Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Hivi mtu ambaye hata siyo shabiki wa watani zetu anawezaje kuja hapa na kuandika 'Liverfools'/Loserfools'... kwa nini mnalazimisha utani hivyo???
Hao walioandika Chelsick hujawaona? Au unaona upande wenu tu..?? Walikua hawafahamu km Chelsea sio watani wenu?
Tufanye yamekwisha mkuu...! Tuachane na hayo.... Yameshakwisha..!