Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi mtu ambaye hata siyo shabiki wa watani zetu anawezaje kuja hapa na kuandika 'Liverfools'/Loserfools'... kwa nini mnalazimisha utani hivyo???

Hao walioandika Chelsick hujawaona? Au unaona upande wenu tu..?? Walikua hawafahamu km Chelsea sio watani wenu?

Tufanye yamekwisha mkuu...! Tuachane na hayo.... Yameshakwisha..!
 
Hao walioandika Chelsick hujawaona? Au unaona upande wenu tu..?? Walikua hawafahamu km Chelsea sio watani wenu?

Tufanye yamekwisha mkuu...! Tuachane na hayo.... Yameshakwisha..!

Ni Chel$ki$ bana 😷😷😷😷
 
Hivi mtu ambaye hata siyo shabiki wa watani zetu anawezaje kuja hapa na kuandika 'Liverfools'/Loserfools'... kwa nini mnalazimisha utani hivyo???

Mimi nikitaniwa na shabiki wa Manure,hakika sijali...ila hao Arsenal,Chelsea et all..sio watani zetu,wanafosi kingi
 
Hao walioandika Chelsick hujawaona? Au unaona upande wenu tu..?? Walikua hawafahamu km Chelsea sio watani wenu?

Tufanye yamekwisha mkuu...! Tuachane na hayo.... Yameshakwisha..!

Tatizo lenu mnalazimisha upinzani..
 
Mkuu MosDef

Kama utakumbuka wakati skrtel alipokuwa majeruhi, hoja ya kubaki na kolo as a backup cb, iliwahi kuibuka katika moja ya mijadala yetu. BR gambled and as a result amechemka…

Agger has been one of the passionate Liverpool player ila kuuzwa kwake might be for the best of the club and himself. Tunakumbuka kwamba alipata tatizo la mgongo toka enzi za rafa na inavyoonekana limekuwa ni tatizo sugu ambalo limeshindika kupatiwa ufumbuzi. Sidhani kama Henry angekubali kuendelea kumlipa mshahara mchezaji ambaye hana uhakika wa kucheza. Kama ni kweli occasionally alikuwa anapingana na system ya BR then, kama angebaki it obvious angekuwa nyuma ya Skrtel, Lov & sakho. I don’t think Agger as a vice captain could have swallow that

Illori might be inexperienced, lightweight, rational (like wisdom), but he could have help us.
Kwa coates ndiyo hata siyoni sababu ya BR kumtoa mkopo. Moja ya dhumuni la kumtoa mchezaji kwa mkopo ni kumpatia nafasi ya kucheza and that is not happening with coates, kama vipi waturudishie mchezaji wetu

As well, we have been told Marko might be out for 3 weeks, while Victor valdes rejected the offer of a four days “Trial”
 
Last edited by a moderator:

wanasema most liverpool fun are older ndo maan weng wao wanashindwa kuhandle mikikimikiki!
 
Last edited by a moderator:

Well, Kuhusu Valdes, ni Mirror tu ndo waliokuwa wanaRun na hiyo story yesterday, And sunday people copied it from then, so skuona any reliable source wamereport hyo ishu!!

And today Gínes Carvajal (Valdes agent)..kakanusha kuwa LFC offered 4 days trial kwa Valdes ili kuona fitness yake...Amesema those rumuors are false!!!

Lazar nadhan bado ni mere speculations, and the issue is not that serious, He went out jogging!!!..so bado haijajulikana how serious injury yake ilivyo!!!!
 
Tunahitaj sana another keeper!!!!
 
Mkuu!
Hilo la kuwachukia sidhani kama limefanyiwa uchunguzi wa kina na sidhani kama tunawachukia!

Ukweli ni kuwa tunawakaribisha hapa kutupa challenge zaidi si kuwachukia!Tunahitaji hata wasio MAJOGOO hapa kuongea na sisi!
 
Last edited by a moderator:
MosDef kuna updates zozote kuhusu majeruhi wetu hasa Lovren?
 
Hata mitetea inakaribishwa sio? Orayt...
 
MosDef kuna updates zozote kuhusu majeruhi wetu hasa Lovren?

Lovren tangu alivyoumia, hakuna official statement yoyote kutoka kwa Club, inayoonyesha jamaa atakaa nje kwa muda gani!!!

kulikuwa na Mkanganyiko tu, FA ya Croatia na madaktari wa National Team walisema ni tear, Echo wenyewe wakareport ni Groin...Ila kama ni tear, wataalam wanasema kama itakuwa ni first grade tear jamaa atakuwa nje kwa 2-3 weeks...

Ila mpaka sasa, hakuna Official statement yeyote kutoka kwa club kuhusu Lovren na Markovic..

nadhan bado hakuna updates zozote zaid ya speculations tu za ITK's na Kina Muddock!
 
Last edited by a moderator:
BILLY HOGAN (LFC Chief Commercial officer) leo kwenye LiverpoolEcho amesema LIVERPOOL FC have 580million fans worldwide!!!

I must say AM PROUD to be a PART of this BIG BIG BIG FAMILY!

#LFCworldwide
 
Marcovic trained with serbia national team today...atacheza tommorow!!!
 
Attachments

  • 1413240131455.jpg
    35.5 KB · Views: 74
Marcovic trained with serbia national team today...atacheza tommorow!!!

Huyu jamaa anajua sana!His pace and his mobility inafanya niamini kuwa its just a matter of time kabla hajaanza kutuinua!
 
Huyu jamaa anajua sana!His pace and his mobility inafanya niamini kuwa its just a matter of time kabla hajaanza kutuinua!

Yeah...he's still adapting, unajua Pale ureno alicheza msimu mmoja tu na Benifica akitokea serbia...nadhan LFC hawakutaka ishu za kumpa msimu mwingine Zaid, coz ni HADHINA, Ndo maana walimchukua Fasta, he's just 20 na ana vitu vingi vya kuprove...Ts just a Matter of Time....Lets see Diamond formation itam-Suit vipi!!!!
 
Euro Qualification imeisha na sijasikia majeruhi wengine zaidi ya Lovren kwetu!Mechi na QPR then Hull City Tigers hata Kolo sina wasi wasi nae!!Mechi zinazofuata baada ya hapo tunahitaji wote wawe kamili!

Any updates concerning Sakho fitness pls?
 
Mjomba wiki ijayo tunakutana na Real Madrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…