke viuno chini mumtafute mwenye kimavi
 
Gary Nevile is right.... too bad for Rafa!!
 
Huyu Neville naye ya Ngoswe yanamuhusu nini? Kazidi mdomo nae!
 
Teh teh nasikia wakuu ndo vile tena niagieni...?
Sasa mkaweke viuno chini mumtafute mwenye kimavi

Shukrani mkuu, tumefulia period!!! a good sportsman accept his shortfalls!!! Ila hayo ya viuno na vimavi sidhani kama yanasumbua, its about performance, liverpool have been under-par performing tangu preseason and wanasema unavuna ulichopanda

vipi lakini mwenge shooting umeanza mazoezi??? naskia english kkozi zinalipa sana mazee😀
 
Back
Top Bottom